miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Mzazi makinika: Hili tatizo litawatesa sana watoto miaka ijayo.

    Kutokana na maendeleo ya technology kwa sasa kumiliki television flat screen kubwa ni jambo la kawaida kwa familia nyingi za kitanzania, Hilo ni jambo zuri lakini maendeleo hayo ya technologies yanakuja na changamoto nyingi kiafya hasa katika matumizi ya flat screen majumbani. Wengi Miongoni...
  2. Kama hauna uzoefu wa kufanya meditation zaidi ya miaka 20

    Umejifundisha tu huna hilo zoezi uzoefu nalo acha kujifanya unafundisha watu🤔 Chini ya miaka 20 nnje na meditation wewe ni kilaza tu kuwa mwalimu mzuri wa meditation, ndio maana bado mnao wafundisha hawajui chochote kuhusu meditation. Wanakurupuka tu.
  3. Wafanyakazi wa TANESCO nao hawakuwa nyuma katika kusherehekea miaka 95 ya kuliangaza Taifa!

    Kutoka mikoa mbalimbali nchini, kwa pamoja wameadhimisha miaka 95 ya historia, mafanikio na kujivunia kuwa sehemu ya safari ya maendeleo ya Tanzania. Miaka 95 ya ukubwa, na safari inaendelea! ⚡
  4. Mtoto wa miaka mitano anusurika kubakwa ndani ya vyoo vya shule

    Mtoto wa miaka mitano anadaiwa kunusurika kubakwa na mwanaume anayedaiwa kuwa na uhusiano naye wa karibu ndani ya vyoo vya Shule ya Msingi Uhuru, Manispaa ya Morogoro, baada ya wananchi kumfumania akiwa na mtoto huyo na kumshambulia. Wakizungumza Mjini Morogoro, wakazi wa eneo hilo wamesema...
  5. Songwe: Askari nane wa Mali Asili washikiliwa kwa kuua mwanafunzi kwa risasi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia askari wanane wa Maliasili Wilaya ya Mbozi kwa mahojiano kufuatia tukio la kupigwa risasi kwa mwanafunzi wa miaka 13, Vanesa Mgala, aliyefariki dunia, na kujeruhiwa kwa Kiriana Mwashilindi, 26. Tukio hilo lilitokea Novemba 24, 2026, saa 11 jioni...
  6. M

    HOJA Serikali iingilie kati kuchunguza wakulima kijiji cha Logoeti kuambiwa wamevamia eneo la machungio, wamelima zaidi ya miaka 30!

    Wakulima katika kijiji cha Logoeti Halmashauri ya wilaya ya Kiteto, Mkoani Manyara waambiwa kupitisha mashamba yao ambayo yamekuwa yakilimwa kwa kipindi kisichopungua miaka 30, kwani inaonekana walivamia eneo la machungio. Mnamo miaka ya 2005-2015, wakulima wa vijiji vya Lukeli, Longojine...
  7. TANESCO Yasherehekea miaka 95 ya kuliangaza taifa!!!

    TANESCO YASHEREHEKEA MIAKA 95 YA KULIANGAZA TAIFA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesherehekea miaka 95 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1931, likijivunia mafanikio yaliyopatikana katika safari ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme nchini.
  8. Miaka 95 ya kuliangazia taifa: TANESCO yaandika historia mpya ya nishati — Mbossa

    MIAKA 95 YA KULIANGAZIA TAIFA: TANESCO YAANDIKA HISTORIA MPYA YA NISHATI — MBOSSA 📌 Shirika lafikisha wateja milioni 6 na uwezo wa kuzalisha zaidi ya megawati 4,600. 📌Lengo ni kuzalisha megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030 na kumfikia kila Mtanzania. 📌Bodi ya TANESCO yaishukuru Serikali kwa...
  9. M

    Panapo majaliwa najiunga rasmi Ccm hata kama moyo upo kwengine, Lengo langu ni jina langu kuwekwa kwenye pdf za teuzi miaka 10 ijayo, Mniombee !

    Umri : 30 Elimu : Masters Shughuli : Biashara, kilimo na ufugaji Ni mwepesi kuzoeana na watu pia kwakuwa chama kinapenda uchawa, hayo maigizo nayaweza. Kwa ushauri niliopewa nimeambiwa nifiche kabisa Elimu na vijisenti nilivyonavyo, au hata wakijua nisiwe naviongelea sana, nije kuvitumia...
  10. Mwenyekiti wa Kijiji cha Juhudi jela miaka 40 kwa rushwa ya Tsh Mil 5

    Mwenyekiti wa Kijiji cha Juhudi, Wilaya ya Kakonko, Mkoa wa Kigoma Bw. Amos Hussein Kwigira (45), amehukumiwa kifungo cha miaka 40 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa mawili (2) ya Rushwa yaliyohusisha matumizi ya fedha za umma kiasi cha Shilingi 5,000,000 ambapo kila kosa lina adhabu ya...
  11. Heri ya Miaka 95 ya Kuliangaza Taifa!

