majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kutoka Kusoma Insha Hadi Majibu ya Sekunde Moja ya AI, Kwaheri ya Kuonana Wikipedia, Mkurugenzi wako ameshindwa kujiongeza!

    Kwa miongo miwili, Wikipedia ilitawala ulimwengu wa maarifa mtandaoni ikionekana kama chanzo kikuu cha taarifa kwa kila mtu. Hata hivyo, mabadiliko ya kasi ya teknolojia yanatishia nafasi hiyo, yakisukuma jukwaa hili kuelekea ukingoni mwa kupoteza ushawishi wake wa zamani Kuibuka kwa mifumo ya...
  2. Kuna mtu kanitaja kwamba nina IQ ndogo haya ndo majibu yangu

    Kuna member kanitaja kule kwamba nina IQ ndogo na anaamini kwa kufanya hivyo ananikera na kuna ambao wamemsupport Paroco Watanzania ni watu ambao wanapenda sana sifa hata ambazo ni wazi hastahili kwa hiyo ukitaka kumuudhi mtanzania hata kama yeye hana fedha mwambie huna fedha atakukasirikia...
  3. Watu wa sayansi naombeni majibu juu ya hili

    Salaam wakuu, Kama ilivyo ada ukiwa bado unapumua kuna mengi yatakushangaza na kukuacha mdomo wazi iwe kwa kuona au kwa kusikia Sasa bhana leo kuna kitu nimesikia nikabaki nimeduwaa,na ndo kimenileta hapa ili mnipe ufafanuzi wa kutosha Hivi ni kweli kwamba mama mjengo akiwa na mimba then...
  4. Unakubaliana na hoja za Thomas Muller kuwa MLS ni ligi dhaifu??

    Katika mahojiano yake ya hivi karibuni na Global News, nyota wa Vancouver Whitecaps FC, Thomas Müller, ametoa maoni yake ya wazi akieleza kuwa ligi ya MLS haina ubora mkubwa wa kiushindani kama ligi za Ulaya kwa sababu haina mfumo wa timu kushuka daraja (relegation). Kwa kawaida timu zilizopo...
  5. Ajali ya Meli Mwanza, Tunajua mtakuja na majibu mepesi na ya kipuuzi. Tunataka majibu ya kina

    This time hatutahitaji majibu ya kijinga wakati nchi inapoteza pesa nyingi. Waziri mwenye dhamana atoke hadharani atuambie shida ninini? Meli mpya ya mabilioni ya pesa inachezewa kijingajinga hivi Taarifa za mashuhuda wanasema Meli imekosa kugonga kivuko then ikagonga mawe. Ilikuwa inatoka...
  6. Hivi kwa haya majibu ya huyu mheshimiwa,wakuu wetu wa wilaya wamepikwa kweli kimaadili?

    Mkuu wa wilaya kujibishana na Gen Z kwenye mitandao ya kijamii,basi bora hata majibu yake yawe ni yenye staha,but anatoa majibu ambayo ni sawa na matusi tu. Kuna maadili kweli hapa? Hii tabia hata Gerson msigwa anayo sana.
  7. W

    Majibu ya ChatGPT(AI) kuhusu matumizi ya Pombe yanapoteza sana

    Chatgpt niwakunishauri nisitumie pombe akili zake haziko sawa sawa
  8. C

    FT: Taifa Stars 1-3 Nigeria | Kufuzu AFCON 2027 | Kundi L

    Katika mchezo wa kufuzu AFCON 2027, Taifa Stars imepoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji Nigeria, matokeo yanayoifanya Tanzania kusalia nafasi ya nne katika Kundi L ikiwa na alama moja. Taifa Stars sasa itarejea nyumbani kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Nigeria utakaochezwa Novemba 17...
  9. Kwa nini watu wote wanazungumza na mungu huwa hawaambiwi majibu ya mambo muhimu ?

    Tofauti na babu wa Loliondo wa kikombe sijawahi kusikia mtu amezungumza na mungu akaambiwa suluhisho la kudumu la magonjwa ya Cancer, kisukari, Ebola, UKIMWI, Homa ya ini ambalo litatibu watu wengi au kumuambia dereva asisafiri siku hiyo atapata ajali (unakuta ni mtu mmoja tu anasema aliambiwa...
  10. Majibu ya maamuzi na rufaa katika kesi ya Tundu Lissu- judgement 06-11-2026

    Please see attached na ruksa kuongezea panapostahili. Documents za rufaa ( kwa kiswahili na Kiingereza) nimeziandaa kutokana na nyaraka ya hukumu kama ilivyoletwa humu na mdau tucker carlson ( Asante kwa kushare) Kwa hati ya rufani, nukuu kifungu cha 9(1)(b)(i) na (ii) cha The Appellate...
  11. O

