mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Real Madrid: Tchouameni ameongeza mkataba mpya hadi 2032

    Kiungo wa Real Madrid, Aurélien Tchouaméni, ameripotiwa kuongeza mkataba wake na klabu hiyo ya Hispania, hatua inayoashiria kuwa Madrid inaendelea kumuweka katika mipango yake ya muda mrefu. Mkataba huo mpya unatajwa kumalizika mwaka 2032. Hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa Real Madrid...
  2. O

    Mkataba wa Ksh Bilioni 90: Kampuni ya Kigiriki Kujenga Kinu cha Umeme kinachoelea Mombasa

    Kenya imeingia mkataba mkubwa wa Ksh bilioni 90 na kampuni ya nishati ya Ugiriki ya AMACO Energy SA kujenga kinu cha umeme kinachoelea jijini Mombasa. Mradi huu, unaofahamika kama HERCULES, utajengwa pwani ili kusambaza umeme wa kuaminika moja kwa moja kwa biashara na vituo vya data katika...
  3. Mwanamke ni kiumbe wa ngono, kama wewe ni mwanaume na umeshindwana naye vunjeni mkataba wa kuishi pamoja badala ya kuishtakiana

    Mwanamke ni kiumbe wa ngono, ikiwa wewe ni mwanaume na umeshindwana naye vunjeni mkataba wa kuishi pamoja badala ya kuishtakiana Mwanamke ni kiumbe wa ngono kwa maana kuwa wanaume wote watakapomuona watatamani kulala naye, ikiwa una mgogoro na mke wako kila msuluhishaji atakayekuja awe wa kiume...
  4. Bunge laridhia azimio la Tanzania kujiunga na mkataba wa usalama angamtandao (mkataba wa malabo)

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Azimio la mapendekezo ya Tanzania kujiunga na Mkataba wa Umoja wa Afrika wa Usalama wa Angamtandao na Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa mwaka 2014, maarufu kama Mkataba wa Malabo. Azimio hilo limewasilishwa Bungeni na Waziri wa Mawasiliano na...
  5. O

    KSh10.2 Bilioni za Bomas Zitaishia Mifukoni mwa Nani? KTN Yafichua Mkataba Wenye Utata

    Uchunguzi wa KTN News umeibua maswali kuhusu matumizi ya mabilioni ya fedha za umma katika mradi wa ujenzi wa Bomas International Convention Complex (BICC), baada ya kufichuliwa kwa mkataba wenye gharama zilizoongezeka na vipengele vya malipo vinavyotiliwa shaka. Katika uchunguzi uliotangazwa...
  6. Mhe. Ndejembi Afungua COP12 Mkataba wa Nairobi

    Makamu wa Rais wa Jamhuri va Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amewasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa 12 wa Nchi...
  7. Tanzania Yaongoza Mkutano wa 12 wa Mkataba wa Nairobi Kuhusu Uhifadhi wa Bahari

    Dar es Salaam. Tanzania imefungua rasmi Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi, unaolenga kujadili hatua za pamoja za kulinda mazingira ya bahari na maeneo ya pwani katika ukanda wa Bahari ya Hindi Magharibi. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 6, 2026, Waziri wa Nchi...
  8. Ninatafuta bajaj ya gesi ya hesabu au mkataba

    Ninahitaji bajaji ya hesabu/mkataba ya gesi. Namba yangu 0781156771. Leseni ninayo Nipo Maili Moja, ila ninafanya shughuli za udereva Barabara ya Morogoro
  9. Tanzania Kuandaa COP12 Mkataba wa Nairobi 20

    Tanzania inatarajia kuwa mwenveii wa Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12) utakaofanyika iijni Dar es Salaam kuanzia Oktoba 6 hadi 9, 2026, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
  10. K

    Je mkataba wa kujenga kiwanda cha usafishaji Tanga ni kweli au utapeli

    Tukumbuke mradi wa gas tumeongea kwa miaka 20 wenzetu kenya miezi minne uwekezaji $17B na hawana chochote pale! Sasa huu mradi wa Tanga hata Musevi hajui kinachoendelea amesema hata weka pesa mpaka aone plan
  11. Tanzania na Qatar wasaini Mkataba wa kuondoa utozaji kodi mara mbili (Double Taxation Agreement-DTA)

