mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkuu wa Jadi wa Aflao; Wanaume wanashindwa kufanya vizuri tendo la ndoa kwasababu wanawake hawavai shanga

    Mkuu wa Jadi wa Aflao , Torgbuiga Adzonugaga Amenya Fiti V huko nchini ghana, amesema kuwa kushindwa kwa baadhi ya wanaume kudumu muda mrefu kitandani kunasababishwa na wenza wao kutovaa shanga za kiunoni. Akizungumza kuhusu suala hilo, kiongozi huyo wa jadi alisema kuwa desturi ya wanawake...
  2. Mkuu wa Mkoa Chalamila, usipoe, bajaji na bodaboda waondoke katikati ya jiji na major highways.

    Kupanda bajaji na Bodaboda ni roho mkononi. Waendeshaji wa vipando hivyo hawaheshimu sheria wala watumiaji wengine wa barabara. Matokeo yake ni kama hiyo bajaji, lori na daladala "wamemfanyizia" bajaji,
  3. H

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kw

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania, pamoja na Wawakilishi wa Mashiriki na Taasisi za Kimataifa nchini...
  4. Waziri Mkuu ashiriki hitma ya marehemu Hafidh Amir Hassan Kizimkazi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumatano, Septemba 09, 2026, ameshiriki Hitma ya kumuombea marehemu Hafidh Amir Hassan, aliyekuwa mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hitma hiyo imefanyika Kizimkazi Mkunguni, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar...
  5. Rais Samia Asimikwa Mkuu wa Machifu Tanzania

    • 8,Septemba 2021 — Rais Dr. Samia Suluhu Hassan Asimikwa kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania ▪︎ Tarehe 8 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alisimikwa kuwa Mkuu wa Machifu wote Tanzania katika Tamasha la Utamaduni lililofanyika Kisesa, Magu, Mwanza. ▪︎ Katika tukio hilo, Machifu walimtawaza...
  6. H

    Waziri mkuu ashiriki maziko ya mhe. Hafidh Ameir Hassan

    WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZIKO YA MHE. HAFIDH AMEIR HASSAN Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 07, 2026, ameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wananchi katika maziko ya Marehemu Hafidh Ameir Hassan, Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
  7. Tetesi: Mchengerwa kuwa waziri mkuu

    Wakati naenda makumbusho Leo nimekutana na mtu mmoja amvaa baragashia akasema 'Wanamtandao wanatanduana ni mnyukano Kati Yao Akanidokeza kuwa waziri mkuu ajaye ni Mchengerwa soon as possible. Aisee nimecheka baada ya kulia
  8. Waziri Mkuu: Mkandarasi wa barabara Ilongero kutangazwa mwezi huu

    Ndani ya mwezi huu huu, muwe mmeshatangaza kupata mkandarasi wa kuanza kujenga hizi kilomita 11 za awali ambazo zitaziba hili pengo kuanzia hapa mpaka kwenye lami na kupita kidogo mji wa Ilongero-Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba. 📍Ilongero-Singida 🗓️Septemba 06, 2026 ——————- Amesema hayo...
  9. Waziri Mkuu Atoa Wito: Tahadhari Mafuriko

    Maeneo ambayo mnaona ni ya hatari sana Watanzania tunayajua. Tunayajua maeneo yenye historia ya mafuriko. Ni vyema tukaanza kuchukua tahadhari kwa sababu hicho ndicho tunachoweza kukifanya-Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba. 📍Ilongero-Singida 🗓️Septemba 06, 2026 ——————- Amesema hayo wakati...
  10. Katika kusherehekea Mwaka mpya wa kiyahudi Waziri Mkuu wa Israel atembelea Makao MAKUZI ya Mossad!!!

    Israeli: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema alitembelea makao makuu ya Mossad na kukutana na wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuhusu usalama wa Israeli. Netanyahu alitoa wito wa sehemu ya Torati ya wiki hii, akitoa wito wa "kuwa hodari na jasiri," na akasema, "Hiki ndicho...
  11. H

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 202

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 2026.
  12. H

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 202

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 2026.
  13. R

    Katibu Mkuu BAVICHA: Sisi tumeruhusiwa kuwa Think Tank ya chama, tofauti na wenzetu upande mwingine ni Praise and Worship Team

    Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Dua Lyamzito, amesema kuwa tofauti kubwa kati ya baraza hilo na mabaraza ya vijana ya vyama vingine vya siasa nchini ni uhuru wa kufikiri na kufanya ukosoaji ndani ya chama badala ya kuwa vyombo vya kusifu na...
  14. Dkt Mwigulu: Serikali kuendelea kutafuta vyanzo vya mapato kuongeza wigo wa wanufaika, Bima ya Afya si TASAFU kwamba kusaidia wasiojiweza

    Bima ya afya ni kwa wote. Maana yake, kila Mtanzania ashiriki kukata bima ya afya, na kupitia programu hii ndipo tutakapoweza kuwa na bima ambayo ni jumuishi, ambayo haitaacha mtu nyuma-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Dodoma-Tanzania 🗓️ Septemba 03, 2026 Amesema hayo wakati akijibu swali la...
  15. Waziri Mkuu Afungua Kongamano la 5 la Kitaifa Dodoma

    https://www.youtube.com/live/XCDPRo8_24s?si=IW7oNMtLDpnRMsbH LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo September 03,2026 ni Mgeni Rasmi ufunguzi wa Kongamano la Tano la Kitaifa Ushiriki wa Watanzania. Hafla hiyo inafanyika katika ukumbi wa mikutano wa PSSSF, Makole jijini Dodoma
  16. Utawala wa Iran lazima uangukie Pua Watake was itakaa-Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu!!

    Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu: Utawala wa Iran utaanguka. Tutauangusha. Tayari uko katika hatua zake za mwisho. Mifumo yetu yote, chini ya mwongozo wangu, inachukua hatua ya kupindua utawala huu.
  17. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 1, 2026

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 1, 2026.
  18. Waziri Mkuu Anasema...

    https://youtu.be/tnZ17-mofYo?si=7ZDvTZvBUmaI6t-b
  19. A

    Baba Askofu mkuu wa KKKT Dr. Alex Malasusa kuendelea na Prof. Faustine Mahali km VC ni kuiangamiza na kufutwa Chuo Kikuu Makumira

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
  20. Maisha Yaanza Leo: Utambuzi Mkuu(spiritual awakening)

    For majority part of my life, Nilikuwa najiuliza what's the point of all of this?? Sasa leo baada ya meditation na fasting ya kina. Jibu limekuja, Sio utambuzi wa kujua mimi ni nani, au kwa nini maishani. Bali kutambua sikupaswa hata kuuliza kabisa. Leo ndo nimetambua kuwa mimi ni kila kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…