kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. SERIKALI AU MAHAKAMA: Nani Anahusika na Kesi ya Tundu Lissu? Tujadili kwa Sheria, Sio Mihemko

    Ndugu zangu, Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imemalizika jana Ijumaa Novemba 6, 2026, baada ya takribani miezi 19 tangu akamatwe Aprili 9, 2025. Ili tujadili vizuri, tuweke kwanza UKWELI WA KISHERIA uliotokea, halafu tuulize: Lawama ni ya Serikali au ya Mahakama? 1. UKWELI...
  2. Malipo ya wakandarasi yagoma hazina wadai wanalipa mishahara kwanza

    Hii nchi tuna hitaji Mbingu ziingilie aisee, malipo mengi ya kandarasi yamekwamia hazina huku serikali ikisema kwamba inalipa mishahara kwanza
  3. Tuwe na subira,tungoje kwanza tume zimalize kazi zake,ndipo tuanze kulaumu.

    Watanzania wa mrengo ule,wamekuwa wakitupa lawama sana kwa serekali yetu tukufu,juu ya uwajibikaji wake juu ya yale yalitokea 2025 Oktober, At the same time vipo vyombo mahsusi ambavyo bado vinashughulikia suala hili kwa kina na umakini mkubwa katika kupata last solution of the matter...
  4. F

    PostGE2025 Kundi la kwanza kuandamana Dar Okt 29, 2025, walikuwa chama tawala. Namwelewa A. Migiro anapoomba chama kuwajibika

    Twende haraka kwenye mada, Nimemsikia Asha Rose Migiro akisema CCM inastahili kuwajibika Kwa yaliyotukia Oct 29,30,31... Na nimemwelewa vizuri. Ikumbukwe pia kuwa palikuwa na mpasuko mkubwa ndani ya CCM uliosabisha wengine waliogombea kuenguliwa au kukatazwa kugombea au kuchukua fomu nk nk...
  5. M

    Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

    Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili. "Hayo ameyaeleza...
  6. Viongozi wa ccm naomba wasome somo la kwanza na la pili siku ya kuombea waliouwa na serikali ya ccm tarehe 29/10/2026

    Naomba viongozi wa ccm ambao ni wakatoliki kama Philipo mpango na wengine siku ya kuwaombea waliouwa na utawala wa ccm tarehe 29/10/2025. Tunataka wasome masomo yote tafadhali nina hakika Mungu atakujibu Kwanza tunaombea marehemu,pili tunaombea wote walio ua hao watoto wetu Mungu atende atakavyo.
  7. Studio session rasmi imeisha leo kwa mara ya kwanza napost picha zangu, bado videos

    Asante mungu atimae nimemaliza recording bado video production tu naachia ngoma zangu mbili, nadhani KAZI itabaii kwenu kusambaza mziki yangu Kuna wamiliki wa online media hapa pliz tushikane wakuu, page za insta fb nk
  8. Kafulila: Wawekezaji Wazingatie Haki za Watanzania, Wanaodhulumiwa Wasikae Kimya watoe taarifa | Sera ya Tanzania inamtambulisha Mtanzania kwanza,

    Wasalaam Jf, Tuendelee kumsikiliza mtaalamu wa PPPs na nondo zake kalikali. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Tanzania (PPPC), David Kafulila, amesisitiza umuhimu wa kuwapa kipaumbele wafanyabiashara na wawekezaji wa ndani, akieleza kuwa wawekezaji wa kigeni wanapaswa kuja nchini kwa...
  9. Shemeji Sehemu ya 1

    Ilikuwa mwaka 2006, Jason alioa mkoani Tabora, alikua anaishi na mke wake mjini Morogoro, Mke wake alikuwa anaitwa Anna, Waliishi pamoja kwa muda wa miaka mitano, na ndoa yao ilikuwa na furaha na iliyo onyesha mafanikio tele, walifanikiwa kupata watoto wawili. Kwa kipindi hicho Jason alijihisi...
  10. D

    Tanzania nchi ya kwanza barani Africa kwa watu wake kuwa na kipato kikubwa na furaha

    Utafiti uliofanywa na indepemdent firm kutoka marekani waonesha Tanzania imepanda viwango vya hali ya juu kwa gdp pet capita kuwa kuwa kuwa na uwekezaji kuongezeka sana kwa sera stable na predictable za awamu hii. Kipindi cha nyumba yaani cha JPM nchi ilitaka kudumbukia shimoni na sasa...
  11. Kwa mara ya kwanza Mungu Yesu kajitetea mwenyewe

