mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Maeneo mengi ya Namtumbo - Ruvuma maji yanatoka mara chache, muda mwingine yanakuwa machafu

    Wananchi wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma tuna changamoto ya huduma duni ya maji safi na salama, huwa tunapata maji mara moja tu baada ya siku tatu hali hiyo huwafanya wengi kushindwa kutekeleza shughuli zao za kila siku kwa urahisi kutokana na ukosefu wa huduma hiyo muhimu. Wakati mwingine...
  2. T

    Afariki ghafla akiwa na mpenzi wake kwenye nyumba ya wageni "Guest House" huko mkoani Mara

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake. Jeshi hilo...
  3. U

    Mkutano wa Mwenezi KIHONGOSI MARA wafurika watu wengi mno kuja kusikiliza

    TARIME-MARA 15.05.2026 MKUTANO WA HADHARA WA MWENEZI KENANI KIHONGOSI TARIME MJINI MKOA WA MARAMkutano
  4. Mwanamke amfikisha mwanaume mahakamani akitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye angalau kwa mara moja tena.

    Mwanamke mmoja huko Lusaka, Zambia kamfikisha mahakamani mwanaume aliyalala naye mara moja na kuitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye tena kwa mara nyingine. Hii ni baada ya mwanaume kupiga Hit & run. Kwa mujibu wa huyo mwanamke ni kuwa mara baada ya kulala na mwanaume huyo hajawahi...
  5. M

    Zitto Kabwe: Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha

    Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha. Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls! Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this! Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi...
  6. W

    Ulaji wa mayai wa mara kwa umara unatanua moyo au kuufanya uende mbio?

    Kuna hii stori ambayo nimekuwa nikiisikia sana mtaani tangu nikiwa mdogo, eti "Ukipenda sana kula mayai, moyo wako utatanuka." Zamani tulikuwa tunaogopeshwa sana na hii kauli ya "moyo kutanuka," na wengi wetu tukajikuta tunaogopa kula mayai kwa kuhofia afya zetu. Wengine wanasema shida ni kile...
  7. Kwanini ChatGPT ukimuambia achague random namba, kati ya 1 na 100, mara nyingi atachagua 73?

    Kavurugwa. Gemini yeye anapenda 42.
  8. NIMENUSURIKA MARA MBILI KUBAMBIKIWA MIMBA ZISIZO ZANGU, EEH MOLA NIEPUSHE INSHAALLAH

    Sitaki hata kuwapa salama pliz nimevurugwa. kwa jina naitwa, zachariano alexido. Picha la kutisha linaanzia chugastani, mtoto mzuri Moja mdogo wake na aliekua meneja wetu, mtoto wa kitanga, kanikubalia tuwe pamoja. Sijui ni nini tu kilinifanya nisikaze kumla hako katoto umri miaka kumi na...
  9. G

    Tumia silaha kuu nne

    TUMIA SILAHA KUU 4 TUMIA SILAHA KUU 4 Silaha ya kwanza 1)usitende dhambi jitahidi usitende dhambi na tubu dhambi zako mara kwa mara,samehe watu waliokukosea,usilale na hasira usikasirike,usiogope woga usiwe na hofu wala woga,uwe na imani kuu amini Yesu anaweza yote,na wewe unayaweza yote...
  10. Mtu mmoja afariki kwa kung'atwa na nyuki eneo la Bweri, Musoma Mkoani Mara

    https://www.youtube.com/watch?v=Do0-6e7Bs-Q
  11. A

    KERO Tunalipa nauli mara mbili kutoka Tandika kwenda Pugu, hii sis awa

    Nauli ya kutoka Tandika kwenda Pugu imekuwa ni kubwa sana, ukipanda bus Tandika linaishia Gongolamboto then tunalipa Shilingi 900 kisha ukifika Gongolamboto wanatushusha wanaanza kupakia tena kwa kutumia nauli ya shilingi 700, so jumla tunatumia shilingi 1,600 kutoka Tandika kwenda Pugu
  12. Mh rais wao take care, trump ni mara ya pili anakoswa koswa.km aliyoyasema chande ni sahihi vijana walikuwa na silaha basi tambua hazijaisha.

