maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akisikiliza hoja na kero mbalimbali zilizoibuliwa na wananchi

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akisikiliza hoja na kero mbalimbali zilizoibuliwa na wananchi wakati wa mkutano wa hadhara katika ziara ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Novemba 25, 2026 mkoani Morogoro.
  2. Maendeleo ya jitihada za kurejesha huduma ya umeme katika mikoa YA Mbeya na Songwe

  3. Afrika haihitaji kuwachukia wachina, inahitaji kujenga uwezo wake wa kiuchumi

    Kuwapiga Wachina au kuharibu mali zao si suluhisho la changamoto za kiuchumi za Afrika. Suluhisho ni kuelewa kwa nini baadhi ya wafanyabiashara kutoka China wanaweza kuja Afrika, kuwekeza, kujenga mitandao ya biashara na kushindana katika masoko yetu, wakati sisi wenyewe bado tunahangaika...
  4. TANROADS yatoa ufafanuzi kuhusu Taarifa ya maendeleo ya ukarabati wa Mizani ya Mkuranga - Pwani

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mkoa wa Pwani, inapenda kuwataarifu wasafirishaji na wadau wa usafiri kuwa ujenzi/ukarabati wa miundombinu ya Mizani ya Mkuranga, upande wa magari yanayotoka Dar es Salaam kuelekea Mikoa ya Kusini, umefikia asilimia 95. Kwa sasa, kazi zimeingia katika...
  5. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika eneo la Mangaka pamoja na Masasi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika eneo la Mangaka pamoja na Masasi Mjini alipopewa nafasi ya kuwasalimia wakati wa ziara ya kikazi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania , Mhe. Deogratius Ndejembi...
  6. Rais Samia Uturuki: Tanzania kufungua fursa za kimataifa kwa maendeleo ya wananchi

    Safari ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuelekea Antalya nchini Uturuki, kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), ni sehemu ya juhudi za Tanzania kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kutafuta fursa zinazoweza...
  7. Usinunue kiwanja kwa kuangalia umbali wa leo, angalia maendeleo ya kesho

    Ndugu yangu,kabla hujaamua kwamba kiwanja kiko mbali, jiulize swali moja;Je, mji unaendelea kuelekea upande gani? Kila mji una mipaka yake ya sasa, lakini ukuaji wa miji hauishii kwenye mipaka hiyo. Kadiri watu wanavyoongezeka, biashara zinavyopanuka na makazi yanavyohitajika, maeneo mapya...
  8. Wadau Wa Maendeleo Waipongeza Tanzania Kwa Mafanikio Ya Maboresho Ya Usimamizi Wa Fedha Za Umma

    Wadau wa Maendeleo wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Sita (Public Finance Management Reform Programme - PFMRP VI), yaliyochangia kuongeza ufanisi, uwazi na...
  9. O

    KSh10.2 Bilioni za Bomas Zitaishia Mifukoni mwa Nani? KTN Yafichua Mkataba Wenye Utata

    Uchunguzi wa KTN News umeibua maswali kuhusu matumizi ya mabilioni ya fedha za umma katika mradi wa ujenzi wa Bomas International Convention Complex (BICC), baada ya kufichuliwa kwa mkataba wenye gharama zilizoongezeka na vipengele vya malipo vinavyotiliwa shaka. Katika uchunguzi uliotangazwa...
  10. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

    Jengo la Ofisi ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ni moja ya majengo ambayo yamesanifiwa na kujengwa kwa ubora na muonekano maridhawa katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Jengo hili limejengwa kwa usanifu wa kisasa wa ghorofa lenye muonekano wa kuvutia ambao kwa pamoja na...
  11. Elimu bora ni muhimu kwa Maendeleo ya mtoto wako

    Je, unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani au kumsaidia kuongeza ufaulu wake shuleni? ELITE HOME TUITION SERVICES tunakuunganisha na walimu wenye sifa, uzoefu na uwezo wa kufundisha kulingana na mahitaji ya kila mwanafunzi. 📚 HUDUMA ZETU 1. Nursery & Kindergarten (KG 1–KG 3) 2...
  12. Hata kama Tanzania ikiongozwa na Likud, Haitapiga hatua kubwa za maendeleo.

