kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni ubandidu/ roho mbaya gani umeshawahi kufanya kwenye mishe zako za kutengeneza mijihela?

    Kuna jamaa yangu kwao walikuwa na Mandolin, sasa dingi yake alikuwa akiipaki jirani na mortuary ili isafirishe miili ya marrhemu. Jamaa alivyomaliza tu form four, dingi akamrithisha kazi. Jamaa wakikodi, boss a.k.a mfiwa mtoa pesa za kukodi gari huwa anakaa mbele. Mimi huku nyuma nawatoza nauli...
  2. Kama hauna uzoefu wa kufanya meditation zaidi ya miaka 20

    Umejifundisha tu huna hilo zoezi uzoefu nalo acha kujifanya unafundisha watu🤔 Chini ya miaka 20 nnje na meditation wewe ni kilaza tu kuwa mwalimu mzuri wa meditation, ndio maana bado mnao wafundisha hawajui chochote kuhusu meditation. Wanakurupuka tu.
  3. M

    Naomba kuuliza hivi kazi gani anaweza kufanya mwanafunzi wa chuo kikuu kubla ya kumaliza chuo yaani yupo mwaka wa mwisho

    Naomba nijue maana natamni sana nipate kazi lakin sijaona kaz gan naweza kufanya kww mwanachuo kikuu mwaka wa mwisho anae soma
  4. Magaidi wa Hamas waendelea kufanyaia Ugaidi kwenye maeneo ya Hospitali ya Al-Ma’amadani

    IDF ilifichua matokeo ya kijasusi yanayoonyesha kwamba Hamas imebadilisha sehemu ya Hospitali ya Al-Ahli Arab (Hospitali ya Al-Ma’amadani), katika kitongoji cha Zeitoun cha Jiji la Gaza, kuwa kituo salama cha mahojiano na mateso kinachotumika dhidi ya wakazi wa Gaza. Hamas na Palestina Islamic...
  5. Hatimaye waarabu huko Lebanon waamua nchi yao kufanya mahusiano na nchi ya Israel!!

    https://t.me/hnaftali/24861
  6. F

    Uelekeo sahihi ni kuongeza kuzaana, ujerumani kufikia 2045 itakuwa Haina vijana wa kufanya uzalishaji

    Imeripotiwa kuwa, mwaka 2025 Nchi ya ujerumani ilikuwa na vijana milioni 83. Kutokana na uwepo wa idadi ndogo ya vijana walio tayari kuzaa watoto, nchi Yao imegoma kukua, Imeripotiwa kuwa kufikia mwaka 2045, idadi ya vijana itakuwa milioni 81 pekee, Sasa hiyo ni miaka ishirini mbele ambapo...
  7. Zama zimebadilika. Hiki ni kipindi ambacho unatakiwa kufanya chochote halali ili usurvive!

    Kuna kauli ambayo vijana wengi tunapaswa kuifikiria upya: "Sio lazima wote tuwe wajasiriamali." Ni kweli, si lazima kila mtu awe mjasiriamali. Lakini katika mazingira ya sasa, ni muhimu kila mtu ajifunze namna ya kujitengenezea fursa za kipato. Zama zimebadilika. Gharama za maisha...
  8. Rais Samia Suluhu Hassan kufanya Ziara ya Siku 3 jijini Arusha

    Arusha hii si ya kukosa Kipenzi cha Waranzania Rais Samia Kufanya Ziara ya Kikazi ya Siku Tatu Mkoani Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani Arusha kuanzia Novemba 19 hadi 21, 2026. Akizungumza...
  9. Kufanya mazoezi ni jambo la muhimu sana

    Mazoezi yana faida nyingi sana kimwili na kiakili Piga push-up, kimbia mchakamchaka, Cheza mpira , basketball , volleyball, Ruka kamba, Endesha baiskel, Tembea kwa umbali mrefu, kufanya hivyo utaimarisha kinga ya mwili, UtaKuwa na pumzi ya kutosha, Utaepuka magonjwa nyemelezi, UtaKuwa na...
  10. F

    Ikibainika nchi A, imetuma watu wake nchi B kufanya vitendo kinyume na Sheria, Nini hutokea?

