kuu

Kullu–Manali Airport (IATA: KUU, ICAO: VIBR) (informally also called Bhuntar Airport) is an airport located in Bhuntar, Kullu in the Indian state of Himachal Pradesh. The airport is located 11 km from Kullu and 52 km from Manali.
Bhuntar is considered a challenging airport for pilots because of its single runway set in a deep valley whose peaks rise several thousand feet higher than the runway. Also, the airport is located on the banks of the river Beas, and in 1995, its flash floods posed a threat to the runway. The new air terminal at Bhuntar was inaugurated in 2008, and the airport apron enlarged to park two aircraft at a time. Kingfisher Airlines ceased operations in September 2012 while Air India Regional resumed its operations to Kullu in May 2013. Himalayan Bulls in collaboration with Deccan Charters has commenced Kullu-Chandigarh-Kullu flights thrice a day from 2 April 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hawa ndio waliokuwa Kamati Kuu ya CHADEMA wakati wa Mbowe?

    Kigaila Salum Mwalimu Yericko Nyerere Nauliza tu. Maana kama hawa ndio waliokuwa kamati kuu CHADEMA mwaka mmoja uliopita, basi vijana wawe makini sana na siasa hasa za upinzani. Wengi wao siasa zao ni ulaghai na utapeli.
  2. Swali chokozi siasa za afrika: Je upinzani hawawezi kupandikiza mwanachama wao kamati kuu au ofisi nyeti chama tawala?

    Siasa ktk nchi ya kidemokrasia ni vita ya kutwaa dola kwa njia za amani. ANGALIZO: Nazungumzia mambo ya afrika kiujumla asije mtu akaingiza mambo yake. Tujadili bila kutaja majina. Haya ni mawazo ya sinema ya kikorea 100 days of deception Hili ni swali fikirishi, je upinzani hawawezi...
  3. Jumatatu 23, Novemba 2026 Makamu mwenyekiti CHADEMA John Wegessa Heche aliongoza kikao cha Sekretarieti Main agenda Maridhiano good move.

    CONFIDENTIAL: Jioni ya jana Jumatatu 23, November John Wegess Heche aliongoza Sekretarieti ya CHADEMA ikiwa na Katibu Mkuu na Manaibu Makatibu Wakuu 2, Makamu Mwenyekiti Zenji na Mkurugenzi wa Sheria (Nshalla), wamekubaliana kuingia kwenye maridhiano, ila inabidi wapate idhini ya Kamati Kuu...
  4. U

    Hivi wakatoliki hela wanatoa wapi? Jimbo Kuu Dar es salaam wachanga shs Bilioni 6 Sadaka ya Mavuno

    Mimi ni msabato lakini Leo nawapongeza Wakatoliki Kanisa moja Takatifu la Mitume Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam limekusanya jumla ya Shilingi bilioni 6.15 (TSh 6,154,464,705.55) katika kilele cha mchango wa Misa ya Mavuno (Tegemeza Jimbo) kilichofanyika leo Jumapili, Novemba 22, 2026...
  5. Kwani 340M za Baraza Kuu zilienda wapi?😄😄😄

  6. M

    Likizo ya makama kuu

    Likizo ya mahakama kuu
  7. Mahakama Kuu yaamuru Polisi kumfikisha Jacqueline mahakamani ndani ya saa 24

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imetoa amri kwa Jeshi la Polisi kumfikisha mahakamani Bi. Jacquiline Valence Mlekezi ndani ya saa 24, baada ya kushikiliwa kizuizini kwa siku 27 bila kufunguliwa mashtaka wala kupewa dhamana. Amri hiyo imetolewa mbele ya Jaji Salima...
  8. Kiongozi wa CHADEMA, Rose Mayemba aomba hifadhi UNHCR

    "Mimi ni mmoja wa Watanzania waliokimbia nchi mwaka jana, kuepuka mkono katili wa Samia. Tumekuwa nje kwa mwaka sasa mpaka leo tunapojikuta tuko kwenye hatari nyingine tena ya kutekwa, kuuawa, kuumizwa. Kufuatia kutekwa kwa Mwepaya na watu ambao sisi tunaamini wana uhusiano mkubwa sana na...
  9. S

    Peter Madeleka: Hukumu rasimi ya Mahakama Kuu inaonyesha Tundu Lissu alihukumiwa na Jaji Mmoja

    Ni maelezo ya Wakili Peter Madeleka aliyoyatoa kupitia mtandao wa X. Tukumbuke huyu ni wakili
  10. R

    Mahakama Kuu Somali yatangaza kuwa Rais wa Somalia ni haramu, hana uhalali wa kutawala

    Habari ndiyo hiyo! Malawi vipi? Linawezekana? Hata Somalia wameizidi Malawi ambayo ni kama non existent State ===== Mahakama Kuu ya Somalia imetoa uamuzi kwa Rais Hassan Sheikh Mohamud kuongeza muhula wake kinyume cha sheria, na kuzidisha mgogoro wa kisiasa na mzozo kati ya urais na mahakama...
  11. R

