miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Miaka michache ya utawala JPM ni wazi sheria mbovu na maovu mengi ni ruhusa yake.Je tungekuwa naye mpaka leo.

    Ukweli mchungu ila tutafute chanzo cha haya yote. Utawala wa JPM kulipitishwa sheria mbovu kupita kiasi hata huko ulipo pole pole,nchimbu,ndungai,tulia na CCM zina watafuna wenyewe. Hii ya kushinda asilimia zote kila ngazi ni nyie mlianza kwa JPM. bunge kuwa FM academia limianza kwa JPM...
  2. K

    Miaka 5 : Je imani ya Bunge , Mahakama, Vyombo vya usalama umeongezeka au kupungua

    Miaka 5 : Je imani ya Bunge , Mahakama, Vyombo vya usalama umeongezeka au kupungua Kwa mawazo yangu umepungua kwa asilimia zaidi ya 100%
  3. Miaka mitatu baada ya mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 nchini Israel.

    Mkuu wa Majeshi ya Israel, LTG Eyal Zamir, kuhusu kuadhimisha miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7: Vikosi na makamanda wa IDF, katika huduma ya lazima na katika akiba, wafanyakazi wa kiraia wa IDF. Mnamo Oktoba 7, siku ya Simchat Torah 5784, mipaka yetu ilivunjwa katika shambulio la umwagaji damu...
  4. Itachukua miaka mingi sana ijayo Tanzania kua na kambi rasmi ya upinzani bungeni tena.

    Kwasababu, vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania havikubaliki na wananchi kwasababu havina agenda zenye ushawishi, mashiko au maslahi mapana ya wananchi. Lakini baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kua vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kumedumaza pakubwa kuaminika kwa...
  5. Jamaa alikuwa provoked. Afungwe miaka 3 arudi uraiani

    Wanawake wa Kitanzania wanauzi sana hasa wakinogewa na dudu. Jamaa hakuwa na namna zaidi ya kutwanga mtu risasi. Afungwe miaka 3 arudi uraiani kuendelea na maisha
  6. M

    unachopitia baada ya kulipiza kisasi (Revenge), Ukipewa nafasi ya kurudia utafanya maamuzi yale yale ?

    Ukipewa nafasi ya kurudia maisha yako, ukarudishwa kwenye ule muda ambao uliamua kulipiza kisasi… 👉 Utafanya maamuzi yale yale? Au leo, ukiwa umeona madhara yake, ungechagua kusamehe, kuondoka, au kunyamaza? Hebu sema ukweli bila kuogopa kuhukumiwa: Ukipewa nafasi ya pili, ungefanya...
  7. Sasa kama dunia ipo miaka Bil 30 sisi mbona tupo binadamu bil 10 tu kwenye uso wa dunia ?

    Kingine kama kwanzia mwaka 0 mpaka 2000 Kabla ya Kristo ukipiga hesabu na mwaka 0 mpaka leo mwaka 2026 baada ya Kristo, inakuwa miaka elfu 4 kwanini bado mpaka sasa tupo watu bilioni 10 duniani kote ? Wengi mtasema ni Bangi ila Sio bangi, Nimewaza tu. Nawasilisha Nawasilisha.
  8. Miaka 50 ijayo wajukuu wetu watatulaani kwanini tulimnyonga Lissu, kama DRC wanavyolaani kuhusu kumuua Lumumba.

    Habari Wana JF Leo nilikuwa natafakari ni jinsi gani watu wa DRC walivyomuua Waziri Mkuu wao wa Zamani Patrice Lumumba mwaka 1961. Ukiangalia zile picha za video wakati Lumumba anakamatwa utashangaa sana. Kwanza, Lumumba aliwaomba jeshi wasimpige wamkamate tu, ila akatokea mwanajeshi Mmoja...
  9. M

    Nimetimiza miaka 17 kutumia JF hivi sasa. Nimem-miss Dkt Slaa

    Nilijiunga 2009 jf , wakati huo akina Dkt Slaa katibu mkuu wa cdm wakati huo ndio waliokuwa tunajadili pamoja ktk jukwaa hili. Dkt slaaa akiona post yangu alikuwa hana budi kuijibu, hakubali na haridhiki kama hataijibu Nadhani senior member wa jf mtakuwa mshafahamu
  10. M

    Katika umri wa miaka 50 haujatoboa na wala hauna kitu. Kuna uwezekano wa kuwini maisha?

