SERIKALI YASAINI MIKATABA YA SH. BILIONI 200 KUBORESHA MAJI MOROGORO
SERIKALI imesaini mikataba ya zaidi ya Sh. bilioni 200 kwa ajili ya Mradi wa Uboreshaji wa Huduma ya Majisafi na Usafi wa Mazingira katika Manispaa ya Morogoro na kwamba wakandarasi wameshaanza kazi.
Hayo yamesemwa Alhamisi...
Kujipenda wewe kwanza ni msingi wa uwezo wako wa kupenda wengine kwa namna iliyo bora, yenye ukomavu, na isiyochosha. Huwezi kumpa mtu mwingine maji kutoka kwenye chombo kilicho tupu; unapojijaza upendo, heshima, na utulivu, unakuwa na akiba ya kutosha na yenye afya ya kushirikisha wengine...
Wiki iliyopita tulipata shida sana kununua umeme nikajikuta nimenunua umeme wa 90,000 , Leo narudi nyumbani nasikia Meter inapiga kelele kwamba Umeme wa 90,000 umeisha ndani ya 1 week.
Tanesco this is very good work, keep up guys , tujenge nchi yetu!!
Serikali imewekeza zaidi ya shilingi Bilioni 20 katika miradi ya maji Mikumi, Wilaya ya Kilosa, mkoa wa Morogoro, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha huduma ya majisafi kwa wananchi.
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Kundo Andrea Mathew (Mb) amesema hayo akihutubia wananchi wa Kilosa katika...
UDOM: CHUO KIKUU KINASHINDWAJE KUTATUA TATIZO LA MAJI WAKATI MAENEO YANAYOKIZUNGUKA YANA VISIMA?
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kukabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na ya uhakika. Kinachoshangaza ni kwamba tatizo hili limekuwepo kwa miaka kadhaa bila kuonekana kwa...
Huu uzi unatokana na observation zangu.
Tulikuwa tunaambiwa tangu tukiwa wadogo usimuamini mtu (dont trust any one trust yourself ) na mimi OMOYOGWANE nakwambia usiuamini utajiri trust yourself.
Jinsi maji yanavyoweza kuganda na kuwa barafu kisha yakayeyuka tena kuwa maji kama mwanzo na...
Ilikuwa 2018 pale JPM akizindua ujenzi wake, meli mpya, kubwa na ya kisasa ambayo ilitegemewa kukamilika ndani ya miaka 3 na kuleta sura mpya katika suala Zima la usafiri katika ziwa Viktoria na nchi jirani. Kuamsha uchumi uliolala na kusaidia mzunguko wa pesa katika mikoa ya Kanda yote ya ziwa...
TANESCO pamoja na mapungufu Yao,wao wamefanikiwa kwenye utoaji taarifa,wakatapo umeme, wataarifiwa wateja kupitia namba zao za simu.
Jambo hili,mamlaka ya Maji nchini hawana habari nalo, utatumiwa meseji ya kudaiwa maji na utapigiwa ulipe deni, ila wakikata maji,hawatoi taarifa yoyote maana...
Katika mitaa ya mabanda kama vile Kawangware, haswa eneo la Sodom, wakazi wanakabiliwa na changamoto kubwa kutokana na uhaba mkubwa wa maji na kuharibika kwa miundombinu. Kumekuwa na uhaba wa maji uliofanya upatikanaji wa maji kuwa mdogo sana, jambo ambalo limewalazimu wananchi kuchukua hatua za...
Habari,
Kuna uhaba mkubwa wa maji baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam (Ubungo Msewe).
Kwa hali hii ya hewa kukosa maji ni jambo la hatari sana, ukizingatia sisi ni watanzania walipa kodi.
Hivi karibuni serikali imetangaza fungu la El nino huku mwenyekiti wa bodi DAWASA akijitapa kuimarisha...
Hellow!
Ndugu aweso, unapeleka wapi maji?
Kuna Maeneo ambayo hayakuwahi kuwa na shida ya maji, lakini Leo tatizo ni Kila mahali.
Tueleze tujue njia unayotumia kukausha vyanzo vya maji ili wananchi tuhangaike,
Maji yangekuwa ni twiga wa Serengeti, tungesema yanasafirishwa nje ya nchi, Sasa...
Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu hayapimwi kwa mguu wala fimbo
Kwa ufupi sana namfahamu raisi Samia kwa undani sana kuliko tunavyodhani
Inawezekana tukadhani ni raisi mwanamke ambaye...
Msikilize huyu mtoto kisha jitafakari, mtoto anatambua ana haki ya kupata huduma bora ya maji safi na salama na si kama hayo yenye rangi kama chai ya rangi.
Anatania kuwa akiwa Rais mambomba yatatoa maziwa na chai ya rangi kama hayo hapo.
Wakazi wa Eastleigh, Nairobi, wamezua mjadala baada ya video kusambaa mitandaoni ikidai kuwa baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu wanawauzia wananchi maji yaliyowekwa kwenye vifungashio vya mafuta ya kupikia.
Katika video hiyo, chombo kinachofanana na kifungashio cha mafuta kinaonekana...
Bilionea Warren Buffett amewahi kushangaza watu kwa tabia yake ya kunywa Coca-Cola badala ya maji, huku akidai kuwa hajanywa maji kwa takribani miaka 48.
Kisa hicho kilisimuliwa na bilionea mwenzake Bill Ackman kwenye podcast ya Equity Mates Investing, akikumbuka siku alipomualika Buffett...
Ulaya Yatahadharisha Familia Kuhifadhi CHAKULA NA MAJI 🤯
Umoja wa Ulaya umewashauri raia wake kujiandaa ili waweze kujikimu wenyewe kwa muda wa saa 72. Inashangaza—kwa nini Umoja wa Ulaya, ambao kwa kawaida huwa waangalifu sana na wenye kuzingatia usahihi wa kisiasa, ghafla unazitahadharisha...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha kazi ya matengenezo kinga ya bomba kubwa la maji la inchi 72 katika eneo la Mpiji, kata ya Mabwepande hatua inayotajwa kurejea kwa huduma ya maji kwa wananchi walioathirika na upungufu wa huduma kutokana na matengenezo...
Mfanyabiashara kutoka Nchini China na Mwanzilishi wa kampuni ya ZXMoto, Zhang Xue, ameweka historia katika kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness baada ya kufanikiwa kuendesha pikipiki umbali wa kilomita 40.74 juu ya maji katika Mkoa wa Hunan Nchini China.
Zhang amefanya zoezi hilo kwa kutumia...