mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. Tabia halisi ya mume kwa mke inaonekana akiwa na hela / Tabia halisi ya mke kwa mume inaonekana mume asipokuwa na hela

    Tabia halisi ya mwanaume kwa mke wake inaonekana akiwa na hela , tabia halisi ya mwanamke kwa mume wake inaonekana mume asipokuwa na hela.
  2. C

    Unaishije na mke wako ili kuhakikisha heshima iko palepale

    Sometimes hata kama wewe ni nani unapokua nyumbani una behave tofauti, swala ambalo linaweza kufanya hata mke wako akuchukukie poa. Binafsi mimi ni profesa wa hisabati, na mtafiti. picha yangu niliyonayo kwenye jamii ni tofauti kabisa na Nyumbani kiasi cha kuona ninapokua nyumbani watu...
  3. M

    Mke kahamia chumba Cha watoto wiki sasa

    Wataalamu wa mahusiano mke kahama chumbani kaenda kuwa analala chumba Cha watoto wiki sasa,nikitafakari labda Kuna jambo tutakua tumepishana sioni, ndoa Ina miaka 13
  4. Hivi ndugu zangu, mke bora ni yupi?

    Binafsi ninajipanga kufikia katikati ya mwaka ujao niwe na mchumba wa kuweka ndani.. Najua kuna wengi hapa hampendezwi na kuoa, kwa sababu ya vihoja visivyo Isha kutwa kucha.. Ila nimejaribu kupima mzani wa mimi kutokuishi kwenye ndoa na nimeona ya kuwa siwezi, siwezi kutapatapa na kupoteza...
  5. baada ya kupetezana kwa mda mlefu hatima wemekutana tena

    baada ya kupetezana kwa mda mlefu hatima wemekutana tena
  6. Mke mpole na mke mchangamfu yupi bora?

    Mmoja ni mpole na mkimya, mwingine mchangamfu na mjanja yupi bora wa kuweka ndani
  7. Rafiki yangu mke wa mtu miaka 52 ana mimba ya chekibobu, mumewe yupo Netherlands masomoni tangu 2024 Dec

    Huyu rafiki yangu alikuwa mlokole kweli kweli, mtu wa maombi kwelikweli, amejawa na Roho wa Bwana. Baada ya mume wake kusafiri, siku moja tukawa tumetoka naye out kuna kitu very weird nikakiona, aliagiza Savannah, nikajidai kama sijaona kitu. Akajiongelesha, nataka nitest leo inafananaje. Basi...
  8. M

    Mwanaume! Hizi ni siku 6 ambazo unatakiwa umkaze kisawasawa mke wako

    1.Siku aliyokusamehe kosa lako.hakikisha siku hii unatumbua vijipu vyake vyote vya hasira vilivyoiva kwa wakati huo. utajua wewe utatumia mbinu gani ila hakikisha hilo bro! Ombi la msamaha kwa mwanaume linakamilishwa na mikazo. Ukimkaza vizuri hapo ndio atakusamehe mazima kutoka...
  9. Mke wangu hana shida mimi kuongeza Wake wengine wa kumsaidia. Ila amenipa vigezo vya mke anayemhitaji kama ifuatavyo;

    Habari za leo! Kabla ya kumuoa mke wangu nilimwambia tangu huko yaani hata kabla hatujajuana kimwili. Nikamwambia kwamba sisi Watibeli kuoa wake wengi ni jambo la kawaida. Hivyo ajue mapema. Kama atakubali kuwa na mimi basi ajue hilo. Kama hatakubali kila mtu apite hivi. Nikampa muda wa...
  10. Natafuta mke umri miaka 35 - 40

    Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo ,awe na Umri wa miaka 35 mpaka 40, mcha Mungu anayesali Pentekoste ,pia awe na changamoto ya Kisukari .ninamaana yangu kubwa sana , sihitaji maswali au dhihaka kwa maombi yangu haya . Asante sana .
  11. MKE WA MSANII MR BLUE, KABAYSER WALIKUTANA NIGHT CLUB 2003, MPAKA SASA NI MKE NA MUME

    Mr blue alipo kua akihojiwa na ric msafii kafunguka mambo mengi kubwa zaidi ni inshu ya kifamilia amabapo amedai, mkewe yule shombeshombe, walikutana night club miaka hiyo kwa mara ya kwanza. Faida ya huyo mke wa Mr blue anadai kua mkewe ndio alien muachisha mambo ya kuvuta ma namna gani kwani...
  12. Mke wangu anakesha 'Live' mitandaoni hadi Usiku Mnene nikimwambia namhitaji anasema nisubiri amalize kwanza!

