Jamani Nina changamoto na ninahitaji msaada wa tsh 270k Kila Kona ninayoitazama nina deni , ess yangu haitamaniki siwezi elezea Kwa urefu kwanini nimefika hapa ila naomba anayeweza kuniazima hicho kiasi nitakilipa Kwa awamu mbili December na January , msaada Jamani
“Wakati ninyi mnajipanga kuweka kwenye bajeti, ujenzi huu uanze, mimi nitawatafutia milioni 100. Muanze, tafuteni fundi muanze kujenga. Tukiweza kupata milioni 250 hivi, basi tutakuwa na uwezo wa kujenga nusu ya kwanza.”
𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚
Waziri Mkuu wa Tanzania
🗓️ Novemba 22, 2026
📍...
Habari za leo!
Kabla ya kumuoa mke wangu nilimwambia tangu huko yaani hata kabla hatujajuana kimwili. Nikamwambia kwamba sisi Watibeli kuoa wake wengi ni jambo la kawaida. Hivyo ajue mapema. Kama atakubali kuwa na mimi basi ajue hilo. Kama hatakubali kila mtu apite hivi.
Nikampa muda wa...
Yaani nimeona list ya watu wanaosemwa wamekwenda kwenye kikao cha maridhiano, yaani wote ni wale ambao kimsingi wanakubaliana kwa hoja nyingi na kutofautiana kwa mambo machache au kutokutofautiana kabisa
Sasa kinachoitwa maridhiano unaweza kumaliza matatizo kwa kukaa na mtu ambaye hamtofatiani...
Angalia anavyoshughulika na mambo ya Tz bara, toka ameingia madarakani hajawai kuzindua hata mradi wa kuku.
Angalia alivyo lichukulia suala la Oktoba 29 kwa kuunda vitume uchwara bila kuomba radhi watanzania bara kwa kuuwawa kwa ndugu zetu zaidi 518 (pengine 2000) walifika.
Angalia majibu yake...
Hii ni affirmation..
Mtake msitake, am the next big thing
Wacha nisiongee sana.
Ila ndio hivyo..
I'm gonna be knowned all over the world by 2040.
God, is King, he showed me the vision and am gonna make it happen.
Mimi ninahitaji gesi kwa ajili ya matumizi yangu, wewe unaniuzia gesi na mtungi ambao ni mali yako! Una jina lako na siwezi kuutumia nisipokupata wewe! Na hata nikiacha matumizi ya gesi yako eti mtungi unabaki kuwa wangu kwa jina lako! Hii ni dhuluma hanna tofauti na anayekuuzia leo king'amuzi...
Kama nilivyosema hapo Juu ila natoa utabiri Kuwa Moja ya Sababu Kuu itakayomuondoa Kocha aliyechukua Mikoba ya Manqoba Mngqithi Hapo Jangwani Bwana Fadlu Davies ni kuwa Anatumika na Wapinzani wao Simba Sports Club kuwahujumu
NB:Hili litatokea bila kutegemea mwendelezo wa ushindi au hata kama...
Bila kufungamana na siasa ya chama chochote Mimi binafsi kama msomi na Mtu ninayependa haki, Amani na utu nasimama na wewe Leo .
with no any political affiliation , All the best Hon TAL 🤝
Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe.
Makonda ametoa kauli hiyo akisisitiza umuhimu wa viongozi hao kuombewa wanapopata...
Ukifika tinde pale ndio utajua kuwa kwa nini Congo ,rwanda , uganda na sudani yule jamaa alikuwa tajiri na kuwashika maraisi mmoja wapo huyu bi msumi.
Yoyote kama ni mtetezi wa huu ushenzi wa CCM kumbuka ukijitoa au kustaafu wanakufa na wewe.
Mimi ni mmoja wa wahitimu wa chuo cha afya chini ya NACTE mwaka 2019. Kero yangu inahusu transcript yangu ambayo niliipata baada ya kupitia usumbufu mkubwa.
Nilipoipokea, sikuikagua kwa makini, lakini baadaye nilipogundua makosa, nilibaini kuwa somo ambalo nilipata alama ya A lilikuwa...
Wakuu kuna kipengele hapa natakiwa kupata bilioni kadhaa chap. Sasa kwakuwa mvua za El Nino ni kama zimekaidi, naomba Samia aniwekee bilioni 30 kwenye account yangu ili nivuke hiki kikwazo.
Bilioni 700 zitakazobaki mtaamua kama taifa mzifanyie nini mimi msinijumuishe huko kabisa.
Kama kuweka...
Habari, wana-JamiiForums.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayetarajia kuingia mwaka wa tatu hivi karibuni. Nimebaini kuwa HESLB imeweka kiasi cha TSh 2,310,000 kama jumla ya malipo ya MA (boom) kwa mwaka, badala ya TSh 2,400,000 kama ilivyoelezwa kwenye mkataba wangu.
Aidha, kiasi...
Anonymous
Thread
bodi
bodi ya mkopo
boom
chuo
chuo kikuu
heslb
hivi punde
kikuu
kuingia
malipo
mimi
mkopo
mkopo heslb
mwaka
mwanafunzi
mwanafunzi wa chuo