mahakamani

  1. Alikataa kila kitu kwa hiari yake… miaka 4 baadaye anarudi Mahakamani kuidai alichokataa.. Nautua mzigo

    Baada ya Miaka 4 ya purukushani na aliyewahi kuwa Mke wangu Leo nimeamua kwa hiari yangu kuweka silaha chini na focus yangu iwe kwenye kuboresha maisha yangu na kizazi changu, nimeamua kumtumia ujumbe hapo chini. "Ulinambia wazi kwa kinywa chako kuwa nimeshindwa kulea watoto, hata ukasema ‘kila...
  2. Polisi: Sheikh Zuberi Hakutekwa Alikimbia Madeni, Akamatwa Kufikishwa Mahakamani

    Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Sheikh Zuberi Said Nkokoo (53) mwalimu wa dini na kiongozi katika taasisi ya Islam Foundation mkoani Singida baada ya kutengeneza tukio la uongo la kutekwa ili kukimbia madeni aliyokuwa akidaiwa. Taarifa ya polisi imesema Sheikh huyo anadaiwa shilingi...
  3. Mahakama Kuu yaagiza Lissu aletwe Mahakamani Juni 27, 2025 katika kesi ya marejeo aliyoifungua

    Kesi ya Marejeo iliyopo Mahakama Kuu Dar esn Salaam iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri Na. 14496 ya 2025 ambayo ilipangwa kutajwa leo Juni 17, 2025 imeahirishwa hadi Juni 27, 2025. Shauri hilo lilipangwa kusikilizwa kwa njia ya Mtandao mbele ya Jaji...
  4. L

    Lissu asipelekwe Mahakamani na badala yake kesi iendeshwe kwa Njia ya mtandao

    Ndugu zangu Watanzania, Nilikuwa naona mahakama ingefanya na kutoa maamuzi ya kuendesha kesi ya lissu kwa njia ya mtandao. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali za msingi. Kwanza imeonyesha Wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakitaka kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya kiongozi wao. Wakati huohuo...
  5. T

    Tetesi: Msajili wa vyama KUFUTA usajili wa CHADEMA sababu ya kesi inayowakibili mahakamani

    JF Kuna tetesi msajili anatafuta kifungi cha kuifutia usajili CHADEMA, sababu ya kesi na maamuzi ya mahakama kusitisha shughuli zote za kisiasa za CHADEMA. CCM mnatupeleka wapi.?
  6. Gwajima sahau ubunge

    Tafuta shughuli ya kufanya 2025-2030
  7. Askofu Mkuu SPCT aitaka Serikali kusikiliza CHADEMA: Asema Maridhiano ni muhimu kwa Ustawi wa Taifa

    Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuangalia kwa makini mvutano unaoendelea kati ya Serikali na Chama cha...
  8. Nasikitika kwamba suala la kufungiwa Glory Church linapelekwa mahakamani

    Lile ni jambo la kufanyiwa uamuzi tu. Arresting a house maana yake the whole house is corrupt. Kwa mfano nyumba ya wavuta bangi, au danguro, linafungwa. Lakini unafungia vipi Kanisa ambalo Askofu mmoja ameongea dhidi ya serikali wakati wapo wachungaji wengine mia moja ambao hawajasikika...
  9. Sifa za kuwa askari Tanzania ni kujua kusoma na kuandika tu au kujua pia sheria , huwezi kupiga mtu kwa kwenda mahakamani tukasema wewe unajielewa

    Sifa za kuwa askari Tanzania ni kujua kusoma na kuandika tu au kujua pia sheria , huwezi kupiga mtu kwa kwenda mahakamani tukasema wewe unajielewa. Huwezi kuwa na akili timamu kwa kupiga mtu au kumzuia asiingie mahakamani bila sababu za msingi tukasema wewe afande unaakili, hatuwezi kukupongeza...
  10. PreGE2025 Wanachama wa CHADEMA wachezea virungu Mahakamani katika kesi ya Tundu Lissu

    Baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu. Baadhi yao wamepigwa marungu wakidaiwa kukaidi amri ya polisi ya kuondoka...
  11. Hivi alichofanya Ole Sendeka si kuingilia kesi iliyoko mahakamani?

