mahusiano

  1. J

    Tafuta mahusiano ili kukomesha hali ya kujitenga

    TAFUTA MAHUSIANO ILI KUKOMESHA HALI YA KUJITENGA Hali yako ya kujitenga ni matokeo ya kisaikolojia yanayotokana na sababu za ndani za kisaikolojia, hasa kiwewe ambacho hakijatatuliwa. Hali ya kisaikolojia unayopitia sasa inaathiri namna unavyotenda. Hali ya kujitenga unayopitia inahusiana na...
  2. Mahusiano yangu nahisi mwezi ujao tuna breakup.

    Hii ni baada ya kuona hatutafika.
  3. Nikutie moyo, ewe kijana.

    Kwanza niwasalimie, Ila chukua hizi Kwanza kisha tafakari, Acha wachat naye Huyo Mpenzi wako Acha wapigiane video calls,chakufanya wewe muhudumie tu,hutasikia hii popote. Acha kushika simu yake,jifanye hujui nini kinaendelea,mpe Uhuru,utanikumbuka. Acha kuongea sana,tekeleza mahitaji...
  4. Mwanamke kwenye mahusiano ni kama tumbo!

    Tumbo huwa linapata amani zaidi kwenye kile kinachoingia mdomoni, na hatimaye kinapopita kwenye utumbo. Lakini baada ya hapo inabaki mavi tu kama katakata za kutoa mwilini. Huu ni mfano rahisi sana kumwelewa mwanamke katika mahusino. Yeye anajali zaidi unachompa sasa. Hana time na nini...
  5. Mahusiano ya mitandao ya kijamii

    Habari ndugu zangu... Katika Pitapita zangu mtandaoni (Facebook),, nilikutana Binti mmoja ,Ambaye Yuko Mkoa mwingine,namimi Niko Mkoa mwingine,,,ambaye nilipenda picha zake,nikazama inbox nikamuuliza kama ameolewa,,akasema hapana,,nikamuomba namba ya Simu,,akanipa,,Tukaingia Whatsapp kwa ajili...
  6. Hatimaye waarabu huko Lebanon waamua nchi yao kufanya mahusiano na nchi ya Israel!!

    https://t.me/hnaftali/24861
  7. Unadhani kati ya familia na marafiki, upande upi unaharibu mahusiano/ndoa haraka?

    Wangu habari Hivi kati ya familia na marafiki, upande upi unaharibu mahusiano/ndoa haraka?
  8. Unadhani kati ya familia na marafiki, upande upi unaharibu mahusiano haraka?

    Wangu habari Hivi kati ya familia na marafiki, upande upi unaharibu mahusiano/ndoa haraka?
  9. Je, ulishawahi kukaa na ndugu yako mkimya sana!

    Je, ulisha wahi kukaa na ndugu yako mkimya sana, yani hawezi kuanzisha mazungumzo hata iwaje? Na hata kama anaumwa hakwambii, ila majirani na watu usio wajua wanajua kwamba ndugu yako anaumwa. Na akiwa na shida huwaeleza watu wengine na sio wewe? Na je ingekuwa wewe imekukuta hali hii...
  10. J

    What's make you to love?

    Love is a gift from God,what`s make you to love.love is part of human`s life you can`t live without love.what really makes you to love?
  11. T

    Wanaume walioachwa na Wanawake zao na wakafanikiwa zaidi kwenye mahusiano..

    Wengi huwa wanakwama na ni sababu kubwa ya kupoteza ndugu zetu hapa duniani.
  12. Watu wakiachana zaidi ya miaka 2 usiweke juhudi ya kuwapatanisha, baba na mama niliwapatanisha nikampoteza baba yangu kipenzi

    Mwezi kama huu nilimzika baba yangu kisa kianaanza baba hataki mama afanye biashara, ugomvi kila siku wanajua wenyewe ya ndani mim sikuyajua. Nipo darasa la 4 wakaachana, mama akachukua watoto wa 2 wengine tukabaki kwa baba miaka ikapita nikajitambua nikasema niwapatanishe na kweli watoto wana...
  13. Mbona vijana wa kiume mnashindwa kuapraoch mademu? Tuko nyakati mbaya sana!

