msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Msaada kuhusu NSSF

    Habari Hivi claims status kwenye account ya NSSF ikibadilika na kusomeka APPROVED. Huwa inachukua siku ngapi mpaka kuingiziwa pesa zako?
  2. Natafta software ya solidworks au fusion 360... msaada please.. for mechanical engineering and design

    Natafta software ya solidworks au fusion 360... msaada please.. for mechanical engineering and design
  3. Msaada wa ku upload kitambulisho cha NIDA HESLB

    Habari wadau, Naomba aliyefanikiwa ku upload file la nida kwenye mfumo wa maombi ya mkopo maana nimejaribu zaidi ya mara tatu inanigomea , au kuna sehemu nakosea?
  4. Msaada wenu tatizo la sikio baada ya kujigonga

    Habari Wana JF kuhusu Afya. Somo Hapo juu lahusika. Nasikia mwangwi na Cha ajabu nikiwa kwenye midundo mikubwa nasikia ngoma zinalilia sikioni. Msaada maana hospitalini nitaishia kupewa vidonge ushauri wenu kwanza. Asante
  5. D

    Nashauri iwe lazima vyombo vyote vya moto viwe na kiboksi cha huduma ya kwanza chenye gloves ili kurahisisha msaada kwa majeruhi

    Habari wadau! Ushauri wangu kuna watu wanaweza kuupuuza! Lakini itakuwa na maana tukijadili humu kwa pamoja! Hakuna aliyesalama hata ukijihesabia haki kwa utajili/cheo na Mali ulizo Nazo. Huko barabarani hata viongozi hupatwa ajali, hata matajili hupatwa ajali, wachungaji hupatwa ajali n.k...
  6. B

    Msaada tutani: Kumuota mtu ndotoni mara nyingi ina maana gani? Huyu binti mara nyingi namwona ndotoni

    Za asubuhi wakuu, Story inaanza mwaka jana kuna mdada mtaani kwetu nlimgea kizawadi Kidogo kama gia ya kumtongoza ila Baada ya hapo nlibadilisha mawazo, sikuendeleza mazoea nae, niliahirisha kumtongoza, sasa tangu siku hiyo nikilala namwota, unaweza sema namwota sababu nampenda Sana na...
  7. Wanajeshi 2,000 wa Urusi wazingirwa, waomba waachiwe watoke kwa amani

    Jameni hivi inaingia akilini supapawa anaacha wanajeshi wake wazingirwe kizembe hivi na kuachwa kwenye hali ya hovyo, yote hii wanafanyiwa na kainchi kadogo hapo jirani. Ukraine alicheza parefu kwenye hili, mnawaacha waingie kisha mnawazingira...... Wakuu wa hizi battalion wameomba yasifanyike...
  8. Msaada wa Namba za Simu za Askari wa Kituo cha Stakishari au kituo kizuri kwa adhabu Mwili

    Nina jambo limenipata nina mwizi wangu ambae nina vithibitisho kwa 98% lakini kutokana na maeneo nilipo na yeye alipo nikimuweka ndani kwenye vituo hivi atapata Dhamana haraka. Naomba msaada wa namba za simu wa askari wa kituo cha stakishari ili nikafungulie kesi yangu kule au namba za simu za...
  9. D

    Msaada wa mbinu za kufundishia somo la Kiingereza

    Habari wakuu, Jamani naomba msaada mbinu za kufundishia somo la Kiingereza shule za sekondari hasa za kata.
  10. R

    Maji yamenifika shingoni, naomba msaada wakuu

    Heshima kwa wakuu wote Mdogo wenu hali tete. Kijana wa kiume. Dira haisomi. Nipo Dar Wakuu kama kuna mtu ana kazi ya ulinzi, au kazi ya kusimamia lodge/guest yake popote nchini nipo tayari. Ni muaminifu, sidokoi cha mtu. Nina elimu ngazi ya diploma. Nina changamoto fulani za kiafya zimekua...
  11. J

    Waziri Mulamula apokea msaada wa Tende kutoka Saudi Arabia

    Waziri wa Mambo ya Nje Mh. Mulamula jana alikabidhiwa msaada wa Tende kutoka kwa Balozi wa Saudi Arabia nchini. Matunda ya Tende hutumiwa kama tiba mbadala kwa Maradhi mbalimbali. Source: ITV
  12. Sijaoa bado. Nimekuwa mtu wa papa sana. Asubuhi Pono usiku sikosi Changu. Naombeni Msaada

    Haya maisha kama ukiwa umezoea sana jambo. unaweza teseka sana. Mimi nimechelewa sana kuanza kutumia papa.siku nimeonja tu nikapenda sana... Nikajikuta nitafuata papa popote pale nile. Natamani nioe ili niwe napata papa wakati wote. Sisi wa kanda ya Ziwa wengi tukija Dar basi ndo unakuwa ulevi...
  13. Je, naweza pata STI's baada ya kufanya oral sex kwa sekunde 15?

    Za jioni jamani na polen na harakati zote naomba msaada ya ishu imeni face Ni hivi leo nilikutana na demu fulani hivi mida ya saa 2 asubuh sasa nikifany oral sex kwake kwa kama 15 seconds hivi. Nauliza iv naeza pata STIs especially HIV japokua sikua na vidonda vyovyote japo jion hii ndiyo...
  14. Naomba msaada wa namna yoyote ya kukutana au kuwasiliana na mchawi au mganga proffesional

    Nahitaji mawasiliano ya mchawi au mganga yoyote ambae ni proffesional, nina ndoto ya kuanzisha college ya kufundisha teknolojia ya uchawi ivyo basi nahitaji kuonana na proffesional wa hii taaluma ya uchawi ili anithibitishie juu ya uwepo wa hii teknolojia na anipe mwongozo mzuri wa kutimiza...
  15. H

    Naombeni msaada ukitaka kuangalia account yako ya bank ilikujua imefungiwa au la? Unafanyaje

    Ndugu zangu nina account ya bank ya NMB so nikuwa nataka niicheki bado ipo hai au vipi naombeni msaada wenu kwa wanajua haya mambo
  16. Seneta Marekani anahoji msaada kwa Rwanda

    Seneta Robert Menendez amesema atasimamisha msaada wa usalama wa Marekani kwa Rwanda katika Bunge kutokana na kuwa na wasiwasi kuhusu rekodi ya haki za binadamu ya Serikali ya Rwanda na taarifa za taifa hilo kuhusika katika mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Ameandika barua...
  17. O

    Msaada wa kupata Award Verification Number {AVN}

    Samahanini ndugu zangu naomba msaada kwenye kupata Avn Maana kila nikijaza registration ya Certificate na diploma naambiwa wrong registration shida ni Nini?
  18. Msaada: Namna ya kupata nakala ya online ya kitambulisho cha NIDA

    Habari, Namba ya NIDA ninayo ila nina shida ya online copy naomba namna ya kupata.
  19. T

    Msaada kwenye slub work

    Dear Team, Introduction: Nimefika kwenye slub stage ili niendelee na floor ya kwanza, What do I need? Ninahitaji kupunguza gharama za materials kwa kupata twiga cement 42.5 (200 bags) direct from kiwandani pale wazo hill hivyo naomba yoyote mwenye kuweza kunisaidia hili nahitaji bags 200...
  20. Naomba kujuzwa utaratibu wa kusomea urefa

    Habarini za jioni wanamichezo napend kuuliza kuulizia ofisi za marefaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…