kugombea urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Rais Samia hawezi kushinda 2025, hawatathubutu kumpa kadi kugombea Urais

    Watanzania kinachowashinda kuongea hadharani, ni ule uoga wa kufungwa jela miaka kadhaa kama kilichompata kijana Shadrack wa Mbeya. Wana CCM, nawatahadharisha, ni vyema muwe wakweli, maana hata huko kwenu, mnajivunga kuonyesha mpo pamoja na mama ilihali mko mbali naye kwa hatua milioni. Tangu...
  2. Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

    Sera zangu hizi hapa na hizi ni hints amabazo zipo kwenye video A) maelezo yangu binafsi Mimi ni nani??? Nimezaliwa lini??? Nimezaliwa wapi??? Elimu yangu??? B)mambo ntakayotekeleza nikiwa Rais Mambo ntakayotekeleza nikiwa Rais wa Tanzania kwenye video nimeelezea kwa undani Viwanda vya...
  3. PreGE2025 CCM imsimamishe ndugu Masanja Kadogosa kugombea urais mwakani (2025)

    Imefika wakati kama taifa tuchague watu wenye maono ambao wanaweza kutumia rasilimali za nchi yetu kuijenga nchi yetu. Hakuna sababu yoyote ya msingi inayozuia Tanzania kuwa kwenye orodha ya nchi tajiri duniani. Kinacho kosekana kwetu ni viongozi wenye maono na wazalendo. Baada ya kumchunguza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…