maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magaidi wa Hamas waendelea kufanyaia Ugaidi kwenye maeneo ya Hospitali ya Al-Ma’amadani

    IDF ilifichua matokeo ya kijasusi yanayoonyesha kwamba Hamas imebadilisha sehemu ya Hospitali ya Al-Ahli Arab (Hospitali ya Al-Ma’amadani), katika kitongoji cha Zeitoun cha Jiji la Gaza, kuwa kituo salama cha mahojiano na mateso kinachotumika dhidi ya wakazi wa Gaza. Hamas na Palestina Islamic...
  2. O

    Wakenya Nchini Saudi Arabia Waonywa Kuepuka Maeneo Matakatifu Yaliyowekewa Vizuizi

    Ubalozi wa Kenya mjini Riyadh umetoa tahadhari kwa Wakenya wanaoishi na kufanya kazi nchini Saudi Arabia, hasa wasiokuwa Waislamu, kuwa waepuke kuingia au kuvuka mipaka ya maeneo matakatifu yaliyowekewa vizuizi na mamlaka za nchi hiyo. Katika taarifa iliyotolewa Novemba 25, ubalozi huo ulisema...
  3. C

    Njombe yaanzisha doria kudhibiti wanaofanya ngono maeneo ya wazi

    Diwani wa Kata ya Njombe Mjini, wilayani Njombe, Deo Mazao, amesema halmashauri hiyo inaanzisha msako na doria za usiku kuwabaini watu wanaofanya vitendo vya ngono katika maeneo ya wazi, yakiwemo vichochoro na pembezoni mwa nyumba. Mazao ameyasema hayo baada ya kikao cha Baraza la Madiwani la...
  4. KERO UDOM: Chuo kikuu kinashindwaje kutatua tatizo la maji wakati maeneo yanayokizunguka yana visima?

    UDOM: CHUO KIKUU KINASHINDWAJE KUTATUA TATIZO LA MAJI WAKATI MAENEO YANAYOKIZUNGUKA YANA VISIMA? Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kukabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na ya uhakika. Kinachoshangaza ni kwamba tatizo hili limekuwepo kwa miaka kadhaa bila kuonekana kwa...
  5. Je, mwanamke ni lazima akupende au wewe umpende? Je, ushawahi kujiuliza ni upendo anataka kutoka kwako? Kama umechagua upendo kwanini una michepuko?

    LOVE IS COMPLICATED😁 kwa sababu kama wanadamu hatufahamu asili ya upendo na mipaka yake na namna ya ku-handle upendo. Upendo au mapenzi? Je ni mihemuko ya ile moment tunaichanganya kama lifelong affection?🤔
  6. M

    Dar: Maafisa wa Bodi ya Filamu wapita baadhi ya maeneo kufanya msako kwenye Library Bubu kwa wanauza kazi za wasanii bila vibali

    Timu ya maafisa kutoka Bodi ya Filamu ilipita baadhi ya maeneo Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kufanya msako mkali kwenye Library Bubu na kwa wale wote wanajishughulisha kwenye kuuza kazi za wasanii bila vibali ambapo kadhaa wamewajibishwa
  7. A

    KERO Maeneo ya Bugulula tupewe makazi na mashamba tunaishi kama wakimbizi

    Wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita tuliishi kwa kuchimba madini lakini maeneo yote wamepewa wawekezaji sehemu ndogo iliyobaki eti ni Maliasili, sisi hatuna Ardhi ya kilimo tukiingia porini kulima tunapigwa mpaka kupata ulemavu. Serikali imetufanya Brudoza za kungo'a visiki Ardhi...
  8. Dkt. Mwigulu: Zingatieni masilahi ya wananchi maeneo yenye madini

    ▪ Ataka wenye mashamba, leseni na wawekezaji wanufaike ▪ Aonya matumizi mabaya ya amri za mahakama katika kudai madeni ▪ Aagiza maandalizi ya jengo la dharura Hospitali ya Kahama WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka maafisa madini kusimamia utaratibu unaozingatia masilahi ya wananchi...
  9. Mliopo maeneo ya Texas hapo Marekani hembu tuambieni ukweli

    Inasemakana Texas imeshavamiwa na viuavijeshi, sio tena lile Jiji la wajanja macowboy. Texas nliipenda sana enzi za utoto wangu nikitizama movie za Chuck Norris
  10. A

    KERO Mtaa wa Majengo Mapya - Shinyanga wizi wa nyumbani umeongezeka, tukiripoti hatua hazichukuliwi

