kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. Mtu wa kwanza alipataje UKIMWI?

    Kama UKIMWI/HIV ni ya kuambukizwa kwa zinaa, ncha kali, mtu wa kwanza aliupataje?
  2. Mkeka wa kwanza kwenye Uchaguzi wa Simba Mzee Mangungu OUT

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kupitia Kamati yake ya Uchaguzi, limetoa orodha ya awali ya wagombea waliopita katika mchujo wa kwanza wa fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Klabu ya Simba. Hatua hii inafungua pazia rasmi la kuelekea uchaguzi mkuu wa klabu hiyo...
  3. Kujipenda wewe kwanza ni msingi wa uwezo wako wa kupenda wengine

    Kujipenda wewe kwanza ni msingi wa uwezo wako wa kupenda wengine kwa namna iliyo bora, yenye ukomavu, na isiyochosha. Huwezi kumpa mtu mwingine maji kutoka kwenye chombo kilicho tupu; unapojijaza upendo, heshima, na utulivu, unakuwa na akiba ya kutosha na yenye afya ya kushirikisha wengine...
  4. A

    Kabla hujanunua gari nje ya nchi, soma haya kwanza

    Unapanga kuagiza gari kutoka Japan, Uingereza, Dubai au nchi nyingine? Usikimbilie kufanya malipo kabla ya kuzingatia mambo haya matano muhimu: 1️⃣ Historia ya Gari: Uliza kuhusu wamiliki waliopita na kama gari limewahi kupata ajali. 2️⃣ Hali ya Gari: Kagua injini, umbali liliosafiri...
  5. Waziri wa Ulinzi na JKT amtembelea Mkuu wa Kwanza wa Majeshi wa JWTZ

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 22 Novemba, 2026, amemtembelea na kumjulia hali Mkuu wa kwanza wa Majeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jenerali Mirisho Sam Hagai Sarakikya (Mstaafu), nyumbani kwake Tengeru, mkoani Arusha...
  6. PLATO: Mpumbavu anapopata madaraka, jambo la kwanza analofanya ni kuwanyamazisha wenye hekima na kuiangamiza Nchi

    Mpumbavu anapopata madaraka, jambo la kwanza analofanya ni kuwanyamazisha wenye hekima. Jambo linalofuata ni kujikusanyia wapumbavu wengine wanaomzunguka. Na jambo la mwisho analofanya ni kuiangamiza nchi.” Nukuu hii inahusishwa na PLATO. Plato alikuwa mwanafalsafa mashuhuri wa Ugiriki ya Kale...
  7. Yesu na Mohamed pembeni kwanza

    Habari za Jumapili ni Encyclopedia Tena nina ka debate kidogo UTU KABLA YA DINI: Maadili Hayakuanza na Vitabu Kuna swali ambalo watu wengi hawaulizi kwa sauti, lakini mioyoni mwao wanajiuliza kila siku: Kama dini ndiyo iliyotuletea maadili, basi watu wa kabla ya dini waliishije? Ukiweka...
  8. C

    Ilikuaje ukaanza kunywa pombe, na siku ya kwanza ilikuaje ?

    Mimi ninachokumbuka ni kwamba mwanzoni ilikua nikinywa ninatapika na pia ladha yake nilkua naiona si nzuri kabisa, lakini lakini baadae nikawa naweza kunywa hata ndoo kubwa. Ila saivi nimeacha
  9. 2026 FIFA U-17 Word Cup Qatar | 19 November - 13 December 2026 | Team ya Tanzania inashiriki kwa Mara ya Kwanza

    Vijana wetu wa Serengeti Boys wapo Qatar wakishiriki Kombe la Dunia kwa vijana under - 17. Hii ni fursa kwao kujitangaza Kimataifa na vile vile kuonesha ukomavu wapate Namba team ya Taifa Stars FIFA U-17 World Cup imeanza Leo tar 19 Nov hadi 13 December, ikiwa na jumla ya team 48 na...
  10. Rafiki yangu alipopata fedha aliwekeza kwenye ngono, guest house ya vyumba 10 alifanya full booking na kuanza ziara chumba cha kwanza hadi cha mwisho

    Rafiki yangu aliyejiita lambalamba alipopata fedha aliwekeza kwenye ngono, guest house ya vyumba 10 alifanya full booking na kuanza ziara chumba cha kwanza hadi cha mwisho Nimewahi kuwa na rafiki mshenzi kuliko wote ingawa sikufahamu mapema hadi siku aliponionesha video akiwa anatumbuiza...
  11. Si mara ya Kwanza Hospitali ya Muhimbili kutuhumiwa kuua Wanaharakati na Wapinzani wa Serikali

