maji

  1. A

    KERO Mkandarasi anayejenga Barabara ya Mwenge - Tegeta ajitahidi kumwaga maji. Atatuua kwa vumbi

    Hebu Tusaidie kupaza sauti Mkandarasi anayejenga Barabara kutoka Mwenge Mpaka Tegeta a jitahidi kumwaga maji atatuua kwa vumbi.
  2. Dagaa wanaochakatwa kwa kuchemshwa, virutubishi vingi vinapotelea kwenye maji

    Wanajamvi. Ninaishi kisiwa cha Mafia, mojawapo ya sehemu dagaa uono almaarufu dagaa wa nyama wanakopatikana kwa wingi. Katika usindikaji wa dagaa ili kuongeza muda wa kuhifadhi (shelf life), wachakataji huchemsha dagaa kwa chumvi nyingi ili wadumu muda mrefu bila kuharibika hadi kumfikia mlaji...
  3. A

    KERO Matosa - Goba (Dar) eneo la Shule ya Msingi More Light hakuna maji mwezi mmoja sasa

    Wakazi wa Matosa - Goba DSM, hususan eneo la Shule ya Msingi More Light, tumekumbwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Kila tunapouliza, tunaelezwa kuwa bomba linaloleta maji kutoka Uzalamoni limeharibika, hata hivyo, inashangaza kuona kuwa bomba hilohilo...
  4. M

    Shinyanga: Wajaziwa maji kwenye magari badala ya mafuta

    Baadhi ya watu wamedai kujaziwa mafuta kwenye magari yao ambayo yana maji kwenye kituo cha mafuta cha Total energies Shinyanga na walipomfuata meneja wa kituo hakuwapa majibu mazuri, Hata hivyo, jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga limesema kuwa wanafanya uchunguzi ambapo watawashirikisha EWURA na...
  5. Shinyanga: Wamiliki wa magari wadai kujaziwa maji badala ya mafuta kwenye kituo cha TotalEnergies

    Hii imetokea Huko shinyanga baada ya wamiliki wa magari kulalamika kujaziwa maji badala ya mafuta. Kama ingekuwa nje ya Tanzania Leo hii kampuni ingefilisiwa Kwa kitendo hiki cha hovyo na kama ni uzembe umefanyika kwenye kuhifadhi matenki ya mafuta basi huu ni uuwaji kabisaa!! Total energies...
  6. Msaada Wauzaji wa Pump za maji za Hydram

    Habari ndugu wana JF Naombeni msaada wa kujua muuzaji wa hizi pump kwa hapa Tanzania. Nimejaribu kusearch online sijapata muuzaji kwa hapa Tanzania. Mwenye kujua naombeni msaada wa maelekezo.
  7. SI KWELI Wenye visima wanaosambaza maji kwa wengine wanapaswa kushitakiwa

  8. A

    KERO Tulioomba kuunganishiwa Maji Moshono Arusha tunazungushwa, AUWSA wanadai hawana Mita

    “UKOSEKANAJI WA METER ZA MAJI ARUSHA”. Tumekuwa tunapitia changamoto kubwa ya kuunganishiwa huduma ya maji Arusha kwa kisingizio kutoka AUWSA kwamba hakuna meter. Baadhi ya Wakazi wa Moshono, Kata ambayo ipo hapahapa Arusha Mjini tumefanya malipo tangu January lakini hakuna Meter na hili...
  9. A

    KERO Wakazi wa Mbezi Luis kuna shida ya maji unaenda mwezi sasa

    Wakazi wa Mbezi Luis kuna shida ya maji unaenda mwezi huu sasa, ukipiga simu kwa Wateja wanakuuliza maswali wanachukua na account number wanasema wanafanyia kazi ila hakuna chochote kinachofanyika na mwisho wa mwezi wanatuma bili kama kawaida.
  10. Chemba iliyokuwa inatiririsha maji taka kando ya Soko Jipya la Kariakoo yasafishwa

    Juzi niliona mdau wa JamiiForums.com analalamikia kero ya chemba inayotililisha maji taka kando ya Soko Jipya la Kariakoo, ambalo lilizinduliwa katika siku za hivi karibuni. Ilivyokuwa awali Chemba inayotiririsha maji taka kando ya Soko jipya la Kariakoo ni tishio kwa afya Leo nimefanikiwa...
  11. A

