kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Apartment ya kisasa inauzwa – upanga!

    🏡 Ina vyumba 3 vya kulala, sebule kubwa, jiko la kisasa, swimming pool, gym, lift, generator na ulinzi wa saa 24. 💰 Bei: TSh 440,550,000 📞 Piga simu/WhatsApp: 0784 225 000 KITOMAI PROPERTIES – Your Trusted Real Estate Partner. #NyumbaInauzwa #Upanga #DarEsSalaam #ApartmentForSale...
  2. Siasa na dini ni ukichaa wa kisasa

    Mtu aliyelevya dini na siasa (Nina maana dini yoyote au chama chochote mtu huyo lazima awe mwenye mitazamo hasi kwenye jamii ,sisi waafrika inabid turud kwenye asili tu,inatubid tuanze kujua tulikuja hapa dunian kushirikiana kufanya shughuli za ufugaj na kilimo kufurah pmja kunywa pamoja kuwa na...
  3. Anaye fahamu walipo jamaa wenye mashine za kukunja plate kwaajili ya kutengeneza milango ya kisasa ya chuma.

    Habari wana jf, Kama title inavyojieleza hapo juu. kiufupi nimefungua ofisi ya kuchomelea , sasa nimeona design nzuri ya milango ya kisasa nikataka nianze kuiunda ndipo nikagundua naitaji machine ya kukunja na kuweka urembo kwenye chuma. Kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu uwepo wa hao jamaa...
  4. Vibanda vya kisasa vya biashara

    Kwa mahitaji ya vibanda vya kisasa. Tunatumia mbao ngumu na bodi ngumu. Finishing ya film stickers na PVC panels.n.k tupe oda boss tukutengenezee lako. Vibanda vya juice. Vibanda vya wakala. Vibanda vya migahawa. Vibanda vya walinzi. Vibanda vya ofisi ndani ya magodauni ya viwandani. Boss...
  5. Shelves za kisasa za madukani

    shelves za madukani. maduka ya simu,vipodozi,vifaa vya umeme, supermarkets. duka la dawa. tupe oda boss tuje kutengeneza shelves za duka lako. tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kazi. 0692477610
  6. Mashabiki zangu wa mziki mzuri wa kisasa, gets ready here we goooooooo

    Bhaaashhhhh wamekwishaaaaa, mambo ni haya✌️bhaassshhh wamekwishaaaa
  7. B

    Tunauza TV bora na za kisasa

    PENDEZESHA SEBULE LAKO NA TV KALII BEI MPYA ZA TV HISENSE, TCL SMART ZOTE NI MPYA NA WARRANTY 1YR HISENSE TV 32 L.ED....350,000 32 SMART...400,000 43 LED...550,000/- 43 SMART A4....600,000 43 SMART 4K....750,000 50 SMART A4.....800,000 50 SMART 4K...950,000 55 SMART 4K....1,000,000...
  8. Ukitaka Gari lenye muonekano wa Kisasa, Mafuta Kidogo, Service Kidogo, Reliable Basi Chukua Nissan Note E13 (e-Power)!

    Tuachane na Hybrids za Prius, Fit, nk. Ukitaka stress free, kagari flani ka misele ya mjini, basi ishi humu. Ni Nissan Note ya kuanzia mwaka 2021/22. Najua uzuri ni subjective, kila mtu ana vigezo vyake, ila at least tutumie neno muonekano wa Kisasa. Kwanini nasema reliable? Ukifananisha...
  9. NINATENGENEZA 1. CV International standard (ATS Friendly) - Zinazopita roboti za kisasa zikiwa scanned Bei: 15,000 TZS pekee | Lipa baada ya kupokea

    NINATENGENEZA 1. CV International standard (ATS Friendly) - Zinazopita roboti za kisasa zikiwa scanned Bei: 15,000 TZS pekee | Lipa baada ya kupokea kazi yako 2. Project Proposal & Grant Writing - Andiko la kuomba ufadhili wa miradi (Yatima, Kilimo, uwekezaji n.k) - Bei ya makubaliano...
  10. Mfumo wa kisasa wa

    Marekani: Kikosi cha 1 cha Jeshi la Wapanda Farasi kimeanza kupokea magari ya mapigano ya M2A4E1 Bradley yenye Iron Fist, mfumo hai wa ulinzi uliotengenezwa na Mifumo ya Elbit ya Israeli. Magari hayo yanapelekwa Fort Hood, Texas, kulingana na CTech. Elbit anasema mfumo huo umeundwa kuzuia...
  11. Vivuli vya Mpakani: Mkasa wa Marubani, Usaliti wa NATO, na Jinsi Matukio ya 2015 Yanavyosahaulika Kwenye Siasa za Kisasa.