    Apumzike kwa amani mtoto Angel. Hospitali ya Muhimbili tangu zamani imekuwa ikituhumiwa kuua Wwakosoaji wa Serikali. Kitendo cha kusema hukubaliani, au ukiwa shahidi Mkuu unauawa. Mfano mtoto Angel aliikuwa ni kielelezo cha Watoto waliouawa bila kuwa kwenye maandamano. Samia alisema waliopigwa...
  12. R

    Siyo mara ya kwanza Simba kuwa na mgogoro wa namna hii

    Kwenye miaka ya 70 kulitokea mgogoro katika timu ya Simba kati ya waliojiita wasomi na wanachama wengine wa Simba kuhusu namna ya uendeshaji wa timu. Wengi wao wakiwa wafanyakazi wa mamlaka ya bandari, reli na taasisi za serikali walitaka timu iendeshwe kisasa matokeo yake wengine waliondoka...
  13. Wanawake tu: Ilikuaje siku ya kwanza umevunja ungo?

    Hii mada tuliiongelea kazini, watu walifunguka ilikua vicheko na huzuni pia, nikasema niwasikie na rafiki zangu wa humu pia, Ilikuaje kwa mara ya kwanza umevunja ungo, ulikua mazingira yapi, ulireact vipi, nani alikustiri, n.k Mie nakumbuka nilikua nina miaka kumi na tano, ilikua likizo ya...
  14. Mnadanganyana na akina Mange Eti bila CHADEMA hakuna maridhiano, hebu acheni kujipa umuhimu msiokuwa nao

    CHADEMA ni nani kwenye nchi yetu? Mpaka mjipe umuhimu kiasi hiki, kwamba Kila kitu lazima kifanyike nyny mkiwepo kwani nyny ni nani? Mnawabunge wangapi? Mna madiwani wangapi? Nashangaa kuona mtu mzima kabisa Bado anaamini kuwa bila CHADEMA hakuna maridhiano aisee hebu acheni hizo fikra za...
  15. Urusi yataka Finland ijiondoe NATO, Masharti mapya kumaliza vita Ukraine

    Gazeti la Ujerumani la Bild limeripoti kuwa wajumbe wa Urusi wamewasilisha masharti mazito katika mazungumzo yanayoendelea mjini Abu Dhabi, yanayolenga kutafuta suluhu ya kumaliza vita nchini Ukraine. Miongoni mwa masharti hayo ni Finland kujiondoa katika Jumuiya ya NATO. Kwa mujibu wa taarifa...
  16. Toyota Corolla Fielder Hybrid (2018) kama Gari Langu la Kwanza – Je, Linafaa?

    Habari wakuu wa Jukwaa la Motors. Nipo kwenye maandalizi ya kununua gari langu la kwanza na kwa sasa nimevutiwa na Toyota Corolla Fielder Hybrid, mwaka 2018. Kilichonivutia ni uchumi wa mafuta, muonekano wake, nafasi kubwa ya mizigo na sifa ya uimara wa Toyota. Gari nililoliona lina mileage...
  17. Ni takribani mwaka mzima tunaandaa mtandao wa Kibiashara wa KenteXa. Leo tumeachia App yake ya kwanza ya Android

    Ni Jambo la pongezi kwangu na timu yangu , kufanikiwa kupandisha Application ya kwanza ya android kwenye jukwaa la Play store. Hizi hapa ni baadhi ya changamoto tumejaribu kuzitatua kupitia mfumo wetu wa kisasa wa KenteXa. Kwa mara ya kwanza Tanzania , tumetatua changamoto ya kutengeneza...
  18. Mke wangu anakesha 'Live' mitandaoni hadi Usiku Mnene nikimwambia namhitaji anasema nisubiri amalize kwanza!

    Mke wangu muda wote yuko busy kwenye mitandao ya kijamii. Nikimwambia kwamba namhitaji, ananiambia nisubiri amalize kufanya Live kwanza! Tabia hii ni ya muda mrefu. Ilifika hatua nikamwambia mama yake (mama mkwe) kuhusu mwenendo wa mke wangu. Lakini licha ya kuonywa, bado ameendelea na hiyo...
  19. L

    Siku ya kwanza mtoto mchanga kutolewa nje

    Hivi siku ya kwanza mtoto mchanga kutolewa nje, Kwa Nini jamii nyingi Huwa wanamtoa wakiwa na jembe? Wanafanya kuwa mkulima mahiri wa baadaye?
  20. Umeme unaisha haraka? Usiilaumu mita kwanza

    Mfumo wako wa umeme umeukagua lini? Admini anaakwambia "Scroll" chini ujifunze zaidi! Haya Tuambiane, mara ya mwisho kufanya ukaguzi ilikuwa lini? #TANESCO #UsalamaWaUmeme #MwangaWetu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…