mahusiano

  1. Mahusiano ya wazi ni dhana nzuri?

    Kuna hii kitu inaitwa open relationship, yaani unakua na mtu wako ( tuseme mke au girlfriend) lakini anaruhusiwa kudinywa na mtu mwingine, vivyo hivyo wewe mwanaume unaweza kudinya demu mwingine! Is it not good idea. Tuseme mkeo hapati mimba kwanini tuonane wivu? At the end of the day hakuna...
  2. A

    Huu mkasa nilishuhudia; mahusiano na hekaheka zake

    Wasalaam; Miaka hiyo nikiwa mwaka wa pili chuoni. Dada ambaye tulikuwa naye kwenye group moja akanitumia meseji ni sms haya mambo ya whatsapp hayakuwepo). Meseji fupi tu ''njoo hapa room kwangu, uje na Eddy''. Kwa kuwa alikuwa kama dada kwangu na vile tulikuwa kwenye group moja la assigmnet...
  3. Je, ni sahihi kuhukumu wanawake kutanguliza kigezo cha pesa na status zaidi katika kutafuta mahusiano mapya?

  4. R

    Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani

    🚨 BREAKING: WE WON TODAY! 🚨 TAUSI LIKOLOLA: We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice. The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now advances forward. This moment...
  5. Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani...🙏🏻🙏

    🚨 BREAKING NEWS: WE WON TODAY! 🚨 Na Tausi Likokola, Washington DC - USA We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice. The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now...
  6. Kauli mbiu yangu ya sasa kwenye mahusiano

    ''Ng'ombe asiyekupatia maziwa, usimpe majani'' Kazi kwenu mabaharia.
  7. M

    Kuna mahusiano Gani ya kuchukia kelele na umri kwa Wanaume?

    Moja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda. Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi...
  8. Fanya yote ila usiwe na mahusiano na mfanyakazi mwenzako kazini

    Wakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu. Sasa twende kwenye mkasa nimeshuhudia watu walio kuwa na mahusiano kazini kwa takribani mwaka na nusu hivi. Picha lina anza walipo anza ugomvi sisi kama wana taasisi tunajulishwa ni kama vile swala la familia lina hamia kazini basi valuvalu...
  9. M

    Ipi inaweza kuwa tofauti nzuri ya umri kati ya mume na mke kwenye ndoa au mahusiano

    Ipi inaweza kuwa kuwa sahihi mwanaume anapotafta mke , je amzidi umri wa miaka mingapi, ,mwanamke na mwanaume wakiwa na umri SAWA au mwanaume akawa na umri mdogo kwa mwanamke inaonyesha panapatikana changamoto sana , Kwa mujibu wa dini yangu ya kikristo umri unaoshauriwa ni mume amzidi mke...
  10. Je, malezi ya "Watu watasemaje" yameharibu mahusiano ya kizazi hiki?

    Kadiri ninavyowachunguza watu na mahusiano yao, ndivyo ninavyozidi kuamini kuwa moja ya matatizo makubwa tuliyorithi kutoka kwa wazazi wetu ni utamaduni wa kuishi kwa ajili ya maoni ya wengine. Wazazi wengi walilelewa katika mazingira ambayo heshima ilipimwa kwa namna jamii ilivyokuona. Matokeo...
  11. Waafrika na mahusiano tofauti na dunia nzima!

    sijawahi kukutana na waafrika mwanaume na girlfriend wake au mke wake wawili tu wakisafiri pamoja, ila nimeshakutana na wahindi akiwa na mke wake au girfriend wakisafiri, wazungu ni kama kawaida, nimeshaona wachina mwanaume akiwa na demu wake tu safarini, hata arabs wa gulfs nimeshakutana nao...
  12. Mkasa wa kweli: Leo nimetua mzigo mzito wa mahusiano

    Wasalaam Hii ni story ya kweli ambayo imetokea kwenye maisha yangu napenda nishare nanyi kisa hiki kifupi ili tujifunze na tuburudike. Mnamo mwaka 2019 nilimaliza elimu ya digrii katika chuo maarufu hapa daslam. Kutokana na hurka yangu ya kupenda kujumuika na watoto kwenye mambo mbalimbali...
  13. MAHUSIANO YA MITANDAONI YANADUMU?

    kumekuwa na wimbi la watu kutafuta MAHUSIANO kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii je unadhani hayo MAHUSIANO hudumu?
  14. Nini Hupelekea Ndoa Nyingi Kuvunjika Ama Mahusiano?

    Je, sababu kuu huwa ni usaliti na matamanio, kukosekana kwa uwazi, au kuchokana ?
  15. Hii chuki dhidi ya ‘Single Mothers’ Inaweza Kubadilisha Mfumo wa Mahusiano ya hawa Gen Z wakagoma kabisa kushika mimba mpaka ndoa

    ni kweli vijana wengi wa sasa hawataki kuoa single mothers, hamuoni kwamba hali hiyo inaweza kuwafanya mabinti wa Gen Z ambao ndo wengi bado hawajazaa kuwa waangalifu kupita kiasi kuhusu kupata mtoto kabla ya ndoa? Msichana akiona kwamba dada zake waliizaa halafu wakaachwa soko linapungua...
  16. Kimasihara masihara nikajikuta kwenye mahusiano na mwanamke mtu mzima

    (BASED ON A TRUE STORY) Portion 1 Kuna baadhi ya matukio nikiyakumbuka mpaka leo najiona nilikuwa bonge la mpuuzi. Na naamini kabisa kama ingewezekana huyu mimi wa sasa kukutana na mimi wa miaka ile, Mimi wa sasa angempiga makofi mengi sana. Nisikuchoshe usinichoshe directly kwenye story...
  17. Changamoto za mahusiano

    Utafanyaje utapogundua mwenza wako ni 1. Msagaji 2. Wali nazi? Utafunika kombe mwanaharamu apite ama utachukua maamuzi magumu? Utathubutu kuwaambia watu uhalisia ama utakufa na siri yako?
  18. Kabla hujamuoa single Mother jitahidi mjue aliyezaa naye. Kama amekuzidi kipato sitisha mahusiano haraka. Sababu ni hizi;

    KABLA HUJAMUOA SINGLE MOTHER JITAHIDI MJUE ALIYEZAA NAYE. KAMA AMEKUZIDI KIPATO SITISHA MAHUSIANO HARAKA. SABABU NI HIZI; Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Kwa Sisi Watibeli Tunaoa wanawake ambao wako Proudly kuwa na Sisi. Yaani wakiwa kwao jina letu linavuma, wanatutaja kwa mazuri...
  19. Kijana wa kiume, yaangalie mahusiano kwa mtazamo wa kibiashara

    Wengi wenu humu ndani tayari mna ule uzoefu. Unaombwa kitu/msaada na mwanamke halafu unamkatalia labda sababu hautaki au hauwezi kumsadia kwa wakati huo. Baada ya hapa mwanamke anakughost na kukata mara moja ule urafiki/ukaribu wenu. Jaribu kuvuta kumbukumbu wanawake wote waliowahi kukuomba...
  20. Kiburi kimeua mahusiano ya watu wengi kuliko usaliti

    Mahusiano ya watu wengi yanakufa kwasababu ya kiburi , unakuta mtu anasema atanitafuta tu halafu mwisho wa siku imetoka hiyo , au mwengine anataka atafutwe yeye kwanza ana kiburi cha kujiona bora sana kuliko mwenzake sasa watu wengine hawana uvumilivu na watu wa aina hiyo anatafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…