Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepongeza hatua zinazopigwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi (UN-Habitat) katika kuanzisha Jukwaa la Maarifa kuhusu Makazi (Housing Knowledge Platform), ikieleza kuwa jukwaa hilo litakuwa nyenzo muhimu katika kuimarisha ubadilishanaji wa maarifa, matumizi...
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, kupitia ofisi yake ya Afrika, limetoa wito wa kutaka haki kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania, Humphrey Polepole, aliyeripotiwa kutoweka Oktoba 6, 2025, huku likiingiza suala lake katika kampeni ya kimataifa ya #Write4Rights...
afrika
amnesty
amnesty international
balozi
binadamu
haki
haki za binadamu
humphrey
humphrey polepole
international
kimataifa
kupitia
kutaka
kutetea
ofisi
polepole
shirika
upya
wito
Mhe. Rais Dkt. Samia awasili Jijini Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki kwenye Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026)
Inazinduliwa mnamo Desemba 19, 2026. Legasiw inajionyesha kama mfumo ikolojia wa mitandao ya kijamii ulioundwa kusherehekea utamaduni wa wazao wa Weusi na Waafrika, bila udhibiti wa algoriti, pamoja na uchumaji wa mapato wa waundaji kutoka siku ya kwanza na hali ya ulinzi hasa kwa vijana.
1...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, anamwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa Saba wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania (TMIC 2026). Mkutano huo unafanyika kuanzia tarehe 19 hadi 21 Novemba 2026...
Mahakama Kuu imewapatia hatia ya dharau ya mahakama Waziri wa Hazina, John Mbadi, pamoja na Mwanasheria Mkuu, Dorcas Oduor, kufuatia kushindwa kutekeleza amri ya kufichua mikataba ya sovereign bonds na matumizi ya fedha zilizopatikana kupitia mikopo hiyo.
Jaji Patricia Nyaundi alitoa uamuzi huo...
Elimu ya Kenya inazidi kung’ara ulimwenguni baada ya mwalimu Samuel Ojode Oluoch kutoka Shule ya Upili ya St. Gabriel Gagra iliyoko Rarieda, Kaunti ya Siaya, kuibuka miongoni mwa waliofuzu fainali katika Tuzo za Elimu za GESS za 2026 zilizofanyika jijini Dubai.
Katika dunia ambapo mfumo wa...
Jina Terrorist linatokana na neno Terror, ambalo maana yake ni tishio. Na kutokana na neno hili unapata maneno mengine kama TERRORISE (Kutishia) TERRORISM (utishaji)na TERRORIST (mtishaji). Mtishaji (terrorist) anaweza kuwa mtu binafsi, taasisi, kikundi, chama au hata Serikali. Silaha kubwa...
Safari ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuelekea Antalya nchini Uturuki, kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), ni sehemu ya juhudi za Tanzania kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kutafuta fursa zinazoweza...
Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao.
Kamanda wa...
Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao.
Kamanda wa...
Mara ooooh Commonwealth sijui wametoa siku ngapi sijui mtu aachiwe huru. ILA HAKUNA KITU CHOCHOTE MTU KALA MVUA NNE VIZURI TU TENA MCHANA KWEUPE.
Mara oooooh Bunge la Ulaya sijui limeketi kujadili mwenendo wa kesi ya mchongo na limetoa tamko zito. ILA HAMNA LOLOTE MTU KACHEZEA MVUA VIZURI...
KIGOMA
Kamati ya Pamoja ya Wataalamu (JTC) kati ya Tanzania na Burundi imekutana kujadili na kukamilisha maandalizi ya kuanza utekelezaji wa zoezi la Uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo mbili katika eneo la mto Malagarasi Wilaya Kasulu mkoani Kigoma.
Kikao hicho kimefanyika...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Nawasalimu wote kutoka hapa Dar es Salaam, kitovu cha mikakati na fikra mpya za soka.
Kama mdau na mfuatiliaji wa karibu wa soka la kimataifa, leo nakuja mbele yenu na wazo jipya la kimkakati linalolenga kubadilisha sura ya mchezo wetu pendwa duniani.
Sote...
Jamaa amechambua siasa za marekani na uchaguzi wa Isreal na Marekani mwaka kabla ya uchaguzi.
Yale yale alioyachambua ndio yametokea.
Jamaa yupo vizuri sana kichwani
Wafanyabiashara na wajasiriamali wa Kitanzania wanatarajiwa kunufaika na biashara na malipo ya kimataifa kutoka mataifa zaidi ya 200 yenye uwezo wa fedha za kigeni zaidi ya 25 hatua ambayo inafungua fursa za biashara kimataifa .
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa...
Salaam Wakuu,
Naomba kuuliza, Sheria za kimataifa za matibabu ya wafungwa, Nelson Mandela Rules, Rule 70, zinatoa haki kwa mfungwa, Mahabusu kuweza kuruhusiwa kwenda, akiwa chini ya ulinzi au peke yake, kumwona ndugu wa karibu aliye katika hali mbaya sana au kuhudhuria mazishi ya ndugu wa...