    Yaani inachanganya sana. Maana ukiwa na 50 maisha yako ni ya kupata hela ya kula tu. Bado miaka 10 ustaafu, utaweza kutoboa maisha kweli ujenge, ununue gari na uwe na maisha
  11. Oktoba 2026: Tibeli women, mwanamke mjenzi. Nitasimama

    OKTOBA 2026: TIBELI WOMEN, MWANAMKE MJENZI. NITASIMAMA. Kwa wale Wanawake na Mabinti za Tibeli, na Wanaume wenye mabinti, Wake na wanaopenda Wanawake zao. Mimi Mtibeli, Baba yenu. Nimeutenga mwezi huu mzima. Utakuwa Mwezi wa wanawake wa Tibeli, MWANAMKE MJENZI, kauli mbiu yetu itakuwa...
  12. Tabora yatatua mgogoro wa ardhi iliyomilikishwa toka miaka ya 1969

    TABORA Kliniki ya Ardhi Kidijiti inayoendelea mkoani Tabora imefanikisha utatuzi wa mgogoro wa ardhi uliodumu kwa muda mrefu kati ya familia ya Bi. Osiana Ahadi Shauri na familia ya Saidi Senyange, kuhusu maeneo ambayo familia hizo zimekuwa na nyaraka za umiliki tangu miaka ya 1982 na 1989...
  13. S

    Madereva wa mabasi na malori msikubali yaishe hadi suala la kurenew leseni ya Class C litatuliwe

    Madereva wa mabasi na malori ngoma bado mbichi; wanaweza wakawa wamemaliza suala la kukatwa point za leseni lakini suala la ku-renew leseni ya Cass C bado. Dereva huwezi ukawa una uzoefu wa kuendesha gari miaka 30 leo unaambiwa ukasomee. Sheria hii ilipaswa kutumika kwa maderava wapya...
  14. Miaka 30 ya Bongoflava Dj mix sikiliza hapa.....nyimbo pendwa za muda wote

    https://audiomack.com/nasmiletz/song/dj-nasmiletz-miaka-30-bongo-flava-oldskool-mixcrate zimeandaliwa na dj nasmiletz +255627474141 je kuna noma ani imemiss?? na ipi umeikubali?? sikiliza mpaka mwisho ufurahie na ukumbuke enzi zako
  15. Kumbe hii miaka yote Man City anatudunda alikuwa anatumia njia za wizi wizi

  16. Kituko kesi ya uhaini wa Tundu Lissu: Nassoro Katuga asema, kama TAL hana hatia ya uhaini wa hukumu ya kifo, basi mahakama imfunge jela miaka kadhaa!

    Hii ndiyo nia ya hawa hayawani. Hawataki kabisa mtu huyu awe huru iwe mvua au jua. Lakini mimi nasema, Tundu Lissu si mhaini, fullstop!! ================ Kinachoendelea leo Mahakama Kuu ya Tanzania, obvious mambo si mambo kwa Jamhuri wakiongozwa na Wakili wao mkuu, Nassoro Katuga. DPP na...
  17. Nilipokuwa yanki miaka 10+ na 20s nilidhania siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidiii, sikuwa sahihi, siri ya mafanikio ni connection na favour

    Pesa ni numbers, pesa sio maneno, pesa sio process yoyote, Pesa ni numbers. Kumbuka una hela ila hauna pesa
  18. Miaka 10 bila kusikiliza muziki.

    Najua hakuna kitu ambacho watu wengi wanadai kinawaondolea stress kama muziki. Nilikuw mmoja wa watu hawo . Nilikuw nikishinda na Muzik toka asubuhi hadi asubuhi . Niko kazini, boss akaniletea spika ya Bluetooth,ndo upuuzi ukazidi. Siku moja nikaona siyo fani,nikafuta mizik yote,nikawa...
  19. O

    Kakamega: OCS akamatwa kwa tuhuma za kumbaka Msichana wa miaka 16

    Afisa mkuu wa Polisi katika Kaunti ya Kakamega amekamatwa na kuwekwa kizuizini baada ya kutuhumiwa kumuingilia kingono msichana mwenye umri wa miaka 16. Kwa mujibu wa taarifa za Polisi, OCS wa Kituo cha Polisi cha Lumakanda, Wycliff Kwendo, alidaiwa kuwaambia Wazazi wa msichana huyo kuwa...
  20. 80% ya vijana Tanzania wenye miaka 35 hawana akiba ya kueleweka, hawana ardhi au asset yoyote na hawajajenga nyumba ya kuishi

    Source: Tomato Sauce Uchumi wa Mandoo ndooo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…