mafunzo

Mafunzo Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Wanawake washiriki katika mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba na kuanza maisha ya furaha mjini Meishan, China

    Agosti 9, 2022, katika mji wa Meishan mkoani Sichuan China, wanawake wanashiriki kwenye mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba katika shule ya mafunzo ya kisiasa katika Kaunti ya Renshou. Kuanzia mwaka 2022, serikali ya wilaya ya Renshou ilitegemea vituo vya mafunzo ya ustadi wa utunzaji nyumba na...
  2. L

    Watoto mjini Nantong mkoani Jiangsu China wapata mafunzo yenye furaha shambani wakati wa mapumziko ya majira ya joto

    Agosti 8, 2022 watoto huko Nantong mkoani Jiangsu China walijifunza ujuzi kuhusu kilimo katika uwanja wa mazoezi wa “shamba la furaha” katika kijiji cha Hangqiao mjini Rugao. Kwenye mapumziko hayo ya majira ya joto, shamba hilo lilifunguliwa bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, na...
  3. Wateule wa Rais wapitishwe Jeshini kupata mafunzo

    Wabunge na Watumishi wa Bunge waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa wameiomba serikali kuweka utaratibu wa viongozi wanaoteuliwa kupewa mafunzo ili kuwajengea moyo wa uzalendo, utii, uhodari na wepesi katika maamuzi kwenye nafasi zao. Wabunge 21 na watumishi wa Bunge 18 wamepata na...
  4. Je, Shule kufungiwa safari za mafunzo nchini baada ya ajali ya gari la shule Mtwara?

    Badda ya ajali ya leo 26-07-2022 huko Mtwara Shule nyingi sana zimepanga kuwapeleka wanafunzi study tour mikoa tofauti tofauti. Maandalizi na usafiri wanataka kutumia ni school bus ect Binafsi nazipinga hizi safari maana madereva wa magari ya shule hawaja zoea long safari Ni hatari hizi sa...
  5. Julai 25: Siku ya Kuzuia Kuzama Maji Duniani (World Drowning Prevention Day)

    Mnamo Aprili 2021, UN ilipitisha Julai 25 kuwa Siku ya Kuzuia Kuzama Maji Duniani inayolenga kuangazia athari za Ajali hizo na kuweka mikakati ya kuzizuia Kuzama kunatajwa kuwa tatizo kubwa la Afya ya Umma duniani, na inakadiriwa watu wapatao 236,000 huzama kila mwaka. Inaelezwa kuwa, Nchi za...
  6. Naiona posho kiduchu mafunzo ya makarani wa Sensa 2022 (Tsh 10,000-20,000) kwa kisingizio cha Uzalendo, na si 60,000 kama wanavyotegemea wengi

    Watu hasa watumishi kwa miaka ya nyuma serikali ilitumia kazi maalumu na kuwapa posho kwa dm ili kuongeza motisha na tija na uhakika wa kazi bora kwani ni rahisi kudhibiti utendaji wao. Kwa kile kinachoonekana nia ya Viongozi wa serikali kuzidi kuchonganisha Raisi na kila kundi baada ya ahadi...
  7. Abraar Education Centre Mafunzo tofauti ya muda mfupi

    Hapa Abraar Education Centre tunatoa mafunzo yafuatayo kwa vitendo... 1) Mafunzo ya kuunda vifaa vya ujenzi (masonry). 2) Mafunzo ya ujenzi (masonry). 3) Mafunzo ya lugha ya Kingereza (Engloish language). 4) Mafunzo ya ya Lugha ya Kiarabu (Arabic language). Na hivi karibuni mafunzo ya...
  8. B

    Chongolo na kongamano kubwa la mafunzo ya uongozi na uwajibikaji

    KM CHONGOLO NA KONGAMANO KUBWA LA MAFUNZO YA UONGOZI NA UWAJIBIKAJI- ASUBUHI HII. Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo Leo Jumatano tarehe 13 Julai 2022 atakuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Mafunzo ya Uongozi na Uwajibikaji kuhusu Itikadi, Elimu ya Sensa na Makazi, Tehama na usajili wa...
  9. Tunatoa mafunzo ya uchapaji wa tshirts

    Tafadhari rejea kichwa hapo juu, kama ambavyo tumekuwa na sessions kadhaa za ujifunzaji wa namna ya uandaaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali kama:- 1) sabuni ya mchele na ya maji kwa ujumla wake 2)lotion na mafuta ya mgando 3) trick za uandaaji wa dawa ya viatu pamoja na dawa ya meno na...
  10. Jeshi la Uganda limegundua kambi ya mafunzo ya Wanamgambo wa Kiislamu

    Jeshi la uganda limesema kuwa limegundua kituo cha mafunzo kwa wpiganaji wa kiislam Km 60 tu kutoka kampala, watu watatu wanashikiriwa, aidha vyuma vya kutengenezea milipuko vilipatikana pia. Mamlaka zinalaumu wapiganaji wa ADF walijichimbia katika misitiu ya Kongo kwa mashambulizi ya milipuko...
  11. Msomi wa Bachelor of Science with Education, pia nina uwezo wa kutumia kompyuta na nimepitia mafunzo ya JKT

