Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, leo Novemba 24, 2026, amekagua ujenzi wa Soko la Kirumba, Wilayani Ilemela, Jijini Mwanza, unaotekelezwa chini ya Mradi wa Uendelezaji wa Miji Tanzania (TACTIC). Mradi huo wa Shilingi bilioni 14.7, unaojumuisha barabara ya kilomita 2.9 inayoelekea sokoni...