    Mke wangu muda wote yuko busy kwenye mitandao ya kijamii. Nikimwambia kwamba namhitaji, ananiambia nisubiri amalize kufanya Live kwanza! Tabia hii ni ya muda mrefu. Ilifika hatua nikamwambia mama yake (mama mkwe) kuhusu mwenendo wa mke wangu. Lakini licha ya kuonywa, bado ameendelea na hiyo...
  13. Huyu jamaa kosa lake lilikuwa tu kuongeza mke wa pili mpaka akauliwa kinyama hivi?

    Ni jambo gani hasa alilofanya jamaa huyu hadi kustahili kuuawa? Anaitwa Nashon Ouma Opiyo, mkazi wa Ongoro, Kamreri, eneo la Suba huko Kenya, alifanya nini mpaka mke wake mwenyewe na watoto wake, kwa madai yanayoelezwa, wageuke dhidi yake, wampige ndani ya nyumba yake na hata kumchomeka...
  14. Nimempoteza mke wangu kipenzi

    Siku isiyo sahaulika katika historia ya maisha yangu ni pamoja na hii tarehe 6/11/2026 saa 11 alfajiri nikiwa katika hospitali ya litembo, muda na saa ambayo mke wangu kipenzi alipoteza uhai baada ya kupata upasuaji kwaajili ya kuleta mtoto. Ee Mungu nakusihi Ee Bwana wangu ikikupendeza wewe...
  15. Mungu atuepushie mbali kupata mke jamii ya mke wa lissu

    Ni utaratibu wa kawaida mke na watoto kuwa bega kwa bega pale baba au mwanafamilia mmoja anapopata tatizo lolote iwe maradhi,misiba au hata mashtaka ya kimahakama,tuwe tu wakweli,je mke wa aina hii anafaa kwenye jamii yetu na udugu wetu wa kitanzania? Let be frankly and truly, Maisha ni...
  16. K

    Mke wangu anashindia kanga moko muda wote

    Wadau hii hali mpaka inanikera kabisa huyu mke wangu akiwa ndani muda wote anakuwa mtupu tu. Mtoto akienda kucheza na wenzake anavua na kubakia na pichu tu. Binafsi sipendezwi na hii hali nishamwambia aache hii tabia ila hasikii. Muda mwingine umetoka zako kazini mara anakuja kukukalia daaah...
  17. Watoto wa Lissu au mke wake walipaswa kuwa mahakamani leo.

    Sina uhakika kama watoto au mke wa Lissu wako mahakamani leo, kama hawajafika hili ni kosa kubwa la kimawasiliano CHADEMA watakuwa wamefanya kukosa picha ya watoto au mke wake mahakamani.
  18. G

    Wanawake wengi wenye magari wasio na biashara ni Malaya Grade one hata kama ni mke wa mtu fuatilia Kwa makini

    Wanawake ni watu wachungu sana kwenye kituo Hela za matumizi hata Kwa mambo yanayowahusu wao wenyewe. Hivyo ni vigumu sana kugharamia gari mafuta na maintenance za mara Kwa mara . Mshahara wake wa laki Tano umwambie atoe laki tatu Kwa ajili maintainance na mafuta ya gari ni ngumu sana Wakati...
  19. Maisha yenyewe mafupi mke mrefu wanini?🤣🤣😂🤣

    Maisha yenyewe mafupi mke mrefu wanini? 🤣🤣😂🤣
  20. Kwa sisi tuliosoma Haifa tunasema ile press ya Lema ilikuwa ni gear na clutch ya talaka ya ndoa ya miaka mingi. Huko mbeleni atamtambulisha mke mpya

    Nafikiri ngara23 Nyani Ngabu na Mshana Jr wamenielewa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…