maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    KSh 800,000 Zilienda Wapi? Morara Aibua Hali ya Shule ya Nyansakia, Maswali ya Uwajibikaji na Siasa Yaibuka

    Video ya Morara kuhusu hali ya Shule ya Msingi ya Nyansakia imezua mjadala kuhusu uwajibikaji wa viongozi katika kuhakikisha shule za umma zinakuwa na mazingira bora ya kujifunzia. Katika video hiyo, Morara anaonekana akitembelea shule hiyo iliyoko katika eneo la Borabu, Kaunti ya Nyamira, na...
  2. K

    Mtoto alipomuuliza Baba yake swali la kizushi

    Mtoto: Baba, kama ungepaswa kuchagua kati ya kuzaliwa mjinga au mwizi, ungechagua yupi? Baba: Mwizi. Mtoto: Mwizi? Kwa nini? Baba: Kwa sababu mwizi anaweza kukua na kuwa mwanasiasa, wakati mjinga akiwa bado yuko nje akimpigia makofi na kuwa Chawa wake👏🏽🎭
  3. TANROADS yatoa ufafanuzi kuhusu Taarifa ya maendeleo ya ukarabati wa Mizani ya Mkuranga - Pwani

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mkoa wa Pwani, inapenda kuwataarifu wasafirishaji na wadau wa usafiri kuwa ujenzi/ukarabati wa miundombinu ya Mizani ya Mkuranga, upande wa magari yanayotoka Dar es Salaam kuelekea Mikoa ya Kusini, umefikia asilimia 95. Kwa sasa, kazi zimeingia katika...
  4. Kifo Cha Mzee Wa Mila Chunya Chazua Maswali, Apigwa Na Kitu Butu Kichwani

    Kifo cha Simon Chapula Mwambala (68), aliyekuwa akitambulika kama Mzee wa Mila katika Kijiji cha Mawelu, Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, kimeibua simanzi na maswali miongoni mwa wakazi wa eneo hilo baada ya kufariki dunia kufuatia tukio la kudaiwa kushambuliwa na kupigwa kichwani kwa kitu butu...
  5. L

    Hotuba Ya Rais Samia Yautikisa Umoja Wa Ulaya. Wazungu Wamshangilia na Kuguswa na Hotuba Yake Iliyotoa Majawabu Kwa Maswali yaliyokuwa Yakiwatesa

    Ndugu zangu Watanzania, Kila Anapokwenda Rais Samia ni Lazima Uone Ushindi Wa Alama 3 Muhimu ,Ni lazima Uone Vishindo vya Makofi na kushangiliwa ,Ni lazima uone akiibuka kinara wa Mkutano na kujadili na kila Mtu Ni Lazima uone Wanaomfuata Wote wakipata taabu kubwa sana ya kuzungumza mambo...
  6. B

    Maswali yangu kwa msajili wa baraza la famasi NDG. Boniphace Magige

    Ndugu msajili wa Baraza la Famasi, yafuatayo ni maswali yangu kwako kama mtendaji mkuu wa Baraza la Famasi. 1. Mara kadhaa mmekuwa mkisema, hamuwezi kuingilia mikataba kati ya wafamasia wasimamizi na wamiliki (proprietors) hasa kwenye masuala ya malipo n.k. kwa kile mnachodai kwamba, mkataba ni...
  7. SERIKALI AU MAHAKAMA: Nani Anahusika na Kesi ya Tundu Lissu? Tujadili kwa Sheria, Sio Mihemko

    Ndugu zangu, Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imemalizika jana Ijumaa Novemba 6, 2026, baada ya takribani miezi 19 tangu akamatwe Aprili 9, 2025. Ili tujadili vizuri, tuweke kwanza UKWELI WA KISHERIA uliotokea, halafu tuulize: Lawama ni ya Serikali au ya Mahakama? 1. UKWELI...
  8. Maswali yangu machache kuhusu hukumu iliyotolewa katika kesi ya Tundu Lissu

    Nina maswali machache kuhusiana na hukumu ya miaka 4 iliyotolewa dhidi ya Tundu Lissu. Hivi kama serikali ilikuwa imeshamfungulia Lissu kesi nyingine ya uchochezi iliyokuwa inasubiri hukumu ya kesi ya uhaini ili iendelee kusikilizwa, kwa nini hawa majaji wa kesi ya uhaini kama waliona kuna...
  9. R

    Lema kuna ujumbe wako toka kwa Quinine. Alitegemea utoe majibu kwa maswali haya. Nanukuhu wito wa QUININE kwako. Anataka majibu

    Prelude..Quinine: Lema, kwenye press yako tunategemea utakuja na majibu ya tuhuma hizi. Thread starter; Quinine Platinum Member Today at 7:52 Unatuhumiwa kuikutanisha familia ya Lissu na viongozi wa serikali kwenye hoteli ya Sea Cliff ili familia imuombee msamaha Lissu kwa Samia, je tuhuma...
  10. Naomba watu wenye uelewa wa juu wanijibu haya maswali mawili

