Jambo muhimu ni kuhakikisha unaandaa mapema nyaraka zote zinazohitajika kwa ajili ya usafirishaji na uingizaji wa gari lako.
Nyaraka zilizokamilika na kupangwa vizuri zitakusaidia kuelewa vizuri mchakato wa ushuru na forodha, pamoja na kupunguza ucheleweshaji unaoweza kuepukika.
AGENT MALCOLM...
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, kupitia ofisi yake ya Afrika, limetoa wito wa kutaka haki kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania, Humphrey Polepole, aliyeripotiwa kutoweka Oktoba 6, 2025, huku likiingiza suala lake katika kampeni ya kimataifa ya #Write4Rights...
afrika
amnesty
amnesty international
balozi
binadamu
haki
haki za binadamu
humphrey
humphrey polepole
international
kimataifa
kupitia
kutaka
kutetea
ofisi
polepole
shirika
upya
wito
Bado wewe ni WiFi ya umeme wa jirani? Simu unachaji kwake, barafu unagandisha kwake, hadi mpira unaangalizia kwake!
omba umeme basi kupitia nikonekt tukuwashie
Your home deserves its own power! Mpaka nimeongea na kingeee labda utanielewa๐
Dar es Salaam, 14 Novemba 2026: Benki ya Exim Tanzania imetumia tamasha la Twende BBM Festival 2026 kuwasogezea madereva wa bodaboda, bajaji na magari huduma za kifedha zinazolenga kurahisisha shughuli zao za kila siku na kulinda vyanzo vyao vya kipato, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha...
Kuna jamaa ananishangaa sana ninapojikakamua kumsomesha mwanangu IST, anasema hio hela bora nikamuwekee bank.
Umasikini unaanzia akilini especially pale mtu anavyoshindwa kujua kazi ya hela na hela inafanya kazi vp. Hio ada nikiiweka bank hadi aje amalize shule tyr haitokua na thamani...
Katika kipindi ambacho changamoto ya ajira imeendelea kuwa kubwa nchini, tunapaswa kutambua na kuthamini taasisi ambazo zimekuwa zikifungua milango ya fursa kwa vijana wa Kitanzania.
Baadhi ya taasisi hizo ni:
PSRS โ Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
VETA-Elimu ya Mafunzo na Ufundi...
Utajiri wa madini lazima ulete mabadiliko chanya katika maisha ya wananchi kupitia ajira, viwanda, uwezeshaji wa kiuchumi na fursa za biashara kwa Watanzania.
๐๐ค๐ญ. ๐๐ฐ๐ข๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฎ ๐๐๐ก๐๐ฆ๐๐
๐๐ข๐ป๐ช๐ณ๐ช ๐๐ฌ๐ถ๐ถ ๐ธ๐ข ๐๐ข๐ฏ๐ป๐ข๐ฏ๐ช๐ข
๐๏ธ Novemba 20, 2026
๐ Dar es Salaam, Tanzania
โโโโโโโโโโโโโโโโโ
Amesema hayo wakati...
ajira
chanya
katika
kupitia
lazima
mabadiliko
mabadiliko chanya
madini
maisha
mkuu
utajiri
utajiri wa madini
uwezeshaji
viwanda
wananchi
waziri
waziri mkuu
Mabadiliko ya hali ya usalama katika eneo la Afrika Mashariki yanazitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuendelea kupitia na kuimarisha mikakati yao ya ulinzi ili kukabiliana ipasavyo na vitisho vipya na vinavyovuka mipaka ya nchi.
Wito huo umetolewa Novemba 19, 2026...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Tanzania inaingia katika hatua muhimu ya maamuzi ambapo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya kuunda Tume ya Taifa ya Maridhiano na Usuluhishi ili kuweka misingi ya kufanyia marekebisho Katiba ambayo iliahadiwa katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM...
Wakati mwingine siasa nikama mchezo wa Paka na Panya huwezi hata kupata sababu nyingi za kukosolewa Hayati Dkt Magufuli kwenye ununuzi wa ndege za Air Tanzania
Sijajua walimaanisha nini pengine walitaka Shirika la ndege la Air Tanzania kukosa hata ndege moja ya abiria
Inawezekana ukosoaji...
Inakuwaje mwanafunzi yatima anayesoma shahada ya Udaktari katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) akose mkopo wa elimu ya juu licha ya kuwa na uhitaji wa msaada huo?
Taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa mwanafunzi huyo amepata nafasi ya kusoma kozi ya Udaktari, hana mzazi hata mmoja, lakini amekosa...
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro
Wapanda mlima 22 kutoka kampuni ya ARiS Risk & Insurance Solutions Limited na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) wamefanikiwa kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro na kurejea salama, katika safari maalumu ya kuadhimisha miaka 30 ya mageuzi ya soko la bima...
Akizungumza na vijana wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Mkurugenzi Mkuu wa PPPC, David Kafulila, alisema kuwa upande wa Serikali vijana ndiyo nguvu kuu ya kuleta mabadiliko na mageuzi yoyote ambayo taifa linayahitaji ili kusonga mbele.
David Kafulila alisema kuwa ili kufanikisha hilo...
Toeni porojo zenu mitandaoni,
Kama ni kweli ingieni barabarani au fungueni kesi dhidi ya mahakama kupinga hiyo hukumu,uku mitandaoni mnako lia lia nyinyi na madereka wenu tambueni mitandaoni tupo wachache so tafadhali ingieni mahakamani au barabarani maandamano dhidi ya uhuru upuuzi na ushuzi...
Baada ya Mdau kuandika hoja akieleza ~ MWAUWASA na urasimu unaofikia kiwango cha juu, ufafanuzi umetolewa kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA).
MWAUWASA:
Kuhusu suala la maunganisho mapya ya huduma ya maji, kwa sasa Mamlaka imeboresha zaidi na Mteja anaomba...
Kuna wakati nilikuwa napenda sana kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia ITV. Sasa HIVI Nina miaka mitano au sita hivi sifuatili taarifa hizo kupitia TV.
Mimi ni kuangalia mpira na tamthilia kidogo . Habari zangu nyingi nazipata mtandaoni. Tena napata habari ghafi kabisa...
Ndugu Raia wa Taifa la JF,
Hujambo?
Leo tarehe 24 Oktoba 2026, Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki migomo kwa lengo la kuunga mkono mgomo wa kula unaotarajiwa kuanzishwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, Jumatatu, Oktoba 26, 2026.
Wito huo unakuja...
Habari wadau,
Natumai mko poa
Nimekuwa nikifanya uchunguzi mdogo baada ya kuona watu wengi humu JF mna-post picha za magari mnayouza, nyumba mnazopangisha, na hata watoto wenu.
Je, mnajua kila picha mnayopiga na simu yenu ya mkononi inabeba siri 3 ndani yake bila ninyi kujua?
1. Mahali...