maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Responded Mwezi wa 4 hatuna maji Kishiri - Mwanza, tunanunua dumu Sh 1,000, tunapewa sababu zisizoeleweka

    Mtaa wa Mayengela uliopo eneo la Kishiri-Igoma, Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza tuna kero yetu ambayo imekosa ufumbuzi kwa miezi kadhaa sasa. Tangu Machi 2026 hadi sasa hivi Agosti 2026 ni takriban miezi minne kamili, Mtaa wetu wa Mayengela hauna huduma ya maji safi kabisa, Wananchi tunapitia...
  2. U

    Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

    Sitaongea Sana, ila kiukweli nyuzi nyingi Sana zimewekwa kuhusu mada hii, naweka Hoja atakayebisha basi ana shida. Maeneo yenye baridi kabisa nchi hii yapo matatu, kijiographia ni eneo Moja, ila kiutawala na kiukoloni ni maeneo tofauti, ambayo yametengwa na mipaka iliyowekwa na serikali, labda...
  3. Kwa nini watumishi wa wanahama sana wakipangiwa baadhi ya maeneo?

    1. Kutaka kuwa karibu na familia hasa mwenza na watoto. 2. Kukosekana kwa nyumba bora za watumishi au za kupanga. 3. Gharama kubwa za kupanga hasa katika majiji. 4. Upungufu wa huduma za kijamii kama maji, umeme, shule, hospitali 5. Changamoto ya mawasiliano ya simu na Miundombinu kama...
  4. A

    HOJA Nani anaruhusu ujenzi katika maeneo ya Hifadhi ya Morogoro Road (Kimara–Mbezi Luis)? Je, tumesahau yaliyotokea 2017?

    Takribani miaka 10 iliyopita, Watanzania walishuhudia moja ya operesheni kubwa za ubomoaji wa makazi na biashara zilizokuwa kandokando ya Barabara ya Morogoro, maarufu kama Morogoro Road. Kuanzia Korogwe, Kimara, Mbezi Luis hadi Kibamba, nyumba, maduka na vitega uchumi vilibomolewa kwa maelezo...
  5. USA kuna maeneo sio ya kutafuta maisha ni kutafutwa maisha yako

    Kuna content creator yupo Facebook, Instagram na Youtube Kazi yake kubwa kuuliza wapita njia makazi yao na kodi wanazo lipa. Jiji la New York mtu analipa usd 2500 alafu anaishi sehemu ya ovyo. Nikawaza hawa waliopo Ulaya mfano USA hapo new york wanaweza kuwa Dar ya Morogoro Malinyi ndani...
  6. A

    DOKEZO Kiongozi wa Kata ya Buyombe – Ilemela (Mwanza) anauza maeneo ya wazi, RC tuma timu ikague

    Mwenyekiti wa Kata ya Buyombe, Wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza anauza maeneo ya wazi (open space) kinyemela, yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya shughuli za Kiserikali. Anaharibu ramani ya mipango miji na anatutengeneza mazingira mabovu ya makazi, tunaomba Mkuu wa Mkoa aje akomeshe tabia...
  7. A

    HOJA Serikali ikomeshe biashara ya wizi wa mafuta kwenye magari makubwa maeneo ya Manyoni na Singida

    Wilaya ya Manyoni mkoani Singida inakabiliwa na tishio kubwa la kiusalama na kiuchumi kufuatia kushamiri kwa mtandao hatari wa wizi wa mafuta unaofanywa na baadhi ya madereva wa magari makubwa ya masanduku na yale ya kusafirisha mafuta kuelekea mikoa ya jirani na nchi za nje. Uchunguzi na...
  8. Viwanja na Maeneo ya Uwekezaji tunayouza kwa sasa

    MAENEO YA UWEKEZAJI NA MAKAZI YANAUZWA KWA SASA! Mbezi Luguruni Heka 3 Lina nyumba kubwa ndani Mita 150 kutoka Morogoro Road Bei: TSh Bilioni 1.5 Mbezi Makabe Heka 1 Mita 200 kutoka barabara kuu ya Makabe Bei: Milioni 180 Mbezi Msakuzi Heka 1 Bei: Milioni 80 Mbezi Msumi Heka 1 Bei...
  9. M

    Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  10. Kuna maeneo na taasisi kubwa msije shangaa sio mali ya serikali wala mnawatagemea kuwa ni mihimili

    Usione ubabe wa Chalamira jua kuna jambo linakuja mtabaki mkijiuliza nguvu kapata wapi. Ndio maana lolote likitokea kama litafanikiwa mtaanza kuvuta picha ya nyuma .Hii code naogopa maana inaweza kufanya mauwaji na utekaji mkubwa ndani ya mfumo kuhisi kuna kuvuja. Ila tambueni mtoto kama...
  11. B