    Yani Kwa mfano, nchi A ina wakosoaji waliokimbilia nchi B na kupewa hifadhi, Nchi A ikituma "watu wake" wakafanya operation Kwa siri nchi B kinyume na Sheria za nchi husika kama ubakaji, ufiraji, mauaji nk nk ,na baada ya uchunguzi ikabainika nchi A imehusika, Swali . Hatua zipi huchukuliwa...
  11. M

    Dar: Maafisa wa Bodi ya Filamu wapita baadhi ya maeneo kufanya msako kwenye Library Bubu kwa wanauza kazi za wasanii bila vibali

    Timu ya maafisa kutoka Bodi ya Filamu ilipita baadhi ya maeneo Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kufanya msako mkali kwenye Library Bubu na kwa wale wote wanajishughulisha kwenye kuuza kazi za wasanii bila vibali ambapo kadhaa wamewajibishwa
  12. Mbinu ya Kufanya Mtu Aongee Bila Kuchoka: Siri ya "Kuvuta Neno" Kwenye Maongezi

    Habari zenu wadau wa JF. Umeshawahi kukutana na mtu mkakaa dakika tano tu halafu stori zinaisha, mnaanza kuangaliana kama mpo kwenye daladala la Mbagala? Au unataka kumtoa mtu maneno mdomoni bila yeye kuhisi unamchimba? Kuna mbinu moja nzuri sana ya kisaikolojia inaitwa Kuvuta Neno...
  13. NSSF namna ya kufanya madai kwa njia ya mtandao

    Kwa wale wenzangu na mimi tuliopoteza kazi lakini tuna chochote kitu . Tupite kwe wakuuu tuokote chochote kitu bila kuchoka Utaratibu ndio huo hapo chini Nikitoa nitarudi na mrejesho maaana ni week ya pili sasa napambana na mwajili wa mwisho afanye jambo
  14. E

    Mbeki aunga mkono Ramaphosa kujiuzulu baada ya ANC kufanya vibaya uchaguzi

    Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki, amesema Rais wa sasa wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa, anapaswa kuwajibika kwa matokeo mabaya ya Chama cha African National Congress (ANC) katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2026, akieleza kuwa kujiuzulu kungekuwa hatua sahihi. Soma zaidi...
  15. M

    Kuna ukweli Mapusha, majambazi, Majangili, n.k. wanabagua makabila ya watu wa kufanya nao kazi pamoja ?

    Katika maisha ya uhalifu kuna levels na kadri levels zinavyozidi kuwa kubwa, hatari ni kubwa. Kuna ukweli Mapusha, majambazi, Majangili, n.k. wanabagua makabila ya watu wa kufanya nao kazi pamoja ?
  16. Namna ya kufanya kukabiliana na joto kali la El nino.

    Joto ni kali sasa kuliko tulivyozoea. Athali za joto la jua kali mwilini: 1. mwili Kupoteza maji mengi kwa njia ya jasho: Hii ni mbaya kwasabu mafigo yatapitisha maji kidogo sana kuliko kawaida, hivyo kupata mkojo kidogo sana. hali hii inayaponza mafigo kuharibika kirahisi. 2. damu kuwa nzito...
  17. Je, umewahi kufikiria kwamba unaweza kujenga biashara kwa kufanya kazi ambayo watu wengi hawana muda, vifaa au utaalamu wa kuifanya wenyewe?

    J Kila siku, nyumba, ofisi, maduka, hoteli, shule na majengo mbalimbali yanahitaji kusafishwa. Baadhi ya wamiliki wanafanya usafi wenyewe, lakini wengine wanahitaji watu au kampuni zinazoweza kutoa huduma hiyo kwa malipo. Hapa ndipo inapopatikana fursa ya biashara ya Cleaning Services, yaani...
  18. Kwa uonevu alioufanya kwa sasa ataishia kufanya mikutano ya ndani tu. Kwa hofu

    Ndo hivo kwa sasa ni mwendo wa ukumbini tu na viwanjani baasi.
  19. Dorothy Semu (ACT Wazalendo): Shilingi Trilioni 51.92 za Mkopo wa Serikali zimetumika kufanya nini?

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ameihoji Serikali ya awamu ya Sita chini Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu matumizi ya mikopo ya Trilioni 51.92 zilizokopwa ndani ya miaka mitano ya utawala wake. Akizungumza katika Mkutano wa Hadhara katika Jimbo la Kigoma Kaskazini Kata ya Nyarubanda, ambapo...
  20. Lema: Tunakwamishwa na Wanaharakti walioko mbali na nchi. Tunashindwa kufanya Strategic Engagement

    Katika Press inayoendelea ya Bwana GODBLESS LEMA sasa hivi https://www.youtube.com/watch?v=FY5m3_OEpqQ Amesikika akisema kwamba:Watu wanaozea Jela kwa sababu Wanaharakati wamekiteka Chama na Wanasema Hakuna kuzungumza nao hata watu wanapokuwa JELA ilhali hao wanaharakati wenyewe hawapo Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…