milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. Duh! Bia za milioni 9!

    Nisiseme mengi.
  2. U

    Wapalestina milioni 1 kuhamishiwa Libya permanently

    Wadau hamjamboni nyote? The Trump administration is working on a plan to permanently relocate as much as one million Palestinians from the Gaza Strip to Libya, NBC News reports, citing five people with knowledge of the matter. The plan is under serious enough consideration that the US has...
  3. Waziri Jerry Silaa: Watumiaji wa Intaneti wamefikia Milioni 49.3 kutoka Milioni 37

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari , Jerry Silaa amesema Watumiaji wa intaneti nchini wameongezeka kutoka milioni 37.3 April, 2024 hadi milioni 49.3 April, 2025 sawa na ongezeko la asilimia 32.3. Waziri Silaa amesema hayo leo May 16,2025 wakati akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma...
  4. Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2 tumsaidiaje?

    Wakuu, Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2, Tumsaidiaje??
  5. Wafanyabiashara wa Dar es Salaam nipeni siri ya kuuza nguo za ndani kwenye fremu ya milioni moja au zaidi kwa mwezi, je mnawezaje kulipa kodi?

    Wafanyabiashara wa Dar es Salaam nipeni siri ya kuuza nguo za ndani kwenye fremu ya milioni moja kwa mwezi, je mnawezaje kulipa kodi? Hili jambo linanitatiza sana sipati majibu, wafanyabiashara wengi wa Dar hasa Sinza wanakodi fremu za bei ghali sana lakini bidhaa wanazouza hazilingani na kodi...
  6. Mradi wa Dola Milioni 5.8 kuhifadhi Misitu ya Asilia wazinduliwa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb), amezindua mradi wa 'Kuimarisha Ustahimilivu wa Bioanuai ya Misitu ya Mazingira Asilia Tanzania dhidi ya Athari za Mabadiliko ya Tabianchi', wenye thamani ya Dola za Kimarekani 5.8 milioni. Mradi huo umefadhiliwa na Mfuko wa Mazingira...
  7. Mr Pimbi ameeleza umma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni Sabini ili warudiane

    Mr Pimbi ameeleza uma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni sabini ili warudiane Ameenda mbali na kusema kuwa Kajala alitaka kulipwa milioni mia moja lakini baada ya negotiation dau la Harmonize likaishia milioni sabini, hii ni dhahiri kuwa Harmonize anaendekeza sana chini bila kufahamu kuwa...
  8. Watu Milioni 2.1 wahudhuria Tamasha la bure la Lady Gaga nchini Brazil

    Zaidi ya watu milioni 2.1 walihudhuria tamasha la bure la Lady Gaga katika ufukwe wa Copacabana, Rio de Janeiro, Brazil, lililofadhiliwa na jiji hilo kwa lengo la kukuza uchumi wa ndani, ambapo umati mkubwa wa watu ulijaza ufukwe huo siku ya Jumamosi wakati nyota huyo wa muziki wa pop alipopiga...
  9. Msaada: Nataka kufungua ofisi ya kuuza vifaa vya simu yaani phone accessories

    Poleni na majukumu wakuu. Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu. Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua...
  10. Abiria zaidi ya milioni 2.3 wasafiri na SGR; Makusanyo yakifikia Tsh. Bilioni 66.8

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania - TRC ndugu Masanja Kungu Kadogosa amesema kuwa TRC imeweza kusafirisha zaidi ya abiria milioni 2.3 tangu kuanzishwa kwa uendeshaji wa treni ya SGR June 14, 2024 hadi sasa Aprili, 2025. Akizungumza katika kipindi cha " One on one" cha Wasafi TV Ndugu...
  11. R

    Niliuliza jina la mfalme wa Palestina kabla ya 1948, hakuna alieweza ! Naongeza dau milioni 2 mtaje himaya ya wapalestina iliyokuwepo kabla ya 1948

    Niliweka humu uzi wa kugawa milioni 1 ikiwa kuna mtu atataja hata kiongozi mmoja tu wa kiarabu aliewahi kuongoza nchi inayoitwa palestina (kama ilikuwepo) hakuna hata moja kaweza Watu waliojaribu kwa mbali wamemtaja “Haj Amin al-Husayni” Hata hivyo huyu hakuwa kiongozi wa kitaifa wa Palestina...
  12. Wachezaji wa Mashujaa kulamba Milioni 100 wakimfunga Simba

    Wachezaji wa Kikosi cha Mashujaa FC wamewekewa kiasi cha shilingi millioni 100 kama wataifunga Simba SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ambao utachezwa Ijumaa Mei 2. Wachezaji hao wameahidiwa milioni 100 kwa ushindi na milioni 50 kwa sare dhidi ya Simba SC. Source: Nassib Mkomwa kupitia...
  13. Cairo: Jiji lenye wakazi zaidi ya milioni 23 bila kuwa na miti hata ya kivuli

    Maisha ya Cairo ni tofauti na Dar es salaam au Nairobi kijiografia na uoto wa asili. Ni jiji wakazi milioni 23 na ukame wa nyasi hadi miti. Hali ya hewa ni joto kali na Bado wenyeji wana utamaduni wa kunywa kahawa na chai mchana bila kusahau shisha..Ni Bora zaidi kuishi miji ya East Africa kwa...
  14. J

    Hussein Machozi: Nilitaka nimpige risasi Ruge, show nililipwa milioni 12 akanipa milioni 1 tu

    Msaani wa kitambo wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nchini Italy anasema mwaka 2015 almanusura 'ampige chuma' aliyekuwa boss wa THT Ruge Mutahaba Machozi alisema hivyo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio Machozi...
  15. A

    Nyumba inauzwa, ipo Kiluvya Madukani. Bei milioni 110, maongezi yapo

    Nyumba inauzwa. Ipo Kiluvya Madukani. Eneo lake 60x20. Nyumba ina vyumba 2 vya kulala na master 1. Ina sebule kubwa. Jiko, stoo na choo cha jumuiya. Parking ya kutosha. Kwa nyuma kuna nyumba ndogo, ina vyumba viwili na choo. Mambo yote ni ndani ya fensi ya matofali. Bei: Tsh.110, mazungumzo...
  16. A

    Nyumba inauzwa, ipo Kiluvya Madukani makabe. Bei milioni 110, maongezi yapo

    Nyumba inauzwa. Ipo Kiluvya Madukani. Eneo lake 60x20. Nyumba ina vyumba 2 vya kulala na master 1. Ina sebule kubwa. Jiko, stoo na choo cha jumuiya. Parking ya kutosha. Kwa nyuma kuna nyumba ndogo, ina vyumba viwili na choo. Mambo yote ni ndani ya fensi ya matofali. Bei: Tsh.110, mazungumzo...
  17. Kiwanja chakukata,sqm.600,Tshs.70 milioni, Mbezi-Afrikana

    Hapa
  18. CAG asema amebaini TANROADS wameilipa kampuni ya Kichina malipo ya ziada ya Tshs Milioni 586.43

    Wakuu, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amesema amebaini Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) alimlipa mkandarasi malipo ya ziada kwa wakandarasi ya Sh.milioni 586.43. Amesema katika ukaguzi wake alibaini Agosti mosi mwaka 2023, TANROADS ilimlipa Kampuni ya M/S China...
  19. Apartment 1 na mapagale-2, (vyumba 4),Tshs.40 milioni, Pugu/Ilala

    ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…