    Natafuta chumba na sebule maeneo ya Mwenge mpaka Mbezi Africana

    Wakuu, natafuta nyumba ya kupanga self-contained kiwe chumba kimoja na sebule. Maeneo ya Mbezi Africana kurudi mpaka Mwenge na Kawe. Isiwe mbali na barabara kuu. Meter ya maji na Luku ya umeme kujitegemea. Itapendeza ikiwa ndani ya geti na yenye sehemu ya kuegesha magari ndani. Budget...
  12. MTUWASA: Maeneo ambayo hawajapata maji Mbae Mashariki, Mkandarasi yupo site kuongeza Mtandao wa maji

    TAARIFA KWA UMMA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyochapishwa kupitia ukurasa wa JamiiForums tarehe 01/06/2026 kuhusu maunganisho ya huduma ya maji Mbae Mashariki. Hoja ya Mdau ~ Wakazi wa Mbae (Mtwara Majini) tumeomba...
  13. A

    KERO Wiki tatu bila maji: Wananchi wa Unyinga, Mamise na Unyakumi tunataka ufafanuzi kutoka SUWASA

    Tunapenda kufichua kero kubwa inayowakabili wananchi wa maeneo ya Unyinga, Mamise na Unyakumi na maeneo mengine mjini Singida kutokana na ukosefu wa huduma ya maji takribani wiki tatu sasa Kwa kipindi cha hivi karibuni, maeneo haya yamekuwa yakikumbwa na ukosefu wa maji kwa siku nyingi...
  14. DAWASA yafafanua sababu ya ukosefu wa maji maeneo ya Kibaha hadi Kisarawe

    ‎ DAWASA yaomba radhi wateja kukosekana kwa huduma Kukosekana huduma ya Maji Kibaha hadi Kisarawe.. DAWASA yatoa sababu ‎ Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya ukosefu wa huduma ya maji iliyowakumba wakazi wa maeneo...
  15. L

    CCM Tulimuacha Msigwa ajikaange Kwa Mafuta Yake Mwenyewe na Ndio Maana tulimzungusha Maeneo Mbalimbali Nchini. Ogopa Mungu na Teknolojia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni chama chenye akili kubwa sana ,ni chama chenye uwezo mkubwa sana wa kijasusi na mbinu za kijasusi na kijeshi . CCM ndio Maana inaitwa chama kiongozi Barani Afrika,ndio maana imeendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi na itaendelea kuongoza Taifa hili Mpaka...
  16. E

    Maeneo mengi ambayo taa ziliwekwa kwa Mitaa ya Tandale, Taa zake Nyingi zimekufa haziwaki

    Habari, maeneo mengi ambayo taa ziliwekwa kwa Mitaa ya Tandale, Taa zake Nyingi zimekufa haziwaki. Ni taa ambazo zimewekwa tangia enzi za Magufuli..
  17. Natamani Tanzania ingeanza program ya kubomoa slums na kuanza kujenga maeneo kama haya

    Zikianza project kama hizi specifically maeneo ya uswazi pekee ndani ya miaka 10 slums zote zitakuwa zimeisha maana Tanzania slums zinahesabika sana. Halafu zile informal settlements ambazo nyumba zina shape nzuri tatizo zimechoka, zimechakaa, mabati ya kutu na miundombinu mibovu. Serikali...
  18. Maeneo mengi ya makutano ya barabara Dar es Salaam yamejaa askari wenye silaha; nini kinaendelea?

    Leo asubuhi, nikiwa natokea Bunju, nimekuta askari wengi wakiwa wamejaa kwenye mataa ya Tegeta. Pia, kwenye Kona ya Masana walikuwepo kwa wingi wakiwa na silaha, na hata maeneo ya Mwenge wameongezeka zaidi. Najiuliza, kuna nini kinaendelea? Au ni suala la ripoti ya Jaji Chande inayotarajiwa...
  19. DOKEZO Responded Mpango wa Serikali kuendeleza upya maeneo ya Sinza unahitaji uwazi na uwajibikaji

    Natoa wito kwa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuuangalia kwa karibu mpango wa uendelezaji upya wa eneo la Sinza, Dar es Salaam, unaoratibiwa na Manispaa ya Ubungo, kutokana na kuwepo kwa viashiria vya shinikizo na ukosefu wa uwazi. Kwa muda sasa, wananchi wa Sinza tumekuwa...
  20. A

    KERO Responded Changamoto Ya Maji maeneo ya Ubungo Msewe na Kimara Baruti

    Kwa kipindi cha Wiki 3 sasa Kumekuwa hatupati Huduma ya maji tulipiga simu kwa Dawasa namba ya huduma kwa wateja wanapokea na kusema watatuma mafundi imeishia hapo tukimpigia Meneja amekuwa hapokei simu, pia hakuna taharifa zozote. Pia soma ~ DAWASA: Pampu 8 zenye uwezo wa kuzalisha Lita 1,500...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…