    Habari Tanzaniaaaaa! Leo tunayo furaha kubwa sana ya kusherehekea miaka 95 tangu kuanzishwa kwa shirika lako pendwa la TANESCO! Yeeeees! Miaka 95 ya safari ya uthubutu, uvumilivu, ubunifu na mafanikio makubwa! Kutoka kuunganisha mamilioni ya Watanzania na huduma ya umeme, kutekeleza miradi...
  12. Muigizaji mkongwe wa Nollywood, Pete Edochie, afariki dunia akiwa na umri wa miaka 79.

    Muigizaji mkongwe wa Nigeria, Pete Edochie, ambaye ni miongoni mwa nyota wanaoheshimika zaidi katika historia ya filamu barani Afrika, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79, familia yake imetangaza. Edochie alifahamika kwa sauti yake nzito na ya kipekee, uwezo mkubwa wa kuigiza na namna...
  13. E

    Bodi ya Filamu yaja na mkakati wa kusajili wauza filamu mitaani

    Bodi ya Filamu Tanzania imekuja na utaratibu mpya wa kuwasajili wafanyabiashara wa filamu, wakiwemo wanaouza filamu mitaani na wanaomiliki maktaba (Video Library), kwa lengo la kuwatambua kisheria na kurahisisha usimamizi wa shughuli za usambazaji wa kazi hizo nchini. Kupitia mfumo wa...
  14. TANZIA Muigizaji wa Nigeria Pete Edochie aliyeigiza 'Billionaires Club' afariki dunia

    Muigizaji mkongwe na mtangazaji wa Nigeria, Pete Edochie, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79 baada ya kuugua saratani ya tezi dume kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na familia yake, Edochie alifariki dunia saa 6:30 usiku (12:30 AM) siku ya Jumatano, Novemba 25, 2026, huko...
  15. December Natimiza Miaka Mitatu, No WhatsApp, No IG, Never TikTok or X

    Mwaka 2023 Niliamua Nipige Chini Baadhi ya Social Media. Nikaanza na WhatsApp. Lengo kubwa la kupiga chini WA ilikua ni kupoteza muda sana, Magroup ya Movies, Magari, Kazini, nk yalikua yananipotezea sana muda. Sana. Nikaamkia na IG nayo nikapiga chini. Sasa imepita miaka 3, Kuna faida na...
  16. L

    Miaka mitano tangu Moyo wa urafiki na ushirikiano wa China na Afrika watolewe

    Novemba 29, mwaka 2021, Rais Xi Jinping, katika sherehe ya ufunguzi wa Mkutano wa Nane wa Mawaziri wa Baraza la Ushirikiano wa China na Afrika FOCAC, alitaja Moyo wa urafiki na ushirikiano wa China na Afrika: "Urafiki wa dhati, usawa katika kutendeana, manufaa ya pande zote na ushirikiano wa...
  17. Miaka yangu yote ya 20s imepotea kwenye healing! And unlearning

    Unajua nilipo kuwa mdogo nilikuwa naona watu wanakua vibaka, malaya, wezi, makaidi...nk Ilikuwa ni kama naona kuwa wamefanya uchaguzi, wakuishi maisha yao vibaya, wakati kuna maisha mazuri yatokanayo na kuamua kuwa mtu safi. Ila sikujua kuwa hutakiwi kucheka mamba kabla huja vuka mto.. Life...
  18. Nataka kuanziasha chama Cha siasa Inashangaza kuona bado mnahaidiwa mambo waliohaidiwa wazee wa miaka ya 90 mnahaidiwa mpaka leo Yale yale

    Nataka kuanziasha chama Cha siasa Inashangaza kuona bado mnahaidiwa mambo waliohaidiwa wazee wa miaka ya 90 mnahaidiwa mpaka leo Yale yale
  19. K

    KERO Zaidi ya miaka 13 wananchi wa makuna, kijiji cha mbatakero, wamezuiwa kulima, serikali na tanroads watuambie hatima yetu!

    Fidia tulisaini zaidi ya mwaka mmoja uliopita, lakini hadi leo hakuna malipo wala taarifa rasmi. Msimu mwingine wa kilimo unakaribia, wananchi hatujui tufanye nini! Ninaandika makala hii kwa niaba ya wananchi wenye mashamba ya kilimo katika Kijiji cha Mbatakero, eneo la Makuna, Wilaya ya Hai...
  20. Rafiki yangu mke wa mtu miaka 52 ana mimba ya chekibobu, mumewe yupo Netherlands masomoni tangu 2024 Dec

    Huyu rafiki yangu alikuwa mlokole kweli kweli, mtu wa maombi kwelikweli, amejawa na Roho wa Bwana. Baada ya mume wake kusafiri, siku moja tukawa tumetoka naye out kuna kitu very weird nikakiona, aliagiza Savannah, nikajidai kama sijaona kitu. Akajiongelesha, nataka nitest leo inafananaje. Basi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…