    TANZANIA, QATAR ZATIA SAINI MKATABA WA KUONDOA UTOZAJI KODI MARA MBILI. Na Benny Mwaipaja, DOHA QATAR TANZANIA na Qatar, leo tarehe 29 Septemba, 2026, zimetia saini Mkataba wa Kuepusha utozaji kodi mara mbili na kuzuia ukwepaji kodi (Double Taxation Agreement). Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya...
  12. A

    KERO Responded Wafanyakazi wa TANESCO kupitia mkataba wa STE tumeondolewa kazini bila utaratibu huku michango yetu ya NSSF ikiwa haijawasilishwa

    Sisi tulikuwa wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), katika Mradi wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP) Rufiji, tukiwa tumeajiriwa kwa mkataba kupitia STE. Tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kuondolewa kazini bila kupewa taarifa (notice) kama ilivyoainishwa kwenye...
  13. Tanzania na Qatar Zasaini Mkataba wa Ushirikiano

    Waziri Mkuu wa Dkt. Mwigulu Nchemba (kushoto) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Sheikh Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani wakishuhudia utiaji Saini wa Mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kisiasa na kidiplomasia baina ya Qatar na Tanzania. Mkataba huo umesainiwa na Waziri wa...
  14. Masomo ya hisabati na computer/coding yafundishwe kwa kiingereza shule za msingi

    kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi. Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
  15. Kosa la Makonda kwenye jezi ni kuukataa mkataba halali hata kama mbovu.

    Kama mkataba ni mbovu lakini ni halali basi ni halali hata kama ni mbovu. Kikubwa angalia wapi umekiukwa au subiria hadi umalizike.
  16. Sandaland: Kwa mujibu wa Mkataba, aliyepaswa kuzikataa Jezi ni TFF, wakati tumepeleka 'sample' kama hazikuwa na ubora

    Mwanasheria na Mwakilishi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited, Cletus Tharcisiusy Nziku, amesema mkataba kati ya kampuni hiyo na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unapaswa kuheshimiwa kwa mujibu wa masharti yake. Amesema kwa kuzingatia kanuni ya sanctity of contract na the...
  17. Sandaland kuongea na wanahabari kesho. Ni kuhusu Makonda kuingilia mkataba halali na TFF

    Uongozi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear limited unatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho September 22 2026 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam kuanzia saa tano kamili asubuhi. Hata hivyo kupitia taarifa yake kwa Umma, Kampuni hiyo ambayo ndiyo yenye tenda ya jezi za Timu...
  18. Pamoja na kampuni ya sandaland kuwa na mkataba wa jezi,kwa wakati huu tulistahili kuwa na jezi za kiwango cha juu!...

    Makonda yupo sahihi sana,tukumbuke makonda ni kijana mwenye ubunifu wa hali ya juu sana,haikupaswa kwa wakati kuwa na jezi zile zile za kimazoea,jezi za wakati wa msimu huu zilistahili kuwa extra katika utengenezaji wake alama zake nini cha kuongeza kwa promo kubwa zaidi katika kulitangaza taifa...
  19. Uhusiano wa kimapenzi na Mwanamke aliyekuzidi umri ni hatari Mkataba

    Unapoingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyekuzidi sana umri, fedha, au uzoefu wa maisha, wengi huona tu miili miwili ikikutana au akaunti ya benki ikiongezeka. Lakini katika ulimwengu wa roho—iwe ni kupitia elimu za kale za Afrika (African Metaphysics), miiko ya kiasili, au hata...
  20. Mkataba umeisha tarehe 31 Agosti. Leo tarehe 8 Septemba napigiwa simu na mwajiri kua haongezi tena. Wanasheria tafadhali

    Mkataba ulikua wa miaka 3. Uliishia ile tarehe 31 mwezi wa 8 Leo napigiwa simu na mwajiri kua haongezi tena.. Hii ni mara baada ya kuingiza mshahara wa mwisho. Nilimuuliza kwa iyo kazi ndo imeisha anajibu kua.. hajui. Sio mtaalamu sana wa sheria, hivi utaratibu alioutumia ni sahihi? Kwisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…