mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama haya hamyafanyi mara kwa mara ukiwa na mpenzi wako, juwa mahusiano yenu ni ya kuigiza si ya kweli.

    Jiulize:- Mara ya mwisho kuoga pamoja na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho kukimbizana kama watoto wadogo wewe na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho kujambiana wewe na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho ya kumpiga kalio mpenzi wakoilikuwa lini? Mara ya mwisho kukumbatiana...
  2. Fursa Uchumi wa Bluu Yadiliwa COP12 Dar

    Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya...
  3. M

    Mara: Wakili Keneth Roja Nkiko Mbaroni kwa mauaji ya mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Wakili Keneth Roja Nkiko, mwenye umri wa miaka 28 na mkazi wa Mwigobero, kwa tuhuma za kumuua Magreth Hamisi Richard, mwenye umri wa miaka 22, mkazi wa Mukendo, Manispaa ya Musoma, akidaiwa kutenda tukio hilo kutokana na wivu wa kimapenzi. Kwa mujibu...
  4. M

    Baba yangu alilazimisha sana nimpe namba ya simu ya mchumba wangu, sasa anampigia simu hadi mara 10 kwa siku kumjulia hali

    Wakuu kwema, Hii stori inamuhusu mtu wa karibu na mimi naileta kwa niaba yake, kanitumia anahitaji ushauri, nimeandika kwa kutumia uhusika wangu. Nimekua na mahusiano na mchumba wangu kwa muda wa maika 6, na sasa nikaona imefika wakati wa kumuoa, nikaamua kwenda kumtambulisha nyumbani kwetu...
  5. M

    Hivi kuna ukweli wowote kwamba "Mechi" za mara kwa mara ndio siri ya amani kwenye ndoa/mahusiano?

    Habari zenu wanajukwaa la MMU, Kuna kitu nimekuwa nikikifanyia uchunguzi wa chini kwa chini kwa muda mrefu sana kwenye familia na mahusiano ya watu wengi wanaonizunguka, na leo nikaona si vibaya nikilete hapa jukwaani tukijadili kwa pamoja. Kuna hii nadharia kwamba: Wapenzi au wanandoa ambao...
  6. KERO Mama mjamzito kwenda clinic Kwa mara ya kwanza kuna kulipia kwenye hospital za umma?

    Habarini wakuu.. Leo mke wa rafiki yangu kaamua kwenda clinic, baada yakujihisi ni mjamzito wa zaidi ya miezi mitatu..akaamua kwenda hospital iliyopo chuo Cha polisi mkoa x..amefika anaambiwa anatakiwa alipie elfu 54 kwanza, hii ni haki?? Alikuwa na elfu 20 wamemkatalia kabisa..nawaza hii ni...
  7. Sifikiri kama ni mara ya kwanza

    Toka nimejiunga jf 2012 kumekua na maoni ambayo binafsi na yachukulia kama utani . Mara jf hakuna pisi , mara jf I'd zote madume jichanganye ukutane na mbupu😆, mara hakuna wanawake pisi atapatikana jf kwa nature ya mtando wenyewe unavyotaka watu wenye akili 🤔 Mara jf kuna majamaa ni...
  8. Sijui kwanini ila mara nyingi mtoto wa tatu na wanne mara nyingi sio damu yako.

    Nachojiuliza ni namna gani wanawake wame master sanaa ya kuzaa na bwana akalea kama watoto wa kiuno chake.
  9. Hawa ndio vijana humu ambao comments zao mara zote ni fikra kuntu na zenye staha

    Marcostilone ERoni Grahams Dr am 4 real PhD mcTobby Hongereni sana vijana ingawa watasema hizi zote ni akaunti zangu😁
  10. Bado tupo mara

  11. M

    Tetesi: Chivayo, aliewahi kufungwa jela kwa utapeli na forgery kakimbia na vibubu kabla ya marejesho, kafoji ajali kuanza maisha mapya ughaibuni

