makini

Jully Makini (also known as Jully Sipolo) (born c. 1953 (age 64 in 2017)) is a Solomon Islander poet, writer and women's rights activist. The author of poems such as Civilized Girl (1981) and Praying Parents (1986), in June 2017 she received the International Women of Courage Award from the US Secretary of State for her work in promoting women's rights in the Solomon Islands.

View More On Wikipedia.org
  1. Tuweni makini na hawa wapenzi wa mtandaoni

    Mwaka 2023 kama sio 2024 niliweka uzi hapa unaohusu upweke na kujitenga sana kwa upande wange,basi kuna dada mmoja akanifuata pm,tukawa tunachati baadae tukawa tunawasilia kwa whatssap,yeye ni mwalimu ndio alikuwa ameripoti huko RUVUMA,ni mchaga na ana dada yake hapa dar,anawatoto 2 wote wa baba...
  2. Itashangaza sana kama CCM yenye uongozi dhaifu kama hii isipotolewa kwenye dola na CHADEMA hii yenye watu makini na wanaojitambua.

    Sikatai na wala sipingi kuwa CCM ipo madarakani sababu ya kuwa vyombo vya dola vimeikumbatia. Lakini nguvu ya umma ni zaidi ya bunduki na vifaru. Heche na Lissu wamekiheshumisha chama chao. Kwanza kwa kuwa na msimamo wa kutonunulika. Sasa kwa Chama ambacho kina viongozi kama Kihongosi na Ally...
  3. Wanao-bet simba anafunga ama sare, muwe makini sana leo

    Leoo kazi ipo wakamariaa kaeni mbalili na Simba. Waashakata tamaaaa Leo msishangae wakifungwa ama Kudrow Sema Amina yaradiii
  4. A

    KERO Vilio vya Wamiliki wa Vituo vya Afya Binafsi Wilaya ya Tarime Mjini - Mara

    Habari,hongereni Kwan kazi nzuri ya kufichua maovu,Mimi ni mdau wa Vituo afya wilaya tarime Napenda kuziomba mamlaka za juu zifuatilie kwa makini mwenendo wa usimamizi wa vituo binafsi vya afya katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Katika kipindi cha takribani miaka miwili , zaidi ya vituo 11...
  5. CHADEMA iwe makini na hawa vibaraka wa CCM wanaojirudisha kundini. Wataharibu sifa ya kuwa chama cha ukombozi

    Kinachofanya Chadema kukubalika na watu wengi kwa sass ni kwa sababu Watanganyika wanahitaji ukombozi dhidi ya watawala dhalimu wa CCM Wasaliti ambao waliendekeza njaa na uroho wa madaraka wakaenda kuungana na madhalimu alafu baada ya kuona hawapati faida wameanza kurudi Chadema kwa kasi kama...
  6. Wanangu wa VEGA 100 kueni makini

    Mmesikia wakuu.
  7. Tuwe makini na yanayoendelea nchini, Viongozi wasio waaminifu wameamua kujichotea fedha za walipa Kodi watakavyo

    Katika ulimwengu wa ukaguzi wa hesabu forensic auditing na intelijensia ya jinai (criminal intelligence) miradi mikubwa inayohusisha wageni mashuhuri kama Wasanii na wanamichezo, matukio ya kimataifa au kampeni kubwa za kuitangaza nchi inaweza kutumika kama kichaka au mbinu ya kutakatisha fedha...
  8. Leo mnamaliza kikao Nakuomba Jin ping kuwa makini na hawa watu hawana urafiki wa kudumu.

    1.Kamwe usiache kumpa silaha Iran 2 kamwe usikubali mikataba ya kununua mafuta kwao.
  9. C

    Wakuu tuwe makini sana na vitu tunavyoandika humu

    Hapa google wame suggest maoni binafsi ya bwashehe, pia wame suggest kichwa cha habari cha mada niliyoiandika professa Fikiria kwamba ukiandika ujinga humu Jukwaani, je baadae mtoto akienda google ku search au mtu mzima anaeamini google kwa 100% akienda akakutana na ujinga fulani ulioandika...
  10. No matter what Privacy ni muhimu sana hata wakati wa pillow talk kuwa makini

