mafunzo

Mafunzo Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Wapiganaji 11 wa Urusi wauawa kwenye mafunzo

    Wakiwa kwenye mafunzo ya ulengaji shabaha, kwa ambavyo wamechanganyikiwa walianza kupigana risasi wenyewe kwa wenyewe. ===≈= At least 11 Russian soldiers were killed Saturday in a shooting incident that underlined the challenges posed by Russian President Vladimir Putin's hasty mobilization...
  2. J

    Mwanafunzi wa shule ya sheria aiomba mahakama isimamishe mafunzo

    Mmoja wa wanafunzi walioathirika na matokeo katika Taasisi ya mafunzo ya Sheria kwa Vitendo (LST), Alexander Barunguza ameiomba mahakama iizuie shule hiyo kuendelea na mafunzo kwa muda ili kufanya uchunguzi wa mazingira ya kujifunzia na kuzuia ubadhirifu. Barunguza, ambaye pia amefungua kesi...
  3. Mkuu wa Majeshi afunga mafunzo kwa askari wapya kundi 41/22

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali, Jacob John Mkunda amefunga rasmi mafunzo kwa askari wapya kundi 41/22 yaliyofanyika katika Viwanja vya Kambi ya Jeshi Oljoro-Arusha, katika sherehe hizo zilizofanyika siku ya tarehe 30, Septemba 2022 jumla ya Askari 2457 walihitimu mafunzo yao yalioendesha...
  4. Shaka: CCM itawajengea uwezo kwa kuwapatia mafunzo ya uongozi, viongozi wapya waliochaguliwa katika ngazi zote kichama

    Asisitiza umuhimu huo ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama kimeona umuhimu wa kuwajengea uwezo viongozi wote wapya ndani ya Chama na kwamba baada ya Kukamilika kwa Uchaguzi unaondelea kote...
  5. Nafasi ya Mafunzo ya Biashara

    Bwana Yesu Asifiwe! Habari za wakati Huu Watu Wa Mungu Kwa Jukwaa Hili!! Tumefungua Tawi Jipya Kimara Stop Over, Tunahitaji Vijana Kumi na Tano (15), Wanaoweza Kufanya Kazi Ya Masoko na Mauzo, Waliopo Dar Es Salaam Tu. Awe tayari Kuhudhuria Mafunzo Kwa Siku 30 Ili Kujifunza Kuijua Kazi...
  6. NGO changa au vikundi vya maendeleo vichanga mnaalikwa kunufaika na mafunzo bure.

    Wito umetolewa kwa NGO, Vikundi vya mikopo au Vikundi vichanga vya maendeleo ambavyo ndio vimeanzishwa na vile ambavyo vina changamoto ya kupata wafadhili popote vilipo, pigeni sim namba 0711860995 kujiunga na group la NGOs ili kunufaika na Capacity Building za NGO na wafanya kazi wa vikundi...
  7. Kajala: Harmonize ameanza mafunzo ya ubatizo. Kuitwa Gregory

    Mwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory. Ndoa njema.
  8. SoC02 Mafunzo ya Mama

    Sikuwahi kufikiria nitawahi kupata upenyo wa kuongea yaliyositirika kwa muda sana ila hatimae nimefikiwa. Nakumbuka mama aliwahi kuniambia "Mwanangu, siku zote tembea duniani ukivaa viatu vya watu." Kauli ile ilinichanganya ila kadri siku zilivyosonga nilielewa kuwa si kila kiatu ninaweza kuvaa...
  9. Vijana kunufaika na fursa za mafunzo ya uzoefu wa kazi na uanagenzi

    VIJANA KUNUFAIKA NA FURSA ZA MAFUNZO YA UZOEFU WA KAZI NA UANAGENZI. Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Taifa Cde. Victoria Mwanziva amefika Wizara ya Vijana, Kazi na Ajira na kukutana na Mkurugenzi wa Ajira na ukuzaji ujuzi Ndugu. Ally Msaki; Lengo likiwa ni kuona namna gani vijana...
  10. Mafunzo ya uendeshaji wa mitambo -heavy equipment machine (dozer, grader, folk lift, crane)

    Short Courses Long course Welding and Fabrication level I and II Auto Electric level I and II Motor Vehicle Mechanics level I and II Truck Mechanics Plant Mechanics Short courses Operation of Motor Grader Operation of Hydraulic Excavator Operation of Roller Operation of...
  11. Brigedia Jenerali Mabena, wilayani hakuna matangazo ya mafunzo ya JKT uliyoyatangaza

