kufutwa kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Mkasa wa Eastleigh wageuka jukwaa la Mosiria kung’ara baada ya kufutwa kazi na Gavana Sakaja wa Nairobi

    Tukio la kuporomoka kwa jengo lililokuwa likijengwa katika mtaa wa Eastleigh, Nairobi, limeibua mjadala mwingine baada ya aliyekuwa Afisa Mkuu wa Ushirikishwaji wa Umma, Ushirikishwaji wa Wananchi na Huduma kwa Wateja katika Kaunti ya Nairobi, Geoffrey Mosiria kufika eneo la mkasa na kupokelewa...
  2. Wataleban 280 toka Vikosi vya Usalama wafutwa kazi kwa kushindwa kufuga ndevu

    Wakuu wa Taleban huko Afganistan wamewafuta kazi wanausalama wao 280 ambao wamebainika kushindwa kufuga ndevu. Mkurugenzi toka idara ya mipango na sheria Bw. Mohibullah Mokhlis amesema katika ukaguzi wao wamefanikiwa kuharibu vifaa vya music vipatavyo 21,328 pamoja na kuwabaini askari 281 ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…