msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mngeomba msaada kwa CDF, angewapa makomando, wangeonyesha uwezo wao na kuokoa wahanga wa ajali ya ndege

    Nampa pole Waziri MKUU na Rais KWA fedheha na aibu tulioipata kama Taifa kwenye hii ajali ya ndege, mengi yameandikwa lakini NIMEONA niwape mbadala kwa siku za mbeleni kama yakitokea kama Hayo tulioyaona! Naamini kama Waziri MKUU angemuomba CDF amsaidie kwenye hili nadhani tungeshuhudia...
  2. Msaada ndugu zangu nimekwama pakubwa. Naombeni mnisaidie

    NAOMBENI MSAADA WAKUU. Natanguliza shukrani. Habari ya Weekend? Baada ya kutoangalia Movie kwa kipindi kirefu sana Cha miaka mi Tano 5. Weekend hii nimejaribu kutafuta movie na kukwama PAKUBWA sana. NILICHUKUA MOVIE KWA RAFIKI YANGU NIKAPANIA KWELI KWENDA KUZIANGALIA. Kufika home kwenye PC...
  3. H

    Msaada wa haraka juu ya upotevu wa PC

    Wakuu za jioni, nilikua nasafiri kutoka kigoma kuja Dodoma na bus la AN Classic. Nilikua na kibeg cha mgongoni Ndani kuna PC aina ya HP kulikua kwenye carrier. Kushuka stand naangalia kwenye beg, PC siioni ila zip imefunguliwa, nimetafta kwenye bus lote sjaona kitu, Msaada wakuu kwenye hali...
  4. Msaada wa Mwanadamu una kikomo

    MSAADA WA MWANADAMU UNA KIKOMO Je, kuna msaada wa milele? -Ni kweli tumesaidiwa sana na watu na tunaendelea kusaidiwa. Ni kweli pia tumewasaidia sana watu na tunaendelea kuwasaidia. Lakini pamoja na hayo yote tunapaswa kutambua kuwa msaada wa mwanadamu una kikomo chake. -Hakuna binadamu yoyote...
  5. Natafuta Web Developer

    Hello, habari pole na majukumu wakuu. Nimekuja mbele yenu natafuta Web Developer ambaye yupo competent tufanye kazi, malipo kila kitu tutamalizana. Kama una ndugu, jamaa au rafiki nipe connection naye tufanye kazi.
  6. Msaada wa vitambaa vya sofa

    Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa wapi naweza pata vitambaa vizuri vya sofa vinavyodumu kwa muda mrefu na bei yake. Nitashukuru sana kwa msaada wenu. Ahsante
  7. Msaada wenu wa Haraka Tafadhali

    Ninahitaji kubadilisha Signature. Ambayo nimekuwa natumia miaka yote naona ipo complicated na mimi nimeanzisha kampuni natakiwa sometimes nisaini docs nyingi. So nasign mpaka signature inabadilika na ninachoka sipendi kuwa nasign sana. Nahitaji kubadili signature niwe nayo moja simple tu...
  8. Tusaidianeni kwa hili

    Hapa JamiiForums kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini. Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious . Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini? Maelfu ya wanajJF wa kiume ni single wamejenga wanajitahidi kupanda chart wengine...
  9. MSAADA: Natoka usaha na mtambo unawasha sana, dawa yake nini?

    Nina wiki sasa natoka usaha kwenye vyumba vya kubadilishia nguo! Kuna pisi niliikuna sana wiki moja iliyopita sasa nahisi imeniachia unaa! Siyo kosa lake ni ubishi wangu, maana aliniomba sana nivae mpira nikagoma katakata! Nitumie dawa gani?
  10. Naomba makadirio ya malipo ya fundi kwa chumba kimoja

    Wadau naombeni rafu estimates za kumlipa fundi ujenzi nyumba ya kawaida yenye, chumba masters sebule, jiko na stoo. Je, njia nzuri za kuepuka gharama ni kuhesabu tofali alizojenga au maelewamo tu.
  11. Msaada wa windows 10 pro (kama upo arusha)

    Habari wakuu, Naomba msaada wa installation ya windows (10 preferably; ila nikipata nyingine siyo mbaya). Baada ya windows nahitaji drivers zote muhimu. Naweza kukufuata popote ulipo Arusha mjini, kama unaweza kuja Njiro pia siyo mbaya tutengeneze na urafiki kabisa. Kama utahitaji malipo kwa...
  12. Msaada wa windows 10 pro (Kama upo ARUSHA)

    Habari wakuu, Naomba msaada wa installation ya windows (10 preferably; ila nikipata nyingine siyo mbaya). Baada ya windows nahitaji drivers zote muhimu. Naweza kukufuata popote ulipo Arusha mjini, kama unaweza kuja Njiro pia siyo mbaya tutengeneze na urafiki kabisa. Kama utahitaji malipo kwa...
  13. Nisaidieni kuziondoa hasira za mdogo wangu/dada yangu...

