Kwenye ujasusi Mkuu wa operesheni ,kiongozi wa serikali akitaka
kujua kama Afisa usalama au jasusi anamletea taarifa za uongo au za ukweli unatumia mbinu hii.
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
**Unatuma maofisa wa usalama au majasusi tofauti kama 5 bila wao wenyewe kujuana ili kuchunguza taarifa...