kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Makato ya kutuma Shilingi milioni moja ni nauli ya kutoka Morogoro Mjini mpaka Mwanza

    Hebu tuwe serious na maisha nyie Wana ccm hivi mnaona sahihi haya MAKATO ya MIAMALA? Imagine nikitaka kufanya transaction ya milioni moja ni 40,000/= hii ni nauli ya Msamvu mpaka Nyegezi stand au stand ya Nato.
  2. J

    Vikosi vya waasi vyakomboa miji mitatu mikubwa kutoka utawala wa Taliban

    On 20th August Opposition fighters loyal to Afghanistan's ousted government retake three northern districts from the Taliban just days after the Islamist group reestablished its control over most of the country. The Taliban swept through Afghanistan, taking most of its 34 Afghan provincial...
  3. Changamoto 10 zinazosababisha watu kutokuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi. Na nini kifanyike?

    1. Umbali Kutokana na umbali ulipo kati ya mataifa mbali mbali. Ni vigumu kupata na kuanzisha mawasiliano na wasafirishaji kwa haraka na ukaribu. Wanunuaji na wauzaji huwa mara nyingi hawapati mda wa kukutana na mawasiliano binafsi huwa sa nyingine ni vigumu. Umbali pia husababisha...
  4. On May 16, 1997, President Bill Clinton issued a formal Presidential Apology

    In 1932, the USPHS, working with the Tuskegee Institute, began a study to record the natural history of syphilis. It was originally called the “Tuskegee Study of Untreated Syphilis in the Negro Male” (now referred to as the “USPHS Syphilis Study at Tuskegee”). The study initially involved 600...
  5. Video: Watu watatu waanguka kutoka kwenye ndege inayoondoka Kabul (Afghanistan)

    Shirika la Habari la Aśvaka limeripoti kuwa vijana watatu wamefariki baada ya kudondoka kutoka kwenye ndege walipokuwa wakijaribu kuondoka kutoka Kabul, Afghanistan. Mapema leo, mamia ya raia wa Afghanistan walionekana wakiwa kwenye uwanja wa ndege wakitaka kupanda kwa nguvu kwenye ndege ya...
  6. Msaada wa Usafiri wa Kutoka Dar kwenda Dodoma

    Habarini wapendwa poleni na majum. nimekwama gharama za usafiri kutoka Dar kwenda Dodoma naombeni msaada. Mimi ni operator wa heavy machine. Dodoma kuna ujenzi wa barabara ya njia nne ambapo test ilikuwa ni leo na kesho pia. OMBI LANGU KAMA KUNA MWENYE USAFIRI UNAO WEZA KUFIKA DODOMA NAOMBA...
  7. L

    Kutoka Afghanistan, hadi Lithuania, ni nchi gani zinazopenda kuendelea kutumiwa na Marekani kama ni karata ya kutupwa baadaye?

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mwendelezo wa mivutano kati ya China na Marekani ambayo imeripotiwa mara kwa mara na vyombo vya habari. Marekani imekuwa ikitumia ujanja wa kutumia upande wa tatu kujaribu kuiyumbisha China au kuingilia mambo ya ndani ya China, na China imekuwa ikifichua...
  8. Somo kutoka Ethiopia: Taifa vitani mbioni kugawanyika, kisa kiongozi kukataa ushauri

    Watsup comrades, Taifa la Ethiopia mbioni kugawanyika kama hali iliyopo isipodhibitiwa kwa hekima na busara sio miguvu tena. Vita ni kati ya majeshi ya serikali ya shirikisho ya Ethiopia chini ya waziri mkuu Abiy Ahmed na vikosi vya chama cha TPLF - Tigray People Liberation Front, katika jimbo...
  9. K

    Mchawi kutoka Congo adondoka Bwanga Chato

    Hii imetokea juzi usiku mchawi nguri kutoka Congo kadondoshwa na wataalam wa hapo Bwanga chato Kwa sasa ameshikiliwa kituo cha police chato ila kuna changamoto ya language collision kwani hajui kiswahili wala kiinglish Walioko Bwanga watuwekee picha maana Mimi niliikuta wakati nikiwa na safari...
  10. Cheche ya Zuchu na Diamond ulikopi style kutoka kwa Beyonce