    Kesi hii ni nzito. Serikali ya JMT kuamua kumshitaki mtu huyu mahakamani haiwezi kuwa ilikurupuka. Na kesi yo yote ikishakuwa mahakamani huwa ni marufuku kuingilia kwa njia yo yote. Sheria huwa inaachiwa ifuate mkondo wake. Haya aliyoyasema Ole Sendeka si kuingilia kweli kesi iliyoko...
  12. Video: Kuna sababu gani kumpeleka mtu kama huyu Mahakamani?

    Ushahidi uko wazi, kwanini asipelkwe jela moja kwa moja? https://web.facebook.com/reel/1100919795416621
  13. Hili neno tumeokoa milion 300/400/600 wahusika mbona amtuambii wanafika lini mahakamani

    Hakuna taarifa naumia nikisikia kwenye tv ... Tumeokoa mil300-500 Hawa waliohusika mnewafanya nn lini wanaenda mahakaman jamani Hizi pesa xinaumiza mjue hapo n zahanati kadhaa vijijini Tuwaombe mkichunguxa mkaokoa haya mtuonyeshe na hao wahuni wakienda mahakaman na kufungwa Else mambo ya...
  14. Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia ameshinda kesi aliyoifungua dhidi ya chama hicho, akipinga kuondolewa kwenye uongozi na kuvuliwa uanachama wake. Mbatia aliemnguliwa madarakani kufuatia mkutano mkuu wa NCCR Mageuzi uliofanyika Septemba 24, 2022, ambapo pia ulimvua uanacama...
  15. R

    Chadema fungua shauri mahakamani kupinga maagizo ya msajiri wa vyama vya siasa, "inaezekana" ana maagizo ya mamlaka yake ya uteuzi, anaweza kuifuta.

    TAKE IT SERIOUSLY Huyu mtu anatafuta sababu ya kuifuta chadema. Msifanye kosa, nendeni mahakamani mfungue kesi kupinga maamuzi yake. Msidharau kauli zake maana zina maagizo ya mteule wake! Hawa CCM and it affiliates siyo watu tena, ni wanyama kabisa, na kweli ataifuta (ingawa inaweza kuleta...
  16. Mbunge apendekeza Wanaume wanaolawiti na Kubaka Wahasiwe kabla ya kufikishwa Mahakamani

    Mbunge Viti Maalum anayewakilisha Vyuo Vikuu, Dkt. Tea Ntala apendekeza Wanaume wanaolawiti na kubaka wahasiwe kabla ya kufikishwa Mahakamani
  17. E

    IPTL yabwagwa mahakamani Sh100 bilioni za Escrow

    DAR. Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imepata pigo kubwa la kisheria baada ya Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi yake dhidi ya serikali, ambapo ilipinga makubaliano ya mwaka 2021 kuhusu fedha za Tegeta Escrow na kudai fidia ya Sh100 bilioni. Kampuni hiyo ya uzalishaji umeme...
  18. Wakuu Gwajima yuko sahihi : Angalieni maajabu, Walomshambulia Padre KITIMA, mpaka leo Kuna kigugumizi Cha kuwapelekea Mahakamani

    Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani. https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282 Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais . Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman...
  19. Mmemuona Mh. Mwenyekiti Mstaafu Mahakamani au Hamjamuna?

    Bado nipo dilemma kuelewa mchezo mzima wa siasa za CDM mara baada ya uchaguzi. Sitaki kuamini kwamba kiongozi eti kapumzika kutokana na pirikapirika za siasa kwa miaka 20+ iliyopita, hivyo kaamua kutandika akili na kujihusisha na siasa za CDM. Ikiwa ni mtu aliyeaminiwa na waazilishi wa hicho...
  20. PreGE2025 Heche aitaka nyomi iliyojitokeza mahakamani leo, kurudi tena Juni 02, 2025, asema mikutano ya 'No reforms No election' inaendelea kama kawa

    Akisisitiza kuwa hakuna kutetereka wala kuogopa, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche akiambatana na Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika, ameeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe. Tundu Lissu, amefurahia sana wingi wa wananchi waliojitokeza leo Mei 19...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…