    Privacy ni muhimu sana kwenye maisha. #privacy is key.
  11. Kuweni Makini na Dar Expart Sales na utapeli wa Pesa Mtandaoni

    Hivi karibuni kumeibuka wimbi jipya la kitapeli ambalo limeacha mamia ya Watanzania wakilia na kusaga meno. Ukiwa unaperuzi Facebook, unakutana na tangazo lenye mvuto wa kipekee: Ukurasa wa "Dar Expart Sales" au "Arusha Expart Sales" unatangaza kuuza bidhaa za ndani kwa bei ya "vunja bei."...
  12. Siku tukibahatika kupata uongozi makini tutaweza kubadilisha miji yetu ndani ya muda mfupi kama China

    Oneni jinsi Wachina ndani ya miaka 20 tu walivyobadilisha miji yao mfano wa Chongqing kutoka slums kama za tandale na kutokuwa na mpangilio hadi kuwa majiji ya hadhi sawa na ya West
  13. Vijana kuweni makini usiloweka kama hujacheki afya na huyo Binti usidanganywe na uzuri wa njee

    its weekend usijisahau ukaloweka kizembe..zinaa ni mbaya..kula gambe ukikaa vizuri upstairs tembea zako ghetto. #play SaFe
  14. Y

    Mada kuu: Msikilize kwa makini David Kafulila akifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV

    https://youtube.com/live/luCqPlMzdcU?feature=share Sikiliza hii David Kafulila na wenzake wakifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV (2026|27-2030|31)
  15. Kuwa makini na Meta AI

    Imeulizwa maswali machache, na haya ndiyo majibu.
  16. Russia & US: Hebu soma kwa makini ili ujue kipi cha kujifunza kati ya hizi nchi mbili zenye nguvu duniani

    Niaje waungwana Leo naomba niwaletee njia mbili ili mchague wenyewe wapi kwa kuelekea. Njia ya kwanza ni Russia. Russia ilianza vita yake na Ukraine miaka 4 iliyopita, na mpaka leo haijaonesha lengo wala nia ya kutaka vita hiyo isimame. Vita hiyo iliyoanzishwa na Russia yenyewe ikiongozwa na...
  17. M

    Wanawake wengi ni wepesi kuvutiwa kimapenzi unapowafariji, nimekuwa makini kuzingatia mipaka kwenye ufariji kupunguza msururu wa wake za watu inbox

    Wanawake wengi hasa kuanzia miaka 25 ambao tayari wana watoto au ndoa huwa na matatizo mengi kama madeni, mambo ya kuhisi wamerogwa, kuhisi wametengwa, kuhisi mme wake anachepuka, watoto, n.k. Na hiki ndicho kilichonibadilisha taswira yangu ya kuona wanawake wanavyopenda kwenda makanisani, huwa...
  18. R

    RC Chalamila: Tangu niliposikia ukishikwa bega Nyeti zinaondoka nimekuwa Makini sana, sababu sina Mali nyingine ninayomiliki

    Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila ametoa kauli hiyo baada ya hotuba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi kusema uchunguzi uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama umebaini kuwa taharuki iliyozuka nchini ya watu kuibiwa sehemu zao za siri ni uzushi wenye nia ya kuvunja amani ya nchi.
  19. Chalamila: Tangu nisikie ukishikwa bega nyeti zinapotea nimekuwa makini, sina mali nyingine

    Mkuu wa Mkoa Dar, Albert Chalamila (Chala boy) huyo anasema Tangu asikie ukishikwa bega nyeti zinapotea amekuwa makini sana, maana hana mali nyingine zaidi ya hizo zaga. Soma pia ~ Katambi: Madai ya kuibiwa Nyeti ni uzushi ~ Suala la watu kupoteza nyeti, tumesahau Ripoti ya CAG, kupanda bei ya...
  20. M

    Wanaume tuwe makini, Wizi wa sehemu za siri za kiume "Penis snatching" umeingia Tanzania

    Ni wizi huu wa sehemu nyeti kwa njia za kishirikina uliokuwa maarufu Congo na sasa umeingia Tanzania, Wizi huu unaripotiwa na wahanga pale mtu mnapokutana akikushika mkono au kukupiga begani huku akizuga kuomba njia apite, kukusalimia, kukusifia, n.k. Utahisi mwili unavibrate na kudhani ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…