mahusiano

  1. Fahamu vitu ambavyo huleta utamu na chachu kwenye mahusiano

    MAPENZI ni matamu, mapenzi yana raha yake haswa ukimpata mtu anayekupenda kama ambavyo wewe unampenda. Kinyume chake, mapenzi hugeuka kuwa shubiri. Yanaumiza lakini suala la msingi, hupaswi kukata tamaa pindi unapokutana na penzi kuwa chungu. Chukulia ni changamoto, usikubali kuishi kwenye...
  2. Zijue faida za uaminifu katika mahusiano ya Ndoa

    Suala la uaminifu katika mapenzi kwa karne hii limekuwa kikwazo kikubwa kwa watu wengi sana, wengi wemekuwa si waaminifu wakati mwingine kupelekea mahusiano hayo kufa. Hivyo uaminifu ni muhimu sana katika mapenzi kwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi kuna faida nyingi kwa mwili na akili. Watu...
  3. Kisa cha Kweli: Pale mtu wa kawaida unaposhindwa kutumia fursa iliyo jitokeza ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Star wa Hollywood

    Salam ziwafikie wana MMU wote, Leo nimeona nije kuwacheki wadau wa MMU na kuwapa kisa cha dada mmoja maarufu sana Hollywood anaitwa Sharon Stone. Upweke noma sana, hakuna shujaa mbele ya upweke au penzi, Penzi ni pacha wa upweke, huzuni na furaha. Mapenzi yanapo vamia roho ya mtu lazima atii...
  4. Single father/single mother: Mtoto wako anapomkataa mwenza wako uliyenae serious katika mahusiano

    Maisha ya malezi yanachangamoto zake, na changamoto iliyopo ni mtoto kukataa au kumfanya akaubaliane na mwenza ambae mmefika hatua ya kutaka kuishi pamoja kama mume na mke ila mtoto ndio haivi na mwenza wako na ni mtoto mdogo (under 7 yrs) huwezi kumlazimisha akabaliane na hali halisi Je...
  5. R

    Napenda kuwashauri dada zangu kwamba jifunzeni kuheshimu mahusiano yenu

    Habari za jioni wakubwa kwa wadogo? Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu. Ni kwamba napenda kuwashauri dada zangu kwamba jifunzeni kuheshimu mahusiano yenu. karne hii ukipata mmwanaume makini na ambaye anaonesha nia jaribu kumheshimu sana. kuwa mbali sana na wale matapeli waliokuchezea...
  6. T

    Pitia hapa uweze kuyatunza mahusiano yako

    Wakuu habarini za mchana, leo napenda kuelezea kidogo tuu jinsi kukua kwa tecnolojia kunavyo athiri mahusiano mengi baina ya mwanamke na mwanaume. Kama una mke, mume, mpenzi na kwenye simu yake anatumia app kama hitwe, badoo, thinder, nk. yako mengi hizo ni chache tuu wajuzi wa mambo...
  7. N

    Natafuta company ya mkaka ambayo italeta mahusiano serious

    Habari wadau Natafuta company ya mkaka ambayo kama tukielewana italeta mahusiano ya kudumu. Mimi ni: Mwanamke umri 33-35 Mkristo Elimu ya chuo Mfanyakazi Mcha Mungu focused loving and caring mkaka awe: umri 33-38 Mkristo Awe na hofu ya Mungu Anayejishughulisha kutafuta kipato Elimu angalau...
  8. Je kusoma vitabu/machapisho vimesaidia katika mahusiano yako?

    Binafsi sio msomaji sana wa vitabu ila nikipata muda wa kusoma vitabu napata viwili vitatu maisha yanasonga, nimekutana na watu mbalimbali wakitoa ushuhuda kuwa kusoma vitabu kumewasaidia sana hasa kwenye sehemu ya mahusiano ya kimapenzi kwa kuboresha mawasiliano na ujanja kitandano Je kusoma...
  9. Utafiti: Wanawake waliowazidi waume zao kwa miaka kumi au zaidi wanaridhika na kufurahia mahusiano kuliko wenye umri sawa

