moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. Leo nina swali ambalo limekuwa likinisumbua sana… Wanawake mnaovaa mawigi, na hili joto la El Niño mnavumiliaje? Hivi kichwa hakipati moto

    1:Joto kali_Hivi kichwa kinapopata joto mnavumiliaje bila kujisikia vibaya 2:Kutokwa na jasho _Je mkiwa mmevaa wigi na jasho likaanza kutoka kichwani huwa mnafanyaje?
  2. Nungwi, Zanzibar, Hotel zaidi ya SITA zimeshika moto jana, Novemba 21

    Chanzo cha moto hakijatolewa na mamlaka husika. Hakuna vifo Wala majeruhi.
  3. Moto wateketeza hoteli 6 Zanzibar

    Hoteli sita zimeteketea kwa moto katika eneo la Nungwi, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar huku hoteli tatu kati ya hizo zikiripotiwa kuathirika vibaya katika tukio lililotokea leo, Novemba 21, 2026. Akizungumza na AyoTV kwa njia ya simu, Katibu wa Sheha wa Nungwi, Khamis Kibata amethibitisha...
  4. C

    Ufaransa: Moto wateketeza jengo, Moja afariki na wengine 30 wajeruhiwa

    Mtu mmoja amefariki dunia na wengine takribani 30 kujeruhiwa, wakiwemo wazima moto 15, kufuatia moto mkubwa ulioteketeza sehemu ya jengo la makazi katika mji wa Fontenay-sous-Bois, eneo la Val-de-Marne, mashariki mwa jiji la Paris nchini Ufaransa. Moto huo ulizuka Alhamisi, Novemba 19, 2026...
  5. Mboko anajisumbua sana, Fanya ulichotumwa, Baridi ya Norway moto wa nyumbani

    Wako huko kwenye baridi ya Norway, wamevaa makoti mazito, wanasimama mbele ya mti wa Krismasi, wanatabasamu kama hakuna kinachoendelea. Lakini nyumbani, moto unawaka. Watu wanalala kwa hofu. Kila ukosoaji sasa umekuwa kama kosa la jinai. Bila kujua umeongezewa jukumu lingine, jamaa mnayemtaka...
  6. Kamu Mungu yupo, watakaochomwa moto sio wasiomuamini tu, zaidi ya watu bilioni 6 watachomeka

    Kama Mungu yupo kweli na Uislamu ni dini ya kweli ina maana watu bilioni mbili tu duniani leo hii ndio wataingia mbinguni, hapo ukichukua Suni, Shia na Waislamu wasioshika dini wote kwa pamoja. Watu wa dini nyinginezo wote tofauti na Uislamu pamoja na wasioamini mungu ni motoni. Kama Ukristo...
  7. O

    Afisa wa Gavana Natembeya Ashambuliwa kwa Mapanga, Gari Lake Lachomwa Moto

    Afisa wa mawasiliano katika ofisi ya Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, Amos Boaz Masika, anapokea matibabu katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali moja mjini Eldoret baada ya kushambuliwa na watu wenye silaha usiku wa Jumatatu, Novemba 16, 2026. Kwa mujibu wa taarifa za...
  8. C

    Moto wateketeza kambi ya wakimbizi nchini Syria na kaucha familia 75 zikiwa hazina makazi

    Moto mkubwa umetekeza kambi ya wakimbizi wa Syria katika mji wa Bar Elias, mashariki mwa Lebanon, na kusababisha familia 75 kukosa makazi. Kambi hiyo iliyopo eneo la Bonde la Bekaa, wilayani Zahle, ilikuwa na wakimbizi wapatao 486. Shirika la Habari la Anadolu limeripoti kuwa mahema yote 59...
  9. Hukumu ya Lissu ni kaa la moto

    TUNASIKITIKA KUWATANGAZIA KUAHIRISHWA KWA MJADALA ULIOPASWA KURUSHWA LEO TAREHE 14 NOVEMBA, 2026 KUHUSU HUKUMU YA KESI YA MHE. LISSU BAADA YA KUPEWA TAARIFA NA MAMLAKA KUWA HUKUMU HIYO IMEKATIWA RUFAA NA HIVYO HAIRUHUSIWI KUJADILIWA, KWA KUFANYA HIVYO NI KUINGILIA MWENENDO WA KESI HIYO. POLENI...
  10. Malalamiko makubwa Dar es Salaam ni msongamano wa vyombo vya moto barabarani, ipo mbinu ya siri sana ya kumaliza changamoto hiyo

    Katika moja ya changamoto zinazosumbua Dar es Salaam ni foleni barabarani Gharama za kumaliza hii changamoto kwa njia za kawaida ni kubwa sana inayogharimu billions za tsh ambazo ni usumbufu mkubwa sana kwa Serikali wakutenga budget Lakini kupitia Pakome kuna mbinu za siri sana za kumaliza...
  11. Anajenga kwao kwetu anaharibu kwao anazima moto kwetu anatia kiberiti

    Mimi sijaelewa Yani mtu ANAHARIBU kwetu Kwao anatengeneza na vyombo vipo vinaona. Je tukisema haya ni maandalizi ya kuandaa safe heaven yake siku akitoka madarakani apate sehemu ya kujificha tutakuwa tunakosea?
  12. Marekani yaendelea kuwapelekea moto iran IRGC washindwa kujibu Mapigo!!

    Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu uwezekano wa kushambulia Iran: Inawezekana sana kwamba hakutakuwa na haja ya hatua zaidi za kijeshi dhidi ya Iran. Inategemea kama watasaini makubaliano yenye nguvu sana. Ningefanya hivyo ikiwa ni lazima, lakini tunawapiga vikali sana. Hujui jinsi...
  13. PostGE2025 Serikali ambayo inasema watoto wasichapwe viboko ndiyo hiyo hiyo ilishindwa kuwavumilia watoto haohao oktoba 29 ikawachapa risasi za moto

    Unajiuliza kwanini na wao wasinge kaa nao vijana na watoto wale kwa upendo na kuwashauri kwa amani bila risasi ili hao vijana wasifanye fujo? Huo uvumilivu mnao utaka kwa walimu leo dhidi ya kukosa adabu kwa wanafunzi ninyi serikali mlishindwaje kuutumia huo uvumilivu 29 oktoba 2025? Kwa...
  14. E

    Leo ni Holiday tunawasha moto! Mistari yangu mipya kwa ajili ya mashabiki wa burudani hapa JF

    Wakuu, Natumai weekend/holiday inaenda vizuri! Kama unajua umetoka kwenye "mchakamchaka wa wiki" na jasho lilikuvuja sana, huu hapa ni ujumbe wako wa ushindi. Nimeandika lyrics hizi kwa ajili ya kila anayepambana na sasa anataka "kula maisha" bila stress. Huu ni wimbo wangu mpya wa "Holiday"...
  15. Speculation bwana haya eti Nyama ya moto sana Kutema huwezi Maana ni utamu Kumeza huwezi ni ya moto

    Mmoja akauliza maswali ya kipuuzi nimtu namiheshimu very prominent What if wakasema tukimuacha huru bila ka hatia kokote ni shida atatushtaki, bora kifungo au faini Maana faini wana Chadema watailipa tu! Haimaanishi lazima kesi kwe hivo kuna mtu kauliza what if anafungwa kifungo cha nje miaka 5...
  16. Kangi Lugola Acharuka kwa Kuandaa Muswada Chini ya Hati ya Dharula: Anataka Bunge Limpe Meno CAG kwa Ajili ya Kuwashtaki na Kuwafunga Wezi Serikalini

    Mhe. Kangi Lugora, Mbunge wa Mwibara Hatimaye, ni kama, Kangi Lugola, mbunge mkongwe wa jimbo la Mwibara, lililoko katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, ameamua kuachana na maneno ya miaka nenda rudi yasiyo na vibwagizo vya matendo. Baada ya moto kuwaka huko bungeni kutokana na madudu yaliyomo...
  17. M

    ukipewa option maiti yako izikwe au ichomwe moto hadi majivu utachagua kipi ?

    ukipewa option maiti yako izikwe au ichomwe moto hadi majivu utachagua kipi ?
  18. Wayebusi hatupoi moto ule ule mwanzo mwisho

    Hiyo ndo sifa ya Wayebusi. Ni sababu ya kula vizuri na kushiriki mazoezi. Afya njema na wakati wote kujitunza huku tukikabidhi kila kitu kwa sir God. Uyebusi ni Imani, ni Utamaduni, Ni Maisha ni Uchumi.
  19. Kwa Mujibu wa LEMA, kuhamasisha Maandamano ni Kosa, ila vyombo vya Dola kuua Watu Kwa Risasi moto , Sio Kosa !!!

    Hela za Abdul ulizokula zinakulazimisha ulopoke kama Mtu aliyekatwa kichwa !!. LEMA wewe ni kadudu kadogo sanaaa kulinganisha na CHADEMA.
  20. Naomba nitolee ufafanuzi kuhusu ile mada ya Chupa yenye maji ya MOTO

    Najua wengi hawakunielewa kwanini niliamka nikaanza kuuliza au kujiuliza swali fikirishi la kidadisi lenye kuonekana km kwamba ni swali la kitoto. Lakini ni ukweli ulio wazi lile sio swali la kitoto ni swali ambalo watu wamekaa wakalofanyia uchunguzi wa kina. Sasa ipo hivi; Maji ya kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…