kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Maofisa sita wa Polisi walilia DPP awapunguziwe adhabu kupitia Plea Bargaining

    21 October 2026 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Maofisa sita waomba DPP wapunguziwe adhabu Katika muendelezo wa kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili waliokuwa maofisa wa polisi na raia wengine, washtakiwa watano (kati ya tisa) wameandika barua kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)...
  2. O

    SI KWELI Je, Ebola inaweza kuenea kwa kupitia hewa?

    Kufuatia taarifa za visa vya Ebola nchini Kenya, kumekuwa na hofu na mijadala mtandaoni kuhusu namna virusi hivyo vinavyoenea, huku baadhi ya watu wakihofia kuwa mtu anaweza kupata Ebola kwa kupumua hewa moja na mtu aliyeambukizwa. Lakini je, Ebola huenea kupitia hewa kama mafua, COVID-19 au surua?
  3. T

    Kuna huu wizi unafanywa kupitia taasisi za afya za umma

    Habari wadau, Uzi wa leo tunashona sekta ya afya hapa nchini malawi. Wengi mnatambua kuwa kuna mfumo huu wa taasisi za afya za malawi. Ambapo unapofika hospital inaenda kwa mlolongo ufuatao; 1. Unasajiliwa ambapo baadhi ya hospitali za serikali ya malawi hukichaji mpaka zaidi ya 10,000 2...
  4. Je! Zile hela za Donation za kulisha mkutano mkuu wa chadema bado zipo? Maana naona CHADEMA Kuna UTAPELI mwingine wanataka waucheze kupitia Pambalu

    Watanzania shitukeni Kuna UTAPELI mkubwa sana ndani ya chadema, mpaka sasa mkutano mkuu haujafanyika ili hali watu walishashangishwa Hela nyng ambazo inasemekana zimeliwa na viongozi wa chadema. kama hela hazijaliwa basi viongozi wa chadema wajitokeze waseme zipo wapi na zipo sh ngapi mpaka...
  5. N

    Nilitukanwa nikanyamza, akatukana wanangu nikakasirika nikamjibu, ni kupitia whatsup. Je nina kosa kisheria?

    Nilitukanwa kwa kosa sio langu, kwa voicemail ya whatsup. Nikamwomba huyo mtu tafadhali ampigie simu huyo mdogo wangu ambae ni mtu mzima kabisa amfikishie huo ujumbe na asinishirikishe kwenye ugomvi. Yule binadamu akaanza kunitukania wanangu na mdogo wangu asiehusika, nilikasirika nikajikuta...
  6. O

    # 🚘 Unapanga kuagiza gari Japan, UK, au Japan? Panga fedha mapema kupitia OZB Finance agent!

    Habari za wakati huu wanajukwaa la JamiiForums! πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Je, umekuwa na ndoto ya kuagiza gari kutoka Japan au nchi nyingine, lakini changamoto ya mtaji imekuwa kikwazo? Au tayari gari lako limefika bandarini Tanzania, lakini unatafuta namna ya kugharamia ushuru wa forodha na gharama nyingine za...
  7. M

    Muongozo wa kununua Spark Plug sahihi: Usibahatishe ! Fundi na Ai wanaweza kukosea, tumia katalogi hii ya DENSO.

    Makampuni ya spark plugs yapo mengi, lakini kwa uchache wa resources nilizoweza kupata, nimefanikiwa kuipata DENSO Spark Plug Catalog PDF na nimeona niishirikishe hapa kwa manufaa ya wengine. Katalogi ya DENSO ina columns mbalimbali zinazokusaidia kutambua spark plug sahihi kulingana na aina ya...
  8. M

    Iran wanatuangusha, wanashindwaje kuwajibu Marekani kwa kuishambulia nchi ndogo Israel kama wanavyofanya kwa Saudi, Kuwait, Jordan, Bahrain, n.k.

    Ni miezi inapita Iran ikipigwa na Marekani, inajibu kwa kulenga Saudi Arabia, Bahrain, Kuwait na Jordan kwa sababu tu kuna kambi za Marekani huko. Lakini kuna swali moja lina viulizo vingi, Israel ikiwa hapo jirani kabisa na Jordan, kwanini hairushiwi makombora ya wastani kwa idadi kama wenzake...
  9. H

    Dkt. Mwigulu afanya mazungumzo na makamu mwenyekiti wa bunge la Vietnam

    π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ 𝗔𝗙𝗔𝗑𝗬𝗔 π— π—”π—­π—¨π—‘π—šπ—¨π— π—­π—’ 𝗑𝗔 π— π—”π—žπ—”π— π—¨ 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜π—žπ—œπ—§π—œ π—ͺ𝗔 π—•π—¨π—‘π—šπ—˜ π—Ÿπ—” π—©π—œπ—˜π—§π—‘π—”π—  Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
  10. K