    Trump kakoswa koswa hii ni awamu ya pili, Je Rais WENU you salama kiasi Gani? Kama chande anasema vijana walikuwa na silaha je Rais WENU you salama kiasi Gani? Utawala ulio mwaga damu kuwa madarakani uo sio utawala kamwe ujitafakari
  13. binadamu walikua wanalala mara mbili, badala ya masaa 8 mfululizo tunayoshauriwa sasa

    Kuamka saa 9 usiku (3 a.m.) si tatizo. Ni mabaki ya mfumo wa kale wa usingizi uliowahi kuwa wa kawaida kwa binadamu. Kabla ya wazo la kisasa la kulala saa nane mfululizo, usiku wa binadamu ulikuwa umegawanyika katika sehemu mbili. Mwanahistoria Roger Ekirch ameonyesha kupitia zaidi ya...
  14. PostGE2025 Ukijumulisha Jumla ya Vifo kwa mikoa ilochunguzwa ni 182+90+80+53=405 Vifo..... Tume inatuambia Jumla Vifo ni 518, mara 818

    Wajinga wakitamalaki ,Dunia inakua sehemu ya kichekesho. Hata hivo, HATUWEZI KAMWE KUSAMEHEE MAUAJI HAYA. Yeye amuombe Mungu msamaha, sisi hatusamehe, NA HILI LITAKUA JUU YAO NA VIZAZI VYAO HATA MILELE.
  15. Kama Tuhuma hizi kuhusu Pesa alizopewa Yanga Zina ukweli, Gerson Msigwa Jiuzulu Mara Moja ni Aibu

    Kuna hizi pesa zinatajwa kutolewa eti kwa Jina la Goli la mama, na Yanga wamekabidhiwa milioni 60 wakati ukalali wao ni milioni 20. Jee kwa vile muhusika na mpanga mipango ya fedha hizo ni wewe huu sio WIZI? Ni aibu kwa mtu ambaye pia ni msemaji mkuu wa Serikali kuwa mwizi au kushiriki wizi wa...
  16. Waziri Ulega: Serikali itaimarisha miundombinu ya Mara, Barabara na Uwanja wa Ndege

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga na kukamilisha barabara zilizopo Mkoa wa Mara kwa kiwango cha lami, ili kufungua fursa za kiuchumi na kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji ndani ya mkoa huo na mikoa jirani. Pia soma ~ Barabara ya Tarime Mjini...
  17. R

    Australia yamteua Mwanamke kuongoza Jeshi kwa Mara ya kwanza katika Historia ya taifa hilo

    Australia imetangaza kuwa kwa mara ya kwanza katika historia yake, mwanamke ataongoza jeshi la nchi hiyo, ikiwa ni sehemu ya mabadiliko ya uongozi ndani ya vikosi vya ulinzi. Luteni Jenerali Susan Coyle, ambaye kwa sasa ni mkuu wa uwezo wa pamoja wa kijeshi, anatarajiwa kuwa mkuu wa jeshi la...
  18. Waziri wa Ulinzi amwakilisha Waziri Mkuu kuchangia Kanisa la Waadvertista wa Sabato Jimbo Dogo la Mara Kaskazini

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 11 Aprili, 2026, katika jimbo dogo la Mara Kaskazini wilayani Tarime, mkoani Mara amemuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba katika Harambee ya kuchangia ujenzi wa...
  19. C

    mtu ajaribu kuni mention mara mbili au tatu kwenye post moja

    kuna utafiti naufanya, naomba kuwashirikisha watafiti wenzangu katika research hii muhimu hapa jukwaani. hivyo kwa heshma na taadhima naomba mtu ataae ni mention kwenye post yeyote zaidi ya mara moja. na pia nitawaletea mrejesho baada ya kukamilisha utafiti huu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…