    Baada ya kuangalia video hii nimejiuliza maswai mengi Kila mtu anasema kwa mwili ule hakika ni yeye, nguo alizojirekodi akiwa kenye helikopta zinafanana WHAT IF hata ile video iliyoanza kusambazwa haraka mara baada ya taarifa kuna mtaalam wa kupoteza watu alipewa bilioni 1 kuondoa viulizo...
  12. Onyo kwa mods: Komeni mara moja kufuta nyuzi zenye mafundisho

    Leo secretarybird ameachia uzi wenye mafundisho murua juu ya baba wa kambo . Lakini kama kawaida mmekua wenye kiherehere na kihoro cha kufuta Kila mara nyuzi zenye mafundisho maridhawa zinaporindima hapa jukwaani. Sasa napenda niwaonye huku nikiwapa muda wa kujitafakari. Tusipangiane vya...
  13. A

    KERO Kwanini gari moja la mizigo linaweza kuonekana lina uzito tofauti kwenye mizani tofauti ya barabarani?

    Kwa kuwa kila siku magari yanapita katika mizani mbalimbali, kuna changamoto inayowakabili madereva na wamiliki wa magari ya mizigo. Unaweza kupita mizani A, ukaambiwa umezidisha uzito na kupewa faini. Baada ya kulipa, unapanga upya mzigo na kuendelea na safari. Ukifika mizani B, unapimwa tena...
  14. O

    Makonda umeamua kulidhihaki Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki na La Mitume? Nakushauri katubu mara moja.

    https://www.instagram.com/reel/DdtlWSlO3fWaX2wlo2zPZ2DWdTNEdaBVoB03dQ0/?stkn=MXM4ZDdrMHhya2k3bQ==
  15. Barrick yawaasa wataalamu wanaotekeleza uthamini North Mara kuzingatia usalama mahala pa kazi

    MARA- Wataalamu wanaoshiriki katika zoezi la uthamini wa mali za wananchi wanaotarajiwa kuhamishwa kupisha ujenzi wa eneo jipya la kuhifadhia mabaki ya shughuli za uchimbaji madini (Tailings Storage Facility – TSF) katika Mgodi wa Dhahabu wa North Mara, wamehimizwa kuzingatia kikamilifu taratibu...
  16. Je, ni kweli biashara ya vipodozi ina faida mara 3 hadi mara 18 kwa bidhaa moja?

    Je ni kweli biashara ya vipodozi ina faida mara 3 hadi mara 18 kwa bidhaa moja. Mfano Bidhaa A ina faida mara 3 Bei ya mtaani rejareja 30,000 Bei ya chimboni ni 10,000 Bei ya bidhaa B faida ni mara 18 Bei ya rejareja ni 18,000 Bei ya chimboni ni 1000 Kama hali ni hiyo faida wanayopata ni kubwa...
  17. Rais Donald J.Trump wa Marekani, awataka washirika wake kujiondoa mara moja kwenye mahakama ya ICC.

    Akihutubia United Nations General Assembly, huko New York leo, Rais Trump ameipiga marufuku mahakama hiyo ya ICC kuwachunguza au kuwashitaki raia wa marekani na washirika wake kote ulimwenguni, na kwamba mahakama hiyo haina uhalali wa kufanya hivyo dhidi ya wamarekani na washirika wake. Aidha...
  18. Dudu baya ni nani kwenye hili taifa; Naagiza akamatwe mara moja

    Hivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi? Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu. Hata vile nilisikia ati Waziri Gwajima anamsifia kwa kutokomeza ushoga? Kwanza nani alisema ushoga unaangamizwa kwa...
  19. Pamoja na kujitahidi kula mara moja kwa siku ila naona ulaji wangu sio wa kawaida, nakula msosi mwingi sana.

    Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali...
  20. Ogopa watu ambao mara nyingi wanatus wenzao "wewe *****/shoga", tafiti zinaonesha mtu anaependa kuongelea taharuki fulani mara nyingi nae ni mhanga

    Hio ndio saikolojia ya mwanadamu Sasa inaweza kuwa yeye ndio mtumiaji wa mashoga, anafir wanawake, yeye ndio shoga mwenyewe au anapenda kuangalia pornographia za mashoga.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…