    Hakika tuko katika enzi mbaya sana wanabodi.. Anaweza kupita demu mkali balaa, kitaaa. Na watu wa kaishia kupiga miruzi tu na psii, psii... Ila wanaume wa leo kuwa na guts za kwenda kumwaproach manzi mkali wamebaki wa kuhesabu. Kwanza hawana swaga, Pili ni makapuku, meaning kuweza...
  14. Dah leo nimekunywa pombe nyingi sana ila nina cha kusema kuhusu mahusiano yetu humu🤔

    Sisi ni watu wenye akili timamu sana , ndio maana tunakoseana , 🤔 Kiukweli tumezinguana ila sioni sababu ya kuendelea kuzinguana humu . Kupevuka nikuona na kuacha yapite, leo binafsi natoa kila mtu ignore kwa kutambua , nimekua kihisia na kiakili🤔 Na ndivyo JamiiForums.com inataka...
  15. K

    Unamwoa mwanamke ambaye umemkuta kwenye mahusiano, yaani ametumika sio bikra, akikuchiti unaanzaje kuwa na hasira kali mpaka kua

    Habari wanazengo, natafakari hapa kama Kuna haja ya kuwa na wivu pale unapo gundua mkeo anatoka nje ya ndoa wakati ukijua kuwa 1.Ulimkuta tayari anafanya hilo jambo ana mabwana mtaani 2.Sehemu zake zote za sili ziko wazi 3.Alisha zaa. Niwazi alifanya ndo maana akapata mimba 4.Ulimkuta na bwana...
  16. Uliwahi kuwa na mpenzi au rafiki mwenye moja ya tabia hizi?

    Uliwahi kuwa na mahusiano na Moja wapo ilikuwaje au urafiki 1.MLEVI KUPINDUKIA 2.MZEMBE 3.MVIVU 4.MCHAFU 5.MUONGO 6.MROHO 7.MCHOYO 8.MNAFIKI 9.MMBEA 10.MWIZI 11.MALAYA
  17. Single trip to znz or serengeti[tulio single tu kwenye mahusiano]

    Ninwakatu dasa wale single wote jf tunuane hii ikiwa n pamoja na walioachika ama kuachwa Piaa baada ya kutakafakari hizi ajali za mara kwa mara nimeona n vyemq tukafurahi pamoja sehemu na ku enjoy pamoja haya maisha hayaeleweki hata lini utatangulia ama kumpata mwenzio Kila aliendan ya ndoa...
  18. Zamani tulikuwa tukiongea na wapenzi wetu kwenye simu masaa 2 mpaka 6 bila kuchoka. Sasa hivi SMS 1, 2 ya tatu inahusu pesa

    90% ya mapenzi ya sasa kijana wa kiume na wa kike wakichati meseji 5 kila mmoja ya 6 itahusu pesa . Nikuambie kitu? Mwenzenu nina shida Naomba 30, 20, 50, 100. Sijui nywele zimefanyeje. Enzi zile tigo mnatumia sh. 100 kupiga simu masaa 2 tulikuwa tunaongea masaa 2 na ikikata mnaanza tena masaa 2...
  19. S

    Nimefuatilia suala la bosi wa NVIDIA na sakata la EIPSTEIN, nimegundua ndugu zetu wakristo mnapata tabu sana kwenye mahusiano

    Yaani mtu una nguvu za kutosha, una pesa za kutosha, lakini unalazimishwa uwe na mwanamke mmoja tu, mwanamke wenyewe pengine mgonjwa, mara yuko period, mara ashazeeka hawezi pirika, kumpa talaka huwezi. Matokeo yake ni kua na michepuko na kuaibika katika jamii. Suala la bosi wa NVIDIA unaona...
  20. Unamponda Yunge kumuoa mtoto wa Ruto kwa mahali ya Bilioni 7, na mali za thamani kadhaa, eti sio mzuri, una akili timamu wewe?

    Sasa wewe mdundulizaji, bila kutoka kwenda kizurura kufokewa na maboss kama mtoto, hujala, unaenda kumponda kijana alie chungulia fursa akaona hapa napita chap bila kujiuliza mara mbilimbili. Sasa huyo akipata tenda moja tu hapo kenya gharama zake zina rudi zote, huwezi jiringanisha nae. Alafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…