kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. Tunaenda kufunga mwaka mods tulieni kidogo

    Mwanamke ambae amenipa right challenge kwa mwaka huu, ni Lamomy , sio challenge tu huyo mwamba kanionyesha njia mimi kama mwanaume kamili . Hivyo kwa mwaka huu huyo ndio malkia wangu wangu wa nguvu jf na kwenye maisha ya kuwajua wanawake ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿฅฐ
  2. Tumsikilize kidogo Mzalendo huyu

  3. tujadili na hili kidogo elimu weka pembeni twende na hisia

    wanaume mfano una mademu wa 2 mmoja mrembo sana mwenye mvuto wa kimwili ana ushawishi sana kihisia yaan akiwa naked una enjoy na kusifu uumbaji wa Mungu ni mkuu na ata ukitoka nae watu wana mkodolea macho yaani upo proud kumtambulisha kwa watu na rafiki zako lakini hana akili ya maisha wa...
  4. Wameamua kwenda kupiga story kidogo lakini hakuna jipya.....

    Iran (hormz)na ukraine (Donbas )ajenda kuu. Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amewasili mjini Shenzhen usiku wa kuamkia leo, majira ya saa 2:00 asubuhi kwa saa za huko (18:00 GMT), kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali ya China. Putin alipokelewa na Cai Qi, ambaye ni mwanachama wa tano kwa...
  5. TNA: Onyo tetemeko la burudani, itayoambatana na kijimvua kidogo cha Elnino isiyo umiza, kuitikisa Tanzania Ijumaa hii

    Ijumaaa hii, tar 20 nov 2026, saa 11 alfajiri, Hakikisha una akiba ya bando la kutoushaaaa ndani, hakuna kutoka mzeer, ๐Ÿ›Œ๐Ÿ›Œ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ mzuka sana hallo ooo, lile saniii la kimataifa๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kwa stageeeeeeeeeeeeeeeeee its ZACHARIANO ALEXIDO jr๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Nb, huyu ni mbongo, mwenye DNA ya tanzania na...
  6. Moderators hongereni kwa kazi, mnafanya Kazi usku na mchana. Nashauri tuwe tunalipia post ili mpate posho kidogo.

    Tunaomba tuendelee kutanguliza upendo na uzalendo kwa Taifa letu la Tanzania, endeleeni kufuta post zote ambazo hazizingatii maadili na miiko ya Taifa letu. Jambo la mwisho napendekeza tuwe tunalipia post walau elfu 5 kwa post ili moderators mpate posho kidogo. Hii italiheshimisha jukwaa letu...
  7. Mahakama ingejificha kidogo kwenye kesi za kisiasa

    Kwa kuwa viongozi wa CCM wamekuwa wakitamka wazi