    Kweka kumpiga risasi mkewe ni kielelezo cha wanaume kupitia mengi yasiyojulikana

    NInapotafakari kisa cha Kweka kumpiga risasi mke wake na kujipeleka polisi huku akijua kinacho mkabili, najaribu kuvaa viatu vyake nahitimisna kuwa huyu bwana atakuwa amepitia mengi kwenye ndoa yao. Bahati mbaya jamii hulalia upande wa mwanamke maana kwa kuwa wanaume wapo masculine jamii...
  11. A

    KERO Wananchi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilayani Magu hatuna maji kwa wiki ya tatu, ila bili kila mwezi tunapewa

    Naomba kupaza sauti yangu kama mkazi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. Tumekaa takribani wiki tatu sasa bila kupata maji. Hali ni ngumu sana na wananchi tunateseka kwa kukosa huduma hii muhimu. Tunaomba Serikali kupitia Wizara ya Maji itusaidie kufuatilia na kukagua mradi...
  12. K

    Makala ya Kihistoria na Kijamii: Urithi wa Mtwa Mkwawa na Mmomonyoko wa Msimamo wa Kihehe Kupitia "Uchawa"

    Chief Mkwawaβ€”ambaye jina lake rasmi la kiukoo na kiutawala tangu kuzaliwa ni Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyingaβ€”anasalia kuwa alama kuu ya heshima, uzalendo uliotukuka, na msimamo usiotikisika. Makala hii ya kiweledi inachambua ukweli wa kihistoria wa shujaa huyu na kufanya tathmini ya kina...
  13. Nani kafanikiwa kufuta Cheti Ajira portal kupitia njia hii?

    Wakuu, habari za jioni. Nimepitia mijadala mbalimbali kuhusu suala la kuondoa vyeti (qualifications) vilivyowekwa kwenye Ajira Portal, lakini hadi sasa sijafanikiwa kupata taarifa kutoka kwa mtu ambaye amewahi kufanikiwa kuondoa cheti cha qualification, kwa mfano cheti cha Shahada (Degree...
  14. O

    Wakenya wanaweza kununua Hisa za Dangote kwa kiasi cha Ksh. 490 kupitia NSE

    Wakenya huenda wakapata nafasi ya kuwekeza katika Dangote Petroleum Refinery kupitia Nairobi Securities Exchange (NSE) kwa kutumia Global Depositary Receipts (GDRs), mpango ambao bado unasubiri idhini ya mamlaka husika. Kupitia mpango huo, hisa moja itauzwa kwa takriban Sh49, huku kiwango cha...
  15. A

    KERO Tunashindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal. Tunaomba suala hili lishughulikiwe haraka

    Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto ya kushindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal, hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu na hasara kwa waombaji na wadau wa sekta ya madini. Madini Portal ni mfumo muhimu unaotumika kutoa na kufuatilia huduma mbalimbali zinazohusiana...
  16. Anzisha maombi ukiwa nyumbani kupitia mfumo wa e-Ardhi

    Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Geita, Bw. Martin Rwegoshora, amewataka wananchi kufika katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea katika Viwanja vya Maonesho ya Madini mkoani humo ili kupata elimu kuhusu matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi. Bw. Rwegoshora amesema Wizara imeendelea kuingia katika mfumo...
  17. Irene uwoya ni mfano hai tuliojionea kupitia Tv kuwa ni hatari kupokea ushauri wa ndoa/mahusiano kutoka kwa mwanamke asiye na ndoa.

    STUPID ME. Moderator naomba mnisaidie kufuta huu uziπŸ™πŸ™ Active Moderator Boqin BlackBold celix 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
  18. Wananchi Mwanza waendelea kuufaika na huduma za ardhi kupitia ardhi kliniki

    Wananchi mkoani Mwanza waendelea kunufaika na huduma mbalimbali zinazotolewa kupitia Kliniki ya Ardhi, ikiwemo elimu, ushauri na utatuzi wa changamoto zinazohusu masuala ya ardhi. Kliniki hiyo inaendeshwa katika mikoa yote Tanzania Bara ambapo ilianza Septemba 22 na itahitimishwa Oktoba 03...
  19. Serikali kupitia TAWA yatoa Bilioni 2 kunufaisha Wadau wa Utalii

    Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekabidhi jumla ya Sh bilioni 2 kwa wanufaika wa shughuli za utalii na uhifadhi wa wanyamapori, hatua inayolenga kuwawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi zinazotokana na rasilimali za utalii. Fedha...
  20. D

    Ushauri kwa wasanii na Organisers: Miaka 30 ya Bongo Fleva.

    Kabla sijaenda moja kwa moja kwenye mada husika, tour zinazofuata naomba mzingatie yafuatayo: Gangster With Matatizo (GWM) waje waimbe – YAMENIKUTA Big Dog Pose(BDP) waje waimbe – MA-JOB-LESS Mwana FA usiache kuimba – Haina Fagio Fid Q usiache imba – Sihitaji Marafiki GK usiache imba – Tuko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…