kuanza

The Cuanza Norte Province (Umbundu: Konano Kwanza Volupale) is province of Angola. N'dalatando is the capital and the province has an area of 24,110 km² and a population of 443,386. Manuel Pedro Pacavira was born here and is a former provincial governor. The 1,400 meter long Capanda Dam is located in this province. Cuanza Norte lies on the northern bank of the Cuanza River. It had been a territory of Ngola Kingdom. In 1914, Norton de Matos created District of Cuanza which was divided into Cuanza Norte and Cuanza Sul Provinces in 1917.

It was badly affected during the Angolan Civil War. It has many mines left over from the Civil War and contracts to clear them were given to several organisations. During the civil war, the insurgents made the province part of the central zone. On 5 April 2001, National Union for the Total Independence of Angola members attacked Samba Caju and killed 120 FAA members. The province's military commander, General Recordacao was also killed in the attack.The most spoken languages are Kimbundu. Mbundu people inhabit the province. Sugarcane and coffee are the most important agricultural crops. Their production is favoured by the tropical humid climate of the province.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Ushawahi kuachana na mpenzi wako kwasababu ya kushindana kisirisiri “Nani atakaa muda mrefu bila ya kuanza kumtafuta mwenzie”?

    Habarini, Kuna trend ipo sahivi kwenye baadhi ya mahusiano mengi tu, unakuta we na mchumba wako hamjagombana, wala hamna aliemkwaza mwenzie. Ila kuna yale mawazo flani yanawapata wote wawili pale kila mmoja anapotaka kumtafuta mwenzake kumjulia hali kupitia meseji au phone call. Unakuta mdada...
  2. M

    Tuliopata vijisenti au kuanza kuonekana tumepiga hatua, tuweke mikasa yetu hapa jinsi ndugu, marafiki na jamaa walivyochoma pesa zetu.

    Hasa wale tuliotokea familia za kawaida na za chini, Umehaso kupata pesa, umeombwa pesa na unaitoa ukidhani inaenda kumnyanyua mwengine kumbe inaenda kuchomwa kwenye starehe, ulimbukeni, michezo, n.k. Nilipofika miaka 26 kuna upepo fulani hivi wa neema ulinipitia, nikajikuta nimevuta kagari...
  3. Kadogosa aipongeza TBA kwa kuanza ujenzi wa makazi kaloleni, asema "ianze kufanya biashara"

    Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, ameupongeza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kwa kuanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa makazi ya watumishi wa umma katika eneo la Kaloleni, jijini Arusha, akieleza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kuongeza upatikanaji wa makazi bora na kuimarisha uwekezaji...
  4. C

    Isarel: Netanyahu, Eisenkot kuanza mazungumzo ya kuunda serikali mpya

    Vyama vya Waziri Mkuu wa mpito wa Israel, Benjamin Netanyahu, na mpinzani wake, Gadi Eisenkot, vinatarajiwa kufanya mazungumzo mapya leo, Novemba 22, 2026, mjini Tel Aviv, kujadili uwezekano wa kuunda serikali ya muungano baada ya uchaguzi wa Oktoba kushindwa kumpa upande wowote wingi wa viti...
  5. DOKEZO Je, Agizo la shule zote kuanza likizo tarehe 13 Novemba 2026, halihusu baadhi ya shule?

    Mwanangu anasoma shule inayotumia mtaala wa Cambridge. Wanaendelea kusoma hadi Desemba 04. Je, Elnino ikileta mafuriko, shule hizi hazitopata athari pamoja kwa wanafunzi wake? Wizara ya Elimu tunaomba ufafanuzi wa waraka unaoagiza shule kufungwa 13 Nove unahusu shule zipi?
  6. Rafiki yangu alipopata fedha aliwekeza kwenye ngono, guest house ya vyumba 10 alifanya full booking na kuanza ziara chumba cha kwanza hadi cha mwisho

    Rafiki yangu aliyejiita lambalamba alipopata fedha aliwekeza kwenye ngono, guest house ya vyumba 10 alifanya full booking na kuanza ziara chumba cha kwanza hadi cha mwisho Nimewahi kuwa na rafiki mshenzi kuliko wote ingawa sikufahamu mapema hadi siku aliponionesha video akiwa anatumbuiza...
  7. John Pambalu mbele ya mahakama kuanza kuvuna matokeo ya ubishi na ujuaji usio na tija

    Na. Dr Zack✍️ Haya mambo yanaumiza sana, imagine ndugu yako anafanya vitu vya hovyo unamshauri lakini hasikii eti kisa kutafuta umaarufu wa kisiasa. Ukiwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na ukakosa busara unaweza kufikiria wewe uko juu ya sheria, shujaa na mtu asiyegusika hata...
  8. Zipi sababu zinazozuia gari za Masoud Kipanya kuanza kutumika

    Masoud Kipanya alitangazia dunia kuwa anaunda gari za umeme Mamlaka zinazohusika zilipata taarifa na zikaanza mchakato wa kufuatilia uundaji wake ikiwepo kupima ubora Ni zaidi ya miaka 2 imepita hakuna taarifa zozote zinazohusiana na maendeleo ya uundaji wa gari hizo na hakuna tamko lolote...
  9. Kabla ya kuanza kufuga,je unajua pa kumpata daktari wa mifugo?