    Baada ya ndege ya kivita ya Urusi aina ya Su-24 kuangushwa na Uturuki tarehe 24.11.2015 Urusi ilipatwa na wasiwasi kuhusu marubani wake wawili ambao walifanikiwa kuruka kutoka ndani ya ndege yao wakiwa hai muda mfupi baada ya ndege ya kivita ya Uturuki aina ya F-16 kuishambulia ndege yao...
  12. Drones ndiyo silaha kuu ya vita vya kisasa?

    Kwenye vita ya pili ya dunia, mizinga ndiyo silaha iliyoua watu wengi kuliko silaha yoyote. Kwenye vita ya Ukraine na Russia asilimia 70-80 ya vifo na majeruhi yanatokana drones, tena zile drone ndogo ndogo za kuwinda watu zinazoitwa FPV(First Person View). Mwaka huu pekee Ukraine wanatarajia...
  13. Rais Samia ametoa Boti za Kisasa za Uokoaji na Kuzima Moto huko Ziwa Nyasa

    Boti hiyo yenye injini mbili zenye nguvu ya jumla ya HP 500 na uwezo wa kubeba abiria 12, itaongeza uwezo wa mamlaka kukabiliana na dharura Ziwa Nyasa, kuokoa maisha na kuimarisha usalama wa wasafiri pamoja na shughuli za usafiri majini.
  14. M

    Kwanini NHC haivunji vighorofa vya kale vya Upanga (kuanzia Fire hadi Selander) ili kujenga majengo marefu ya kisasa?

    Habari za majukumu Wakuu wa jukwaa hili, Leo ningependa tuguse eneo linalohusu mipango miji, makazi, na uwekezaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) hapa jijini Dar es Salaam. Kama umetumia Barabara ya Morogoro au maeneo ya Upanga, kuanzia makao makuu ya Zimamoto (Fire), kuelekea Upanga...
  15. Hivi wangwana, mtu wa aina na tabia kama hizi anaweza kupewa jina gani zuri katika medani ya siasa za kisasa hususani hapa Tanzania?

    Maana kwake yeye kila mtu alie na maoni au mtazamo tofauti na wakwake basi huyo hajui kitu, lakini pia kila mtu anaefanya majukumu yake vema tu, ila tofauti na apendavyo yeye huyo mtu, eti hawezi kitu, hawezi kazi, na kila mtu alie kinyume nae, hafai ila yeye tu. Mathalani, Ikiwa ni Rais, yeye...
  16. Kada wa CCM: Serikali imejenga mochwari ya kisasa yenye vyoo, sio kawaida

    Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii. Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida...
  17. M

    Chalamila: Kwa sasa vifaa vya usafi vinavyotumika ni vya kawaida, tumejipa miezi mitatu, wakandarasi watafute vifaa vya kisasa, usafi kufanyika Usiku

    Katika hili tunao wakandarasi, wakandarasi ambao wanafanya kazi ya uondoshaji wa takataka kwenye points mbalimbali. Lakini tunakiri pia kwamba teknolojia pia inayotumika ni teknolojia pia kawaida sana. Mifagio, unaweza ukafagia ama usifagie. Kwa hiyo teknolojia hii bado iko ndogo. Sasa...
  18. T

    Uchumi wa kisasa/Diversified Economy

    Hivi kikwazo ni nini kulaza bomba ya gesi na mafuta Dsm kwenda Mza then Uganda, Rwanda na Burundi, kwa nini wengine wanaweza..? Halafu ipo mamlaka ya uwekezaji/TISEZA ukiangalia orodha ya miradi wanayoita ya kimkakati, aina ya mradi km huu haupo..TPDC wako busy kutafuta mafuta wembere.. Halafu...
  19. Juzi ijumaa uchambuzi wa mradi mkubwa wa reli ya kisasa kwenye gazeti la uhuru

    📌KUTOKA KUIKUTA IKIJENGWA VIPANDE VIWILI, LEO CHINI YA RAIS SAMIA SGR VIPANDE VYOTE 6 VINAJENGWA NA WANANCHI WAMEANZA KUPATA HUDUMA. Na Bwanku M Bwanku. Juzi Ijumaa Septemba 11, 2026 kwenye Gazeti namba moja kwa ukongwe Tanzania, Gazeti la Uhuru ukurasa wa 14 kuna makala ya Ndugu Bwanku M...
  20. X

    Kariakoo inatufundisha somo moja: Bila Mchina bidhaa nyingi za kisasa zingekuwa za wachache

    Ukitaka kujua mchango wa China kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida, usianzie Beijing, anzia Kariakoo Leo mtu mwenye budget ya kawaida anaweza kuingia dukani na kutoka na bidhaa ambayo miaka kadhaa iliyopita angeiona kama luxury 1. FRIDGE Samsung/LG zikiwa na features za kisasa zinaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…