    Raia hatutimizi wajibu wetu wa kuipambania nchi yetu. Wachache wanajaribu ila kundi kubwa la watanzania wanajiona hawahusiki juu ya hilo.Leo raia wa Tanzania wamewaachia wakatoliki wafanye maombi, kwao imetosha.Kwa ukubwa wa kilichotokea Oktoba 29 2025kweli hii ndio taswira yake!? Kwa hali hii...
  13. Amani ni msingi wa maendeleo, mshikamano ni nguvu ya taifa letu!

    Tanzania ni yetu sote. Tunatoka katika makabila, dini, mitazamo na maeneo tofauti, lakini sote tunaunganishwa na uzalendo na upendo kwa nchi yetu. Tofauti zetu hazipaswi kuwa chanzo cha chuki na migawanyiko, bali ziwe fursa ya kujifunza, kuheshimiana na kujenga umoja wetu. Tudumishe amani...
  14. Amani ni msingi wa maendeleo ya taifa letu

    Tanzania ni nyumba yetu sote. Tofauti zetu za kisiasa, kijamii na kiitikadi zisituondolee utu, umoja na upendo tuliojenga kama taifa. Tuheshimiane, tusikilize maoni ya wengine, tutatue tofauti zetu kwa mazungumzo na tuepuke vitendo vya uchochezi na vurugu. Tuilinde amani, tudumishe umoja na...
  15. Update: Siku ya 8 toka nimeacha pombe maendeleo ni mazuri sana

    Japo sometimes Kiu inakuwa kali Arosto za hapa na pale , kukosa usingizi ila niendelea kukazaa kisawasawa. Company yangu ya ulevi imehuzunika sana baada ya juzi kunipatia invitation nikawaambia nimeacha pombe wengi hawakuamini ila ndio hivyo....maneno yao mengi ni utarudi tu kunywa pombe wewe...
  16. M

    Art of politics in Africa: bana pesa na miradi ili wananchi waone maendeleo ni fadhila sio haki yao, kisha wabaki wanyenyekevu kwa viongozi na mamlaka

    Nimeikuta hii video random mtandaoni, ukikaa na kui analyze kwa upana ni nchi nyingi za Africa jamii inayolazimika kuomba, kushukuru na kunyenyekea ili iweze kuishi Tunasikia kauli kama “Mradi wangu,” “Nitatoa pesa,” “Nitaleta maendeleo,” na “Mimi ndiye niliyesaidia.” Tunaomba kwa...
  17. L

    Miradi ya miundombinu ya China yachochea maendeleo ya kiuchumi magharibi mwa Kenya

    Katika vilima virefu na vya kijani vya Kaunti ya Kisii magharibi mwa Kenya, barabara mpya zinabadilisha maisha na kuchochea biashara ya eneo hilo. Malori yaliyojaa ndizi, maparachichi, miwa, na mawe ya kuchongwa sasa huondoka alfajiri, na kuwaingizia mapato ya haraka kulima wa eneo hilo. Kabla...
  18. L

    Miradi ya miundombinu ya China yachochea maendeleo ya kiuchumi magharibi mwa Kenya

    Katika vilima virefu na vya kijani vya Kaunti ya Kisii magharibi mwa Kenya, barabara mpya zinabadilisha maisha na kuchochea biashara ya eneo hilo. Malori yaliyojaa ndizi, maparachichi, miwa, na mawe ya kuchongwa sasa huondoka alfajiri, na kuwaingizia mapato ya haraka kulima wa eneo hilo. Kabla...
  19. congratulations 🎊 👏Pastor, Dr Mastahi Mungu azidi kukutunza

    Kiukweli nikiona watumishi wa Mungu, wana wa ufalme wanaingia darasani na kusoma mavitu mazito, na kufanya tafiti na kupata titles OG sio feki, inatia moyo sana. Najua sio rahisi ndio maana wengi tunaona wanapita chocho wanaibuka na phd unaa zisizo na utafiti za kupewa na vyuo visivyotambulika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…