    Padri alikua anaongea porojo akaamua ampe dozi hadi kufa
  12. Awamu ya kwanza ujenzi wa Uwanja wa Ndege Iringa imekamilika kwa Tsh. Bilioni 68

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa utafungua fursa za kiuchumi, kuvutia uwekezaji na kurahisisha usafiri kwa wananchi, wafanyabiashara na watalii. Ndejembi ameyasema hayo mkoani Iringa alipokagua maendeleo ya awamu...
  13. Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni akalishwa chini licha ya kulipa nauli kamili

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, kupitia operesheni za ukaguzi wa vyombo vya moto, limeendelea kuchukua hatua kuhakikisha usalama wa abiria na watumiaji wengine wa barabara unazingatiwa. Katika operesheni hiyo, Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi...
  14. Ukiichafua Tanzania utachafuka wewe kwanza. Hongera Jihan

    Hebu ona Tanzania inavyong'arishwa na huyu dada kama dhahabu matopeni. Hongera Jihan. Watanzania wenzangu hatuna kwetu kwingine ila hapa. Tushindane kupasafisha panukie sio kupachafua panuke. Haipendezi watanzania kama hawa wanahangaika kuipamba na mwingine anapambana kuichafua. Lazima tuwe...
  15. M

    Nimekuwa muafrika wa kwanza kuweka order ya TESLA ROADSTER nikiwa nimeweka amana ya $50k Leo na ndani ya siku 10 zijazo nitamalizia $200k zilizobaki

    Pesa so Kila kitu lakini ni muhimu kuwa na pesa ndugu zangu Tesla roadster yangu nitalipokelea Hong Kong 2028 kama mkiwa hai mtaliona tanzania
  16. M

    Hapa Bongo, ukimkabidhi mama mali zako zote akulindie kama Hakimi, hakikisha kwanza umeandika wosia! 😂😂😭

    Linaanzia kwenye mfumo wetu wa familia za Kiafrika, yaani EXTENDED FAMILY! Hapa ndugu si ndugu tu, ni ndugu pamoja na matawi yake yote! Unampa mama yako mali zako, kesho yake wajomba, shangazi, binamu mpaka watoto wa binamu wanajua dada yao ana ukwasi! Mama akisema, “Hizi mali mwanangu...
  17. Networking Halisi: Jenga Thamani Kwanza

    Kujipendekeza sio ‘networking.’ Watu hufuata thamani. Ikiwa huna ufumbuzi fulani unaorahisisha kazi za watu, unaweza kufahamiana na watu wengi na isikusaidie. Tumia muda mwingi kujifunza, kujitafuta na kujenga umahiri hata kama itakubidi kuwa mkiwa kwa muda. Thamani yako ikianza kuonekana...
  18. Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anateyeuliwa kushika nafasi fulani, bila kumfahamu, historia yake, ni HATARI

    KUMPONGEZA MTU BILA KUMFAHAMU NI KUKOSA TAHADHARI! Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anayeuliwa kushika nafasi fulani, bila kwanza kumfahamu, historia yake, tabia yake na mwenendo wake, inahitaji kutafakariwa upya. Si kila anayepata nafasi anastahili pongezi...
  19. Ni dhahiri Wanyiha ni Madirector wazuri wa Tasnia ya Umiss! Nazimizye Mdolo Mwafrika wa kwanza kushinda Miss Grand International Best Director

    Hakika historia imeandikwa nchini Thailand! Tanzania haikutwaa tu taji kuu la urembo la dunia kupitia kwa Jihan Dimack bali imeweka rekodi nyingine kubwa upande wa usimamizi na uongozi wa tasnia hii hapa nchini na barani Afrika kwa ujumla. Mkurugenzi wa Miss Grand Tanzania, Nazimizye Adam...
  20. Kama ni mpira kwa sasa sisiem wanaongoza 3 na dakika ni ya 35 kipindi cha kwanza.

    Mkubali mkatae, ccm ishawabana kende wananchi, hamna ujanja, ule umoja wa mo29 hautokaa utokee tena, washajifunza kutokana na makosa. Washajua namna ya kuishi na manyumbu na makondoo. Sisiem kabla hakujapoa chomekeni tena kitu kingine hapo Kati, kikiisha tu miaka 30 ya bf hiyo hapo, Yani ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…