kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Tiba ya jadi ya Kichina yapanua huduma za kuishi maisha ya kawaida nchini Sudan Kusini

    William Deng, mwajiriwa mwenye umri wa miaka 52 katika Mamlaka ya Mapato nchini Sudan Kusini, alitegemea kutumia kiti cha magurudumu baada ya kupata kiharusi mwezi Agosti, lakini baada ya kuanza matibabu katika Hospitali ya Mafunzo ya Juba, anasema kwa sasa anaweza kutembea bila kutumia kiti...
  2. Katumba kutoka Afrika Kusini akutana kimuziki na Civilian-Coin

    https://youtu.be/AzOjwktrA1Q?si=QiffSdTKzaKLtum1
  3. Korea Kusini waanza kukagua miwani na saa kwa watahiniwa wanaofanya mitihani ya Vyuo Vikuu

    Waziri Mkuu Han Seong-sook amesema Wasimamizi wa mitihani watakagua kila miwani na saa za wanafunzi kwenye mtihani wa taifa wa kuingia vyuo vikuu siku ya Alhamisi lengo ni kuzuia udanganyifu unaotumia akili bandia (AI). Akizungumza katika kikao cha mawaziri siku mbili kabla ya mtihani huo...
  4. O

    Harambee Stars Yavunja Rekodi ya Bafana Bafana kwa Sare ya 2-2 Afrika Kusini

    Timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, imeonyesha mchezo wa ushindani baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Afrika Kusini, Bafana Bafana, katika mechi ya kufuzu kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027. Katika mechi hiyo iliyochezwa Ijumaa, Novemba 13, 2026, katika uwanja wa...
  5. P

    Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake

    Rais Samia katika kikao na vyama vya siasa leo Julai 30, 2026 amesema hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa nzuri, akibainisha kuwa licha ya hali hiyo, bado kuna upande mmoja ambao unaendelea kutafakari msimamo wake kuhusu masuala ya kisiasa Kwa upande mwingine kisiasa kama mnavyoona tuko...
  6. L

    Mafunzo ya China yafungua ukurasa mpya kwa wanawake wajasiriamali wa Afrika Kusini

    Baada ya karibu miongo miwili katika biashara na safari kadhaa zinazohusiana na kazi nchini China, mjasiriamali wa Afrika Kusini Beauty Sonny, mkurugenzi wa kampuni ya Miradi na Utengenezaji ya Monenebe, inayojihusisha na ukodishaji wa vifaa, amejikuta tena darasani, akijifunza jinsi ya kufanya...
  7. Kusini mwa Jangwa la Sahara, watu milioni 900 sawa na asilimia 83 bado wanapika kwa kuni na mkaa #COP31

    Kusini mwa Jangwa la Sahara, watu milioni 900 sawa na asilimia 83 bado wanapika kwa kuni na mkaa, na milioni 600 hawana umeme kabisa. Ukubwa wa changamoto hii ndio unaofanya uwepo wa Rais Samia Suluhu Hassan katika COP31 kuwa na uzito mkubwa kwa Tanzania na bara zima la Afrika. #TanzaniaCOP31...
  8. E

    Anguko la ANC kutoka asilimia 69.7 hadi 30.76 linamaanisha nini?

    Chama kilichotawala Afrika Kusini kwa zaidi ya miaka 30 chazidi kupoteza uungwaji mkono; takwimu za chaguzi za Serikali za Mitaa na uchaguzi mkuu zaonesha kuporomoka kwa nguvu yake ya kisiasa. DA yaimarisha nguvu katika miji mikubwa, chama cha Zuma cha chanja mbuga KwaZulu-Natal huku vyama...
  9. J

    Free Mandela, hang vorster": balaa lililoibuka katika hukumu ya kesi ya Nelson Mandela kule Afrika Kusini linataka kuibuka tena kwa Tundu Lissu?

    Wakati Bw. Nelson Mandela alipopewa na kubambikiwa Kesi ya uwongo ya ugaidi kule nchini Afrika Kusini enzi hizo za Utawala wa Ubaguzi wa rangi wa Makaburu Bw. Baltazar Johannes Vorster, kwa jina lingine pia alikuwa anajulikana Kama John Vorster au kwa kifupi pia alikuwa anaitwa B.J. Vorster...
  10. Milipuko imesikika kusini mwa Iran muda mchache uliopita.