    Watu wengi hawapendelei mahusiano ambayo mwanamke ni mkubwa kiumri kuliko mwanaume. Mwanamke mwenye umri mkubwa anayetaka kutembea na vijana wadogo, kwa kiingereza huitwa Cougar, lakini wao hawana jina kwa vijana wa kiume wanaotaka wanawake wakubwa. Tanzania vijana hao huitwa vibenten Hali ya...
  10. Wanafunzi kuanza kupiga kura za siri ili kuwataja walimu wenye mahusiano ya kimapenzi ya wanafunzi

    MKOA wa Rukwa wanafanya mpango wa wanafunzi kupiga kura za siri ili kuwabaini walimu ‘wakware’ linatarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo kwa kile alichodai kuongezeka kwa walimu wa kiume katika shule za msingi na sekondari...
  11. Chakula: Kichocheo cha kuimarisha mahusiano mazuri ya familia

    Familia bora ni ile ambayo inayoishi kwa upendo na amani, lakini ili ubora huo utimie wanafamilia wanahitaji muda wa kukaa pamoja na kuzungumza mustakabali wa maisha yao. Familia inayotajwa hapa inajumuisha wazazi yaani baba na mama, pia watoto ambao wamejaariwa kuwa nao. Lakini kutokana na...
  12. Mahusiano yawe yanashake umjue aliyeyaingilia na anakuzidi kila idara

    Ukianza kuambiwa mtu yuko busy, hakuna aliye busy kiasi cha kusahau ubavu wake. Hata awe safarini kabla ya kulala atatafuta muda wa kukujulia hali. Mwenza akikosa muda kabisa wa mawasilianao mmh kuna alikoanza. Sasa unabahatika kukutana na huyo mtu watatu katika mapenzi yenu. Umkute...
  13. Siri 6 za wanawake ambazo kamwe hawawezi kukuambia

    1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli. 2. Anakulinganisha na mpenzi wa...
  14. Siri yakumaliza ugomvi ndani ya mahusiano.

    Tumejaribu kuwauliza wazee kwanini walifanikiwa kwenye mahusiano. Akatokea bibi mmoja akatuchana live. Akasema Mara nyingi akina Dada wanafunga benki zao za pale kati wakati akina kaka tupo tayari kila wakati kupeleka hela zetu lakini tunakosa Huduma nakwakawaida sisi tuko tofauti sana kila...
  15. Madoa matatu yanayo chafua mioyo ya Mama zetu na kuwa acha kuwa watu wapweke zaidi na kwa kipindi kirefu zaidi ya Baba zetu.

    Je, umewahi kufikiria kuwa Mama ndie kiumbe anaepitia upweke kwa kiasi kikubwa zaidi katika maisha zaidi ya Baba? Ni ukweli usiopingika kuwa mama ndie namba mbili baada ya Mungu muumba wetu alieumba ulimwengu, kwani mama ndie binaadamu anaechukua nafasi kubwa zaidi katika kuja kwetu duniani...
  16. Chanzo Kikuu cha Watu walio kwenye mahusiano kuchepuka

    Akiwa na urafiki na mwanaume Kipindi mmekosana/mmenuniana Kipato cha mwanaume kikipungua. Uwepo/awapo amesafiri Akiwa kazini hasa kama ameajiriwa
  17. Hitaji lako ni nini katika mahusiano?

    Good morning, guys! Kuna siku ukiwaza na kutafakari kwa nini upo katika mahusiano utajikuta umeshapoteza muda wako, pesa zako na hata kupoteza muelekeo wa maisha kwa mtu ambae hujui kwa nini ulikuwa nae wala kwa lengo gani? Katika kizazi cha leo ukiondoa mapenzi au NGONO, katika mahusiano...
  18. Nahitaji Mahusiano ya kujivunia

    Kwa jina naitwa pol kjna wa miaka 24 ni muhitim wa chuo kikuu.,kitu kilichonivuta niandike katka thread hii ni uitaj wa mschana mwny mapnz thabt ,kuna msemo usemao "every successful man there is women behind" kiuklwl kwny mnpz dhat yalio na equal interests btn both side ni mazur sana, before...
  19. Y

    Sintosahau za mahusiano

    Natumai hamjambo wanajukwaa, kila mmoja wetu kapitia matukio kadhaa katika mahusiano ambayo ni ngum kuyasahau, hivo nivizuri tukashare ajili yakujifunza. Upande wangu nilikua nakasumba ya kumfuata mpenzi wangu kwao kila tulipokua na miadi ya sex, bt siku hiyo nilipitiwa usingizi hivo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…