    Mwamposa kama mahakama Kuu kesi ya Lisu

    Mwamposa hana tofauti na Mahakama Kuu katika kesi ya Lisu. Angalia utapeli Kila mahali vituko huyu sedition, huyu kapata mimba ghafula baada ya kuombewa
  12. Kwanini ligi kuu Tanzania bara imesimama? Hii ni hujuma

    Kifurushi kinalipiwa 28,000 kwa mwezi kwa ajili ya match mbili tu? Hapo bongo sijui wanawaza nini au mamlaka sinafanya kazi gani zipo zipo tu zinawaza upigaji, ligi mara ya mwisho imechezwa tarehe 2 Simba na Namungo, ila calendar ya fifa inaanza kesho tarehe 09/10 takribani siku 10 hakuna...
  13. Kwanini Mahakama kuu imetoa hukumu juu kwa juu kwa kesi aliyokutwa nayo Mh. Lissu wakati kesi kama hiyo ya Ucho alifunguliwa Kisutu na kupata dhamana?

    Mh. Lissu baada ya kukamatwa alifunguliwa kesi 2 ya Uchochezi ambayo alipata dhamana na ya Uhaini. Uhaini ikaendelea. Uhaini imeonekana imeshindwa ila kuna uchochezi ambayo sawa na ile iliyopaki Kisutu. Sasa inakuwaje Mahakama kuu imalize mchezo juu kwa juu? Yaani baada ya mahakama kuu kumkuta...
  14. C

    Wakili Addo November: Hukumu ya Tundu lissu imeonesha uhuru wa mahakama

    Wakili Mwandamizi, Addo November, amesema uamuzi wa Mahakama Kuu katika kesi namba 19065 iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, unaonesha uhuru wa Mahakama nchini katika kusimamia utawala wa sheria. Akizungumza katika Mahojiano Maalumu na...
  15. M

    CHADEMA: Baadhi ya wanachama na viongozi wa CHADEMA wakizuiwa kuingia ndani ya Mahakama Kuu

    Baadhi ya wanachama na viongozi wa CHADEMA wakizuiwa kuingia ndani ya Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, huku Jeshi la Polisi likiwatoa katika eneo la lango la mahakama asubuhi hii. Pia soma: UPDATES: Yanayojiri Mahakamani kwenye Hukumu ya Kesi ya Uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa...
  16. Ukumbi wa mahakama kuu mmoja hauwezi chukua watu zaidi ya 200, nawaasa wanaCHADEMA watulie tu nyumbani na kufuatilia hukumu kwenye media.

    Ukienda pale High Court masijala ndogo DSM ukumbi mmoja (open Court) Hauwezi chukua watu zaidi ya 200, hivyo kuhamasishana kwenda pale ni kusababisha demand kubwa ya nafasi kwa kila mtu ambayo inaweza leta mambo mengine yasiyotabirika. Sasa niwaase tu ndugu zanguni tutulie majumbani mwetu...
  17. Natangaza rasmi kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu Dar

    Leo nimeanza safari ya saa 17 kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu ya Dar. Kesho majira ya saa tisa mchana nitakuwa tayari ndani ya viunga vya uwanja wa ndege Dar na tutakuwepo mahakamani ijumaa tukiwa tumejaa tele. Hatutishiki na mikwara ya Muliro wala yeyote yule...
  18. Macho na Masikio Yote ni Mahakama Kuu, Kusubiria Hukumu ya Kesi ya Lissu. Je Haki Itatendeka na Kuonekana Imetendeka?. Jibu ni Keshokutwa Ijumaa!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia jinsi hukumu ya kesi ya uhaini ya Tundu Lissu, inavyosubiriwa kwa hamu na shauku kubwa kwa kujiuliza kama je haki itatendeka na kuonekana imetendeka...
  19. Angalizo kesi ya Tundu Lissu: Mahakama Kuu isifanye kazi ya CCM

    Na. M. M. Mwanakijiji Chama cha Mapinduzi kiko katika matatizo makubwa sana. Chama hiki kinachounda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado kinaishi kwa fikra za kushika hatamu. Katika fikra hizi chama hiki hakikubali kuwa kiko kwenye matatizo makubwa. Tatizo lake kubwa ni jinsi gani...
  20. Matengenezo ya bomba kuu kupunguza maji kwa siku nne Dar es Salaam na Pwani

    ‎Wakazi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam wanatarajiwa kukabiliwa na upungufu wa huduma ya maji kwa siku nne kuanzia Novemba 3 hadi 6, 2026, wakati Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ikifanya matengenezo ya bomba kuu lenye kipenyo cha inchi 72 linalopokea maji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…