    Safari ya Shule Yageuka Msiba: Mwanafunzi wa Kitisuru Afariki Arusha, Familia Yataka Majibu

    Safari ya kielimu iliyopaswa kuwa ya furaha na kujifunza imegeuka kuwa majonzi baada ya mwanafunzi wa Kirawa Road School, iliyoko Kitisuru jijini Nairobi, kufariki akiwa katika ziara ya shule mjini Arusha, Tanzania. Mwanafunzi huyo, Victor Ndundu Karanja, anadaiwa kufariki Jumatano, Novemba 4...
  12. T

    Anajiita mwanasosholojia kwa hiki au kuna kingine...naomba majibu

    https://youtube.com/shorts/SkH_l64HMfQ?si=Kn87CX_o-wZL5qFQ
  13. R

    Chadema iliomba live streaming ya hukumu ya Lisu kesho,6,11,2026, kuna majibu yoyote?

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiliomba rasmi uongozi wa Mahakama kuruhusu matangazo ya moja kwa moja (live streaming) ya hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wake, Tundu Lissu. Hatua hii ilitangazwa mapema ili kutoa fursa kwa Watanzania na wadau wa demokrasia ndani na...
  14. R

    Lema kuna ujumbe wako toka kwa Quinine. Alitegemea utoe majibu kwa maswali haya. Nanukuhu wito wa QUININE kwako. Anataka majibu

    Prelude..Quinine: Lema, kwenye press yako tunategemea utakuja na majibu ya tuhuma hizi. Thread starter; Quinine Platinum Member Today at 7:52 Unatuhumiwa kuikutanisha familia ya Lissu na viongozi wa serikali kwenye hoteli ya Sea Cliff ili familia imuombee msamaha Lissu kwa Samia, je tuhuma...
  15. Q

    Lema, kwenye press yako tunategemea utakuja na majibu ya tuhuma hizi

    Unatuhumiwa kuikutanisha familia ya Lissu na viongozi wa serikali kwenye hoteli ya Sea Cliff ili familia imuombee msamaha Lissu kwa Samia, je tuhuma hizi ni za kweli? Kwanini unalazimisha Maridhiano, ina maana unapinga maamuzi ya Baraza Kuu na Kamati kuu? Hukuhudhuria kwenye msiba wa dereva wa...
  16. Mount meru hospital Arusha naomba muwe serous na majibu yawagonjwa,,Yan madaktar wana kaz ya kuingia na kutoka kama mpo sokon

    Mount meru Arusha naomba muwe serous,,,,hasa madaktar upande wa. Kutoa majibu ya vipimo ya wagonjwa,,,, kaz n kuingia na kutoka kama mpo sokon.
  17. K

    Taifa haliwezi kujenga imani ya kudumu kwa kuwarubuni kwa matukio ya kisiasa. Ili watu wasahau maswali ambayo ni magumu na hayajawahi kupatiwa majibu.

    Maridhiano si tangazo la kisiasa tu kushikana mikono kati ya baadhi ya viongozi. Ni mchakato wa kurejesha imani miongoni mwa watu ambayo maisha yao, familia zao na hali zao zipo mashakani .
  18. A

    KERO Wahitimu wa Udereva IFDC Rufiji hatujapata vyeti miezi saba sasa na hakuna majibu

    Wahitimu wa Kozi ya Basic Driving katika chuo cha IFDC kilichopo Ikwiriri, Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani. Chuo hiki kilianzishwa kwa juhudi za Mbunge na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, na kinatambulika na VETA. Changamoto yangu ni kwamba tangu tumalize kozi hiyo, takribani miezi saba...
  19. A

    KERO Ucheleweshwaji wa utoaji wa majibu ya rufaa za Utumishi Ikulu

    Habari za kazi? Sisi ni wahanga wa manyanyaso katika utumishi wa umma, na tumekata rufaa katika Ofisi ya Rais, Ikulu, tukitafuta haki zetu za ajira. Hata hivyo, mchakato wa kushughulikia rufaa zetu unaendelea kwa kasi ndogo, huku muda ukizidi kwenda bila kupata majibu. Hadi sasa, hatujapokea...
  20. A

    KERO Watumishi wa Halmshauri ya Wilaya ya Chemba bado hatujalipwa fedha za kujikimu na hakuna majibu kamili

    Habari, hali ya kutolipwa au kucheleweshewa malipo imekuwa kama desturi kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Dodoma. Hakuna hatua zinazoonekana kuchukuliwa kuhakikisha tunalipwa fedha zetu kwa wakati, licha ya kuwa tunatumia fedha zetu wenyewe kujikimu na kutekeleza majukumu yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…