    Naomba ujumbe uwafikie Polisi Tanzania hasa Mkoa wa Shinyanga, kumekuwa na matukio ya wizi sana majumbani, taarifa zinafika Polisi, RB na Mpelelezi unapewa lakini hakuna kinachoeleweka. Matukio badala ya kupungua yanaongezeka, mfano Mtaa wa Majengo Mapya tunaibiwa sana na vitu havipatikani (TV...
  11. Responded DAWASA: Januari - Novemba 2026, Mita 3,497 zimeibiwa maeneo ya Dar es Salaam na Pwani

    Wizi wa mita za maji zikiibiwa zinaenda kutumika wapi Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea kushughulikia changamoto kwa wananchi wasio waaminifu wanaoiba mita za Maji kwa matumizi ambayo bado hayajafahamika. Mamlaka imebaisha kuwa kuanzia Januari hadi...
  12. Ngao vital points - maeneo thaifu kupiga katika mfumo wa ngao

    Vital points au range areas ni somo la sayansi ya mwili, somo ambalo linamfanya mpiganaji wa ngao awe na uwezo au uelewa wa kumdhibiti adui, kumlemaza adui, kumshinda adui au kumuua adui kwa muda wa sekunde 3 - 5 . Maeneo ya shabaha ni 1. The eyes 2. The nose 3. The side of the neck 4. The...
  13. M

    Leo kuna nini, Mbona Barabara ya Morogoro Road hasa maeneo ya kimara mpaka ubungo kuna magari makubwa ya Polisi pamoja na polisi wengi wenye silaha?

    Toka majira ya asubuhi ,nimeshuhudia uwepo wa askari polisi wengi wenye silaha kwenye hii barabara! Je kuna shida yoyote?
  14. A

    KERO DAWASA wanafungulia maji kwa upendeleo maeneo ya Goba Matosa (kwa Bishilingi na Br Hotel)

    Nina kero yangu, Wakazi wa Goba Matosa maeneo ya kwa Bishilingi na Br hotel, DAWASA wanafungulia maji kwa upendeleo, baadhi ya nyumba zetu hatuna maji huu ni mwezi wa pili na cha kushangaza tunaketewa bill za maji kama kawaida. Ukiwaambia wale wasoma mita wao hawatoi majibu ya kueleweka,kwa...
  15. Mamlaka za upangaji zatakiwa kuepuka mipango ya matumizi ya ardhi kwenye maeneo hatarishi

    Mamlaka za Upangaji nchini zimetakiwa kuepuka kuandaa na kuidhinisha mipango ya matumizi ya ardhi katika maeneo hatarishi, ikiwemo mabonde na maeneo yanayopitisha maji, ili kulinda usalama wa wananchi na kuimarisha usimamizi bora wa matumizi ya ardhi. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
  16. A

    KERO Askari wa Barabarani Arusha wanatunyanyasa sisi madereva Bajaj

    Mimi ni mkazi wa Arusha. Kero yangu inahusu baadhi ya askari wa usalama barabarani (trafiki) ambao wanatunyanyasa sisi madereva wa bajaji. Kuna maeneo ya Arusha mjini ambayo haturuhusiwi kuingia, licha ya kuwa maeneo hayo ndiyo yenye fursa nyingi za kupata riziki. Tukiingia maeneo hayo na...
  17. Mwanzilishi wa Jukwaa la Kimataifa la Nasser atembelea Taasisi ya Palestina na Maeneo ya Kiarabu Yanayokaliwa kwa Mabavu

    Mtafiti wa anthropolojia Hassan Ghazaly, mwanzilishi wa Jukwaa la Kimataifa la Nasser, amekutana na Balozi Dkt. Fayez Mustafa, Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na Mkuu wa Sekta ya Palestina na Maeneo ya Kiarabu Yanayokaliwa kwa Mabavu, pamoja na Dkt. Nawal Al-Arabi, Waziri...
  18. M

    Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

    Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili. "Hayo ameyaeleza...
  19. Huenda athari na madhara ya El nino yakawa makubwa na mabaya zaidi maeneo ya Pwani hususani katika jijini la Dar es Salaam

    Na hii ni kutokana na mizaha, dhihaka na dharau za kiwango cha juu sana dhidi ya tahadhari zinazotolewa na mamlaka husika pengine zaidi hata ya wale waliokua wakimdhihaki Nuhu wakati akijenga safina kujiepusha na gharika. Tayari baadhi ya mikoa kama vile Kigoma, Manyara na kanda ya ziwa...
  20. tunaelekea 2027 ila hali ya vyoo vya maeneo ya umma vinakupa ujumbe gani

    Jamani, tunaishi mwaka 2026, dunia inazungumzia AI, robots na safari za kwenda Mars, lakini ukiingia kwenye baadhi ya vyoo vya maeneo ya umma unajiuliza kama bado tuko kwenye zama za mawe tena nahisi hata zama za mawe vyoo vyao vilikuwa sio vichafu kama sasa huenda walikuwa wanakwenda porini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…