    INTRODUCTION Ni mdogo angu (family friend). Kwao ni wa mwisho kuzaliwa (last born). Ana miaka 26 na ana mtoto mmoja wa kike. Yeye na huyo baba mtoto waliachana ila mtoto anatunzwa fresh. SCENARIO Huyu binti Wana JF ana hasira sana. Na hapo mwanzo nilishawahi kumuhoji akasema ""Muda mwengine...
  14. Anayefahamu kuhusu hii kozi naomba msaada wa kimawazo

    Kuna mdogo wangu kachaguliwa. Agriculture economics and agribusiness pale SUA. Nimekuja hapa jukwaani kuuliza kwa wanao ijua vizuri na fursa zake katika Dunia ya sasa. Je, inaweza msaidia 2025 atakapo graduate. Natanguliza shukrani 🙏
  15. Msaada: Ni kondomu gani nzuri kama 'Fiesta condom'?

    'Fiesta condom' kwangu ni kondomu bora sana kuwahi kuitumia kutokana na namna ilivyo, haipotezi ladha, yaani ni kama kavu. Sasa shida ni kuwa kwa sasa imekuwa imekua ngumu kidogo kupatikana, yaani nimeshaitafuta sana nimeikosa. Kondom zingine zinazopatikana kwa wingi nikitumia naona hakuna...
  16. A

    Naomba msaada kuhusiana na hili swala

    Mimi ni fundi. Niluenda kwa tajiri na kumfanyia hesabu ya gharama zinazohitajika akanipatia kiasi chote Cha fedha kwa ajili ya kazi yake ila sikuenda kufanya kazi kwa wakati na nikamuarifu yakuwa nitafika kufanya kazi siku flani. Kabla ya hiyo siku kufika alinifuata na kwenda nae kituoni ndipo...
  17. Naomba msaada wa PC

    Ndugu zanguni habari, najua JF inao mkusanyiko wa watu tofautitofauti hivo nimeona suala langu nililete hapa pengine nitapata msaada. Mimi ni mkazi wa Mwanza, ila nina passion kubwa na ishu za creativity hasa graphics design na film making. Ndoto yangu siku moja niwe mtengeneza filamu. Ingawa...
  18. Mkimwacha Nabi bila msaada na hawa wachezaji wetu hata mechi za ndani sisi Yanga hatutoboi

    Nabi ashukuru tu wanachama, viongozi wa club na wa serikalini wanamsaidia kupata ushindi. Pale hamna kocha. Acha tu niseme ukweli na wachezaji wenyewe akina Kisinda? Jana tumshukuru Aishi Manula alielewa somo. Ilikuwa mikia watufunge mbwa hawa. Basi tu wakati mwingine uzoefu fulani unatusaidia...
  19. Msitudanganye 'Boss' Tshisekedi kaja kuomba Msaada wa 'Kijeshi' kupambana na 'M23' na siyo Kibiashara

    Mwambieni akitaka Amani Kwake DR Congo apunguze Ukabila, aache Kuwaibia Pesa Wakongo awaondoe Wanajeshi wanaolinda Amani huko (hasa kutoka MONUSCO) ambao Wengi wao Wanatoka nchi ya Mwenyeji wake wa leo waondoke kwani Wanatesa mno Raia na hata Kuua (kama ilivyoripotiwa na BBC Mwezi Septemba...
  20. Y

    Account yangu ya chuo inaonesha financial sponser ni Private badala ya HESLB. Nifanye nini?

    Nimeomba mkopo na nimefanikiwa kupata, ila nikiingia kwenye account yangu niliyosajiliwa chuo sehemu ya financial sponser inaonyesha ni private badala ya HESLB na sehemu ya HESLB loan amount inaonyesha 0.00. Inaweza kuwa tatizo nikatoe taarifa chuo au niache mkopo wangu utaingia kama kawaida.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…