    Nazungumza nawe Brigedia Jenerali Hassan Mabena, Mkuu wa Tawi la Utawala-Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), juma lililopita ulitangaza kuhusu mafuzo ya kujitolea ya JKT kwa vijana wa kitanzania. Ukawataka watanzania wazalendo wajitokeze na kujiunga na mafunzo hayo. Vijana wenye sifa zitakiwazo...
  12. A

    Fursa kwa vijana 240 walio hitimu mafunzo ya mifugo

    Habari kwa wote. Nimeliona tangazo la wizara toka kwa Mh. Mashimba Ndaki , ni fursa nzuri kwa vijana japo wigo umebanwa kidogo maana wamepewa wahitimu wa mafunzo ya mifugo kwa ngazi ya astashahada,stashahada au shahada kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali. Pia ni fursa kwa raiawaTanzania na...
  13. Je, ni kwanini VETA hawatoi mafunzo ya ku-repair battery za magari ili tuokoe mabilioni?

    Kuna mbinu nzuri na rahisi inaweza kutumika, hii itaokoa mabilioni tunayotumia kuagiza battery nje ya nchi, pia itatoa ajira maelfu kwa maelfu. Akina Binslum wanaweza kuzimia kwa pressure baada ya kutizama hii video hapo chini.
  14. Je Ni Uzi/Riwaya Gani Yenye Mafunzo?

    Tupo wengi humu, uzi upi unaofuatilia humu JF ulio na mafunzo ndani yake na wenye kuburudisha? Au ni riwaya gani unaifuatilia humu ni nzuri na yenye mafunzo na maadili mazuri? Karibu unijuze
  15. Fedha haiwezi kununua vitu hivi

    1. Muda. Pesa haiwezi kununua muda uliopoteza. 2. Uzoefu wa kihisia.(Furaha,huzuni,vifijo, nderemo,shangwe,hofu, ukumbusho) 3. Muunganiko wa kweli-Watu wanaokujali au kukukubali pasipo fidia ya chochote. 4. Afya. Unaweza kwenda kwa madaktari bingwa na wazuri lakini juhudi zako binafsi pekee...
  16. Rais Samia: Utafiti umebaini kuna matumizi mabaya ya fedha Idara ya Uhamiaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga Mafunzo ya Awali ya Askari wa Uhamiaji Kozi na. 1/2022, katika Chuo cha Uhamiaji Boma Kichakamiba leo tarehe 15 Agosti, 2022 Mkoani Tanga. MKUU WA MKOA TANGA – OMARY TABWETA MGUMBA Mrundikano wa wafungwa kutoka nje wasio na...
  17. O

    SoC02 Muda wangu Yatima

    Karibu katika story hii Kali iliyo jaa mafunzo makubwa ndani yake .. Iletwayo kwako na DAVID EDWARD CHAZ Mwenye kupatikana kwa cm no 0621731669 WhatsApp no 0689433218 Jina la stori likiwa kama MUDA WANGU YATIMA UTANGULIZI Maisha ni kama dunia inavyo jizingusha...
  18. SoC02 Nimesoma shule za kawaida nikiwa sisikii vizuri. Changamoto zilizopo ni uhaba na ukosefu wa mafunzo ya lugha za alama

    Ulemavu ni Hali ya upungufu wa kazi katika kiungo kimoja wapo katika mwili wa mwanadam au mnyama kiungo hicho chaweza kuwa mkono, mguu macho nk kupelekea uhitaji wa vifaa maalumu ili kujishirikisha katika shughuli za kijamii na kiuchumi. Binafsi nimezaliwa nikiwa na uwezo wa kusikia na...
  19. Russia waanza kupewa mafunzo na Iran jinsi ya kutumia drones

    Aibu sana kwa super power , Iran has begun training Russian officials to use its advanced drones, according to the Biden administration, the latest sign that Moscow plans to use Tehran’s military weapons to try to seize a new aerial advantage in Ukraine. CNN
  20. Waziri wa Ulinzi, Stergomena ataka mafunzo ya manunuzi yawajengee weledi washiriki

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewataka washiriki wa Mafunzo yanayohusu Manunuzi ya Umma kuhakikisha kuwa Mafunzo hayo yanawajengea Weledi na kuwawezesha kutekeleza Shughuli za manunuzi ya Umma kwa Uaminifu na Uadirifu. Waziri ameyasema hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…