Siku za hivi karibuni katika kijiji cha Kizito mtaa wa Hakibebeki kulitokea jambo la ajabu sana ambapo kijana mmoja aitwae Kifo alisababisha kustopisha shughuli za watu wote na majirani wakaribu wa kijiji cha Kizito mtaa wa Hakibebeki.
Hii imetokea baada ya tajiri mmoja aitwae Nduli kumtuma...