    Naombeni kwa waajiri wowote wanaohitaji kijana mchapa kazi na anayejituma, wanicheki kupitia 0624843841. Nipo Dar, Temeke.
  12. Serikali kuboresha Vituo vya Walimu kwa lengo la kutoa fursa kwa Walimu kupata mafunzo wakiwa kazini

    Serikali imesema inaboresha vituo vya walimu kwa lengo la kuendelea kutoa fursa kwa walimu kupata mafunzo wakiwa kazini ili kuwejengea uzoefu. Hatua hiyo inakwenda sambamba na maboresho ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mitaala ili kuwa na wahitimu wenye ujuzi na...
  13. HESLB, naomba kupata maelekezo juu ya allocations za fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo(Field)

    Habari za wakati huu kwenu. Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ukuu wake na rehema tele atupazo katika maisha haya. Nimekuja hapa, nikiamini nitapata msaada na ushauri wa kimawazo juu ya suala tajwa hapo juu. Ipo hivi, mnamo mwaka 2020 bodi ya mikopo elimu ya juu (HESLB) ilifanya...
  14. L

    Huawei yaimarisha mafunzo ili kupanua kundi la watu wenye ujuzi wa TEHAMA nchini Kenya

    Ofisa mkuu wa mahusiano ya umma wa tawi la kampuni ya Huawei ya China nchini Kenya Bw. Dalmar Abdi amesema, nchi hiyo imeimarisha utoaji wa mafunzo, ili kupanua kundi la watu wenye ujuzi wa TEHAMA nchini Kenya. Bw. Abdi amesema hayo wakati akitembelea kituo cha mafunzo cha Huawei, na kueleza...
  15. Polisi wenye silaha na mafunzo wameshindwa na Panya Road. Je, mwananchi ataweza?

    Simoni Siro je Polisi imekosa kabisa mbinu ya kudhibiti panya road na wahalifu wengine? Kama polisi imeshindwa hawa vijana wachache wasiokuwa na mafunzo vipi ishu ya ugaidi wataweza kweli? DC TMK Joketi anataka wananchi waunde vikundi vya ulinzi shirikishi,sa kazi ya polisi ni nini? Kama...
  16. SONGWE: TAKUKURU yatoa mafunzo kwa Walimu na Walezi wa Skauti

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Songwe imetoa elimu kwa walimu na walezi wa Skauti wa shule za msingi na sekondari ikiwa ni mkakati wa kupambana na rushwa kuanzia ngazi ya chini.
  17. D

    Ni vigezo vipi ambavyo vinahitajika kwa wanafunzi wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya VETA?

    Wakuu habari, Poleni na majukumu nilikuwa naomba kuuliza kuwa kwa Sasa Nacte imebadilishwa imekuwa nactevet ikiwa inamaana ya VETA itakuwa chini yao je, ni vigezo vipi ambavyo vinahitajika kwa wanafunzi wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya VETA?
  18. Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji, kufulia, shampoo, sabuni za miche na chooni

    UTANGULIZI: SURA YA KWANZA UTENGENEZAJI SABUNI ZA MAJI SABUNI ZA KUNAWIA MIKONO SABUNI ZA CHOONI SABUNI ZA KUFULIA SHAMPOO UTENGENEZAJI SABUNI ZA MICHE MAFUTA YA MGANDO (Kupaka ) SEHEMU YA PILI UTENGENEZAJI WA : BATIKI AINA ZOTE UTENGENEZAJI VIKOI SHANGA, HERENI, BANGILI UTENGENEZAJI ZURIA...
  19. N

    Ofisi ya Waziri Mkuu inachezea akili za wanetu mafunzo VETA kila MWaka

    Hawa watu wamekuwa na utaratibu wa kutangaza kozi zinazodhaminiwa na wao kupitia VETA na vyuo vingine hivi. Nilifikiri Ndalichako ataboresha lkn kama alivyokuwa Jensiter huyu mama pia ni hovyo tu. Kwenye Tangazo lao wanaoomba kujiunga hawatakiwa kuwa na Fomu za Hospitalini kucheki afya zao...
  20. Tuliosomaa riwaya za kitanzania Kama za Willy Gamba na za akina Ben Ntobo njooni tujadili mafunzo na ubunifu mkubwa tulioupata.

    Ukiangalia bongo movie zinahadidhi za kitoto na zinazodumaza Akili kabisa Mara simulizi za kusadikika za kichawi. Mara mkaka kapuku kapendwa na demu tajili. Tuliosoma vitabu Kama wizi wa almasi Mwadui. Pesa zako zinanuka, msake mpaka umpate, Kuna vitu vingi Sana vimetujenga. Achilia mbali noval...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…