    KERO Changamoto ya Maji - Mtaa wa Kanisa la Hija, Pugu

    Mamlaka husika ishughulikie maana bili ya maji inakuja tunalipa lakini huduma ya maji ni ya kuvizia. Maji yanatoka dakika kumi mpaka tano yanakata. Na mamlaka husika zinalijua hili, tunaomba DAWASA walifanyie kazi tumechoka.
  12. M

    MUWSA kutoa Sh Milioni 2 kwa watakaotaja wezi wa mita za maji Moshi

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA) imeeleza kuwa katika kipindi cha mwezi Januari hadi Machi mwaka huu, mita za maji 266 zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 37.2 zimeibwa hali inayopelekea hasara kwa mamlaka hiyo na usumbufu kwa wateja wake. Hoja ya wizi wa...
  13. DAWASA wanafungua maji kwa saa moja ili watume bili

    Hii kitu sio sahihi, hamjatoa maji zaidi ya wiki 2 , halafu mnafungua maji lisaa 1 mnatuma bill ya maji halafu mnakata. Eeeeeh aiseeee
  14. A

    KERO Mamlaka ya maji Mwanza (MWAUWASA) watuambie kama kuna mgao wa maji Nyakato

    Upatikani wa maji safi katika jiji la Mwanza maeneo ya Nyakato umekua usioridhisha kwa muda wa wiki mbili sasa. Kuna siku maji hayapatikani hata siku tatu. Kuna siku yanakuja asubui na kukatika mchana. Kipindi hiki cha sikukuu maji yamekuwa yakija na kukatika. Tangu jana siku ya Eid maji...
  15. A

    KERO Ukosefu wa Maji kwa Wiki 3 – Maeneo ya Chuo cha SAUT - Mwanza

    Kwa zaidi ya wiki tatu sasa, maeneo ya karibu na Chuo Kikuu cha SAUT hususan mitaa ya Nyamalango, Maduka Tisa–Buhima na Sweya yanaishi bila maji kabisa. Hali imekuwa mbaya kupita kiasi na inaathiri moja kwa moja maisha ya kila siku ya wakazi. Mara chache sana maji yanaporudi inakua ni usiki wa...
  16. Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku atoa fedha kuweka mfumo wa maji Kituo cha Afya Itete

    Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku ametoa msaada wa kuboresha mfumo wa usambazaji majisafi katika kituo cha Afya cha Kata ya Itete, Kilichopo Wilaya ya Malinyi, Mkoani Morogoro na kusaidia kuondoa adha ya upatikanaji wa maji iliyodumu kwa muda mrefu Kituoni hapo. Hatua hiyo...
  17. KERO Hivi inakuaje maji hayatoki na bili ipo pale pale. DAWASA acheni michezo

    Wiki ya tatu hii maji hayatoki kabisa lakini cha kushangaza bili ipo pale pale. Aisee DAWASA acheni michezo hiyo
  18. UAE yafikiria kujiunga na Marekani kulinda mlango wa Hormuz / Diplomasia na Iran, tia maji-tia maji

    Dkt. Anwar Gargash, ambaye ni mshauri wa kidiplomasia wa Rais wa UAE, amethibitisha leo (Jumanne, Machi 17, 2026) kuwa UAE inaweza kujiunga na juhudi za kimataifa zinazoongozwa na Marekani ili kulinda usalama wa njia ya maji ya Strait of Hormuz. Gargash alitoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  19. KERO DAWASA kwanini mnafunga maji usiku, pakikucha mnafungua?

    Kuanzia Wakurugenzi, Mameneja, Bodi hadi mafundi wote mjitafakari. Mnazingua.
  20. A

    KERO Tatizo la Ukosefu wa Maji Kibaha kwa Mfipa; Mtaa wa Simbani

    Tatizo la maji kwa sisi wakazi wa Kibaha – Mfipa, mtaa wa Simbani limekuwa kubwa sana. Maji yanatoka mara moja au mbili tu kwa wiki tena usiku wa manane wakati tumelala , na wakati mwingine hayatoki kabisa. Hii inaleta usumbufu mkubwa kwa wananchi. Maji ni hitaji la msingi kwa maisha ya kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…