    Wana JF Watu wengi wanapoamua kuanza ufugaji, huanza kwa kutafuta eneo, kujenga mabanda, kununua mifugo na kuandaa chakula. Lakini mara nyingi husahau kujiuliza swali muhimu: Mifugo yangu ikiugua, nitapata wapi msaada wa daktari wa mifugo? Ufugaji una changamoto nyingi za kiafya. Kuku wanaweza...
  10. Elimu ya HISA: Mwongozo wa kuanza kuwekeza katika soko la hisa la Dar es Salaam

    1. UTANGULIZI Elimu ya fedha ni nyenzo muhimu katika kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kuhusu akiba na uwekezaji. Miongoni mwa fursa zinazopatikana katika masoko ya mitaji ni uwekezaji katika hisa, ambao humwezesha mtu kumiliki sehemu ya kampuni na kushiriki katika matokeo ya biashara...
  11. KERO Serikali ilipe hela za likizo kwa wakati kuwezesha watumishi wakati wa likizo

    Serikali tunaomba ihakikishe Watumishi wa umma tunalipwa fedha zetu za likizo kabla ya kuanza likizo, ili kutuwezesha kusafiri kwenda nyumbani na kutumia likizo zetu kwa utulivu. Hatua hii itawasaidia watumishi kukidhi gharama za usafiri na mahitaji mengine muhimu tunapojiandaa kwenda kuungana...
  12. Q

    CHADEMA yatoa wito kwa Watanzania kuanza migomo Jumatatu kumuunga mkono Mwenyekiti wao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa wito kwa watanzania kufanya migomo mbalimbali ili kuunga mkono mgomo wa kula unaotarajiwa kufanywa na Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu, kuanzia Jumatatu ya Oktoba 26, 2026.
  13. T

    Mbeya hali ni tete baada ya kuanza utekelezaji wa agizo la mkuu wa mkoa

    Nimeona mitandaoni na nikajaribu kuwapigia jamaa zangu waliopo mbeya ni kwamba kuna taharuki kubwa na kuna maandamano na migomo inafukuta kwa nguvu sana chini kwa chini kufuatia agizo la mkuu wa mkoa kuhusu hamisha hamisha ya machinga bajaji na bodaboda hasa maeneo ya mwanjelwa.
  14. C

    Rukwa kuanza kuiuzia umeme Zambia

    Tanzania inatarajia kuimarisha biashara ya umeme katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika, huku Mkoa wa Rukwa ukitarajiwa kuwa miongoni mwa maeneo yatakayochochea mabadiliko hayo baada ya kukamilika kwa Kituo cha Kupoza na Kusambaza Umeme cha Malangali. Makamu wa Rais wa Jamhuri...
  15. Unataka kuanza biashara ya vifaa vya simu? Usikimbilie kununua mzigo kabla ya kujua haya!

    Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya vifaa vya simu wakiamini kuwa kununua chaja, earphones, cover na screen protector kwa bei ya jumla kisha kuuza kwa faida kunatosha. Lakini ukweli ni kwamba biashara hii inahitaji zaidi ya kuwa na bidhaa dukani! Fikiria umefungua duka la vifaa vya simu...
  16. Leo Nchi Ya motooo,CAG Prof Assad,Kule Kabudi,Pembeni Leseni za Walimu Kuanza kutumika,Mara Mafuta yamepanda bei.Kipi kingine

    Hebu tuambie kipi kimekustua leo Tz
  17. M

    Tetesi: Chivayo, aliewahi kufungwa jela kwa utapeli na forgery kakimbia na vibubu kabla ya marejesho, kafoji ajali kuanza maisha mapya ughaibuni

    Baada ya kuangalia video hii nimejiuliza maswai mengi Kila mtu anasema kwa mwili ule hakika ni yeye, nguo alizojirekodi akiwa kenye helikopta zinafanana WHAT IF hata ile video iliyoanza kusambazwa haraka mara baada ya taarifa kuna mtaalam wa kupoteza watu alipewa bilioni 1 kuondoa viulizo...
  18. Hivi, nini huwa kinatakiwa kuanza kati ya hivi ukiamka asubuhi?

    Mdau Je, wewe huwa unaanza na kipi kati ya hivi ukiamka asubuhi?
  19. M

    Mwanzoni akiwa RC niliamini yuko smart ila baada ya kupandishwa cheo na kuanza kufunga wanawake waliomtongoza na sasa hili boko ! 🤯🤯

    Labda kweli cheo kikubwa hakibadilishi akili ya mtu, kinachofanya ni kumfichua anavyofikiri na kufanya maamuzi kwa uhuru. Mwanzoni nilikuwa nikimuona kama mtu smart sana alipokuwa RC Tabora. Hasa namna alivyoshughulikia kesi ya kumkamata tapeli aliyekuwa akiwadhulumu viongozi ilimpa credit...
  20. O

    Shirikisho la Soka Kenya (FKF) yaahirisha tena kuanza kwa Ligi kuu

    Shirikisho la Soka Kenya (FKF) limeahirisha tena kuanza kwa msimu wa 2026/27 wa FKF Premier League, ambao ulikuwa uanze leo Jumamosi, Septemba 19, 2026. FKF iliwasilisha taarifa kwa wenyeviti na maafisa wakuu wa vilabu Ijumaa usiku, ikisema ligi imesitishwa hadi taarifa zaidi itakapotolewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…