    Milipuko mitano imeripotiwa katika Kisiwa cha Qeshm nchini Iran, huku wakazi wakisema pia waliona ndege mbili zikipaa angani. Mamlaka za Iran bado hazijatoa maoni yoyote kuhusu taarifa hizo. Milipuko mingine imeripotiwa pia karibu na mji wa Bandar Lengeh, ulio karibu na Mlango-bahari wa Hormuz...
  11. Nitakuwa Masasi kesho kutwa, nielekezeni sifa za walimbwende wa kusini

    halaa halaa kumekucha.. natarajia kusafiri kesho kuelekea Masasi... sijui sana hints za mabinti wa kule kwa sababu nina muda mrefu sana sijakanyanga nyumbani... tafadhalini, mnaoishi huko na ambao hamuishi ila mna info, si vibaya mkinipa. natanguliza shukrani za dhati sana. Mnachihanguu
  12. M

    Je, kama Afrika Kusini ingekuwa nchi ya kiislamu?

    JE, KAMA AFRIKA KUSINI INGEKUWA NCHI YA KIISLAMU? Hebu fikiria hali ya Afrika Kusini ya sasa, lakini badala ya kuwa Afrika Kusini, iwe ni Tunisia, Morocco au Algeria. Kwa sasa, baadhi ya raia wa Afrika Kusini wanawashambulia na kuwachukia wageni. Je, dunia ingeendelea kuzungumzia haki za...
  13. Amid wimbi la visasi katika mahusiano una mshauari nini binti au kijana wa kiume ambaye bado mbichi au anataka kuingia mahusiano yaliyo serious?

    welcome.
  14. B

    Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) 2026 / The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF)

    05 October 2026 Unguja, Zanzibar Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) umeanza leo Zanzibar , Oktoba 5 hadi 9, 2026 . The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF) Annual General Meeting 2026 Zanzibar Maelezo Muhimu...
  15. A

    KERO Walinzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini – Mtwara ni wasumbufu, wanasumbua Watu getini

    Wananchi wanaofika kupatiwa huduma za matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mitengo katika Manispaa ya Mtwara mkoani Mtwara kuna changamoto ya Walinzi kuwa wasumbufu kwa Wananchi hasa katika utaratibu wa uingiaji. Walinzi wanaolinda geti la hospitali hiyo wamekuwa...
  16. Rais Samia Azindua Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini

    15 Septemba 2023 — Mtwara Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alizindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, iliyopo Mikindani, Mkoani Mtwara. Hospitali hiyo ililenga kuongeza upatikanaji wa huduma za matibabu ya kibingwa kwa wananchi wa Mtwara, Lindi na Ruvuma. Katika hafla hiyo, Rais Samia...
  17. Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tafuteni zao mbadala la biashara,Mahindi Kwa Sasa yanalimwa Kila pembe ya Nchi.Hadi Singida bei ni 45,000

    Hapo awali kulikuwepo na dhana potofu na kasumba kwamba Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini (Mbeya,Iringa,Njombe,Songwe,Ruvuma na Rukwa) kwamba ndio wazalishaji wakuu wa mahindi nao wakajisahau wakidhani wanategemewa saaana na Nchi kwamba Mikoa mingine ni walaji tuu. Sasa hivi hii kasumba...
  18. Watanzania 173 waliokuwa Afrika Kusini warejea nchini

    Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari kufuatia vuguvugu la kupinga wageni linaloendelea nchini humo. Zoezi la kuwarejesha raia hao limefanyika kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania...
  19. Tanzania yakopeshwa Billion 459 kutoka korea kusini

    Tanzania imepewa mkopo wa billion 459 kutoka Korea kusini fedha hizo zitatumia kwenye ujenzi wa chuo cha AI and digital technology Mimi najua hizo ela wamekopa za kuwalipa majaji wa mchongo kila siku kukopa hii nchi itauzwa Source: Africaninsider
  20. Wabongo bwana, eti huyu alikua anamtumia hela baba yake amjengee NYUMBA, akiwa afrika kusini

    Video imepatikana kijana wetu aloewauwa baba yake na baba yake mdogo kisa walikula hela zake za kumjengea NYUMBA alipo kua afrika kusini, huyu kijana ndio yule wa mwananyamala. Hivi huyu niwakutuma kweli hela Kwa unavo muona
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…