    Ukichukua Chupa ya lita 1 au lita 1½ ya Plastiki yenye maji ya moto let say 30/35 au 40 degrees Celsius, ukaiweka kweenye ndoo yenye maji ya lita 20 ya baridi. Utagundua kwamba hii chupa yenye maji ya moto baada ya kuizamisha kwenye ndoo ya lita 20 yenye maji ya baridi kwanza itaenda mpaka...
  11. Harusi imebaki siku 3, send-off ikageuka msiba! hii story ya afrah ina maswali mazito

    Kuna matukio mengine ukisikia unajiuliza, ila unakosa majawabu. Nimekutana na story ya binti anayeitwa Afrah ambaye inadaiwa amefariki dunia zikiwa zimebaki siku tatu tu kabla ya harusi yake. Kwa mujibu wa taarifa , siku ya send-off akiwa ukumbini alianza kucheka cheka bila sababu...
  12. K

    Taifa haliwezi kujenga imani ya kudumu kwa kuwarubuni kwa matukio ya kisiasa. Ili watu wasahau maswali ambayo ni magumu na hayajawahi kupatiwa majibu.

    Maridhiano si tangazo la kisiasa tu kushikana mikono kati ya baadhi ya viongozi. Ni mchakato wa kurejesha imani miongoni mwa watu ambayo maisha yao, familia zao na hali zao zipo mashakani .
  13. Inadaiwa kuna scientific calculator mpya ambazo zina AI na zina connect na simu mpaka unaweza kuuliza maswali

    Nahisi nchi yetu hawa tuliowapa madaraka ni vilaza mpaka makosa wakigundua sio leo. Asilimia kubwa teknolojia zimewafanya wanafunzi kucheat sana na ndio maana matokeo ya ufahuru ni mkubwa kuliko matokeo ya nchi. Kuna scientific calculators mpya ambazo kiakili ya kawaida unaweza kuona inafanya...
  14. Nikilitafakari taifa la Palestine, najiuliza maswali mengi sana kuhusu Mungu na uweza wake. Je, ni Mungu mwenye chuki au ni Mungu wa upendo?

    Sijui Palestinians walimkosea nini Mungu hadi aruhusu wakutwe na wapatwe na yanayopitia. Sauli aliambiwa awauwe Wapalestina wote na mali zao zote na vitu vyao vizuri vyote, Sauli akabakiza wanyama wanono na wanawake wazuri. Mungu akakasirika sana akamfuta kazi Sauli na kumpa ufalme Daudi. Je...
  15. Asante dunia miss grand international imetishaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 huko haendi fala, maswali yanatisha, mmexico kingereza cha mchomoa

    Miss grand huku sio pa mchongo, Mzee Kuna maswali unaulizwa ya papo kwa papo, inabidi kichwani uwe njema. Mmexico ashindwa kingereza hata muecuador nae lugha gongano hapo ndio jihan alipo piga hat trick tusomeni wazee. Jihan jihan jihan, achana na hawa wazee wa jf wao siasa Kila muda, wazungu...
  16. Maswali magumu kuhusu mgogoro wa Ukraine dhidi ya Urusi ukilinganisha na ule wa Iran dhidi ya Marekani

    Matukio ya kuanzia mwaka 2022-2026 yamebadilisha sana akili za watu wengi duniani. Propaganda na ulaghai vimekuwa vikipwaya kila siku dhidi ya ukweli na uhalisia wa mambo. Kumekubwa na maswali mengi mazito ambayo hata wenye akili wanashindwa kuyatolea majawabu ya moja kwa moja: Mosi, Israeli na...
  17. Wanazi wa ndoa mje mjibu maswali ya kataa ndoa

    1.Akili gani mnatumia kusema mnaoa ili mkizeeka mpate wa kuwatoa nje juani na kuwarudushi kwenye vichuguu vyenu. 2.Mahesabu ya wapi yanasema kwamba ukiumwa lazima akuhudumie mkeo.Hivi mnahisi nyuchi zenu zina kipi ambacho binadamu wengine hawana mpaka mkatae kuhudumiwa kisa aibu za kijinga...
  18. M

    Maswali 5 ya kujiuliza ktk Final submission ya Lissu

    1. Alipata wapi internet na kwa muda gani? Ili kufanya research ya kina, kusoma hukumu, sheria, nyaraka na maamuzi mbalimbali, internet au chanzo kingine cha taarifa kingehitajika. Ikiwa alikuwa chini ya ulinzi, ni muhimu kujua alipataje na lini fursa hiyo. 2. Alipata muda gani wa kufanya...
  19. M

    Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
  20. Wazoefu wa hii njia: Nina safari ya Dar - Kahama, sasa Nina Maswali hapa Msaada

    Nina safari ya Dar - Kahama, Kikazi, ila nitafanya kazi siku 2 tu then narudi Dar. Sasa nilipenda nitumie hii chance kutembelea mikoa/wilaya nyingine za Kanda ya ziwa, wakati narudi. Mahitaji yangu: Kwenda nisiendeshe zaidi ya 500 km kwa siku, kwahiyo Njiani nilale 2 nights. Njia gani ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…