  11. B

    Kuleta golikipa kutoka nje kama taifa tunakwama sana

    Wasalaam, TFF inabd waweke sheria haiwezekani tuajiri magolikipa kutoka nje jamani kwa hili YANGA wametuabisha kabisa. Kama Taifa tutafakari hv Yanga wangemuchukua hata golikipa wa prison anafaa kabisa kukaa langoni mhm mazoezi na kocha wa makipa akiwa mzuri inatosha. Hivi kweli Watz tunaenda...
  12. Uzoefu wetu na India: Kwanini wafanyabiashara wanaagiza mazao kutoka nje ya nchi?

    Wadau wa Biashara na Ujasiriamali, Tumeona humu kuna wazoefu wa biashara hizi za mazao ya kilimo, bila shaka ni sahihi kuleta jambo hili kwenu ili tubadilishane uzoefu. Pichani ni mzigo wa nafaka za mahindi uliagizwa na mteja wetu wiki kadhaa zilizopita. Mzigo huu ulitokea nchini India na...
  13. Mkapa: Nilipata wazo la Bima ya Afya (NHIF) kutoka kwa Rostam Azziz

    Another way to help the poor in a direct way was the National Health Insurance Fund which offered health insurance to families. I learnt about this scheme from Rostam Azziz, a member of parliament and successful businessman. In 1996 he started a health insurance scheme for the resident of his...
  14. Kenya sasa inanunua mahindi kutoka Tanzania mara sita zaidi ya kiwango ilichokuwa ikinunua hapo awali

    Kuna wale Malazy waliopinga safari ya rais Samia Suluhu kuja Kenya. Walisema kwamba rais Samia hapaswi kuja Kenya na alistahili kuendeleza roho mbaya na mikwaruzano aliyoanzisha mwendazake ambaye sitamtaja hapa. Lakini cha kushangaza ni kwamba baada ya rais Suluhu kutembea Kenya, sasa Kenya...
  15. Kutoka kutokuwa na simu hadi kumiliki smart phone -- does this man have a point?

    Leapfrogging is overrated, says a Harvard development professor, Yinka Adegoke West Africa Cellular Telecommunications business A revolution without industrialization. (EPA/Legnan Koula) Over the past few weeks there have been several stories about the growing penetration of smartphones...
  16. I

    Mbio za mita 42,000 Olimpiki kuna Mtanzania anakimbia?

    saa 6 na nusu usiku wa manane. marathon mita 42000 inaendelea. nataka kufahamu kama kuna mkimbiaji kutoka Tanzania maana nimechungulia mpaka nimechoka simuoni.
  17. Askofu Bagonza: Kutoka kijiwe cha Polisi Wastaafu

    KUTOKA KIJIWE CHA POLISI WASTAAFU.. Siyo kila nikisikiacho huwa nakiweka katika ukurasa wangu. Leo nilitembelewa na Polisi wastaafu. Wamesafiri kuja kunipa pole. Walipobisha hodi nikaweka mikono nyuma nikisubiri waweke pingu. Badala yake wakashusha kreti ya soda kunihani msiba. Baadaye soga...
  18. SoC01 Ni kwa namna gani tutapunguza tatizo la ajira kwa vijana kutoka vyuoni

    NI KWANAMNA GANI TUTAPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA KUTOKA VYUONI Elimu ya juu kila mwaka inazalisha vijana wapya wenye taaluma mbalimbali ambao wanakuja kushindana kwenye soko la ajira.Vijana hawa wana zidi kuongezaka mtaani na kufanya tatizo la ajira kuwa suguu Ila kwa elimu...
  19. Watu wenye umri mkubwa wanataokea Moshi, mikoa mingine hawatangazwi au hakuna?

    Ukifuatilia taarifa nyingi watu wengi wenye umri mkubwa naskia tu Moshi, wengi wao hujulikana baada ya kufa. Ajuza afariki Moshi akiwa na miaka 106 | Mwananchi Je mikoa mingine hautangazwi au hakuna wenye umri huo? Baada ya kufa wanafanyiwa sherehe. Milardayo, BBC Swahili na gazeti la...
  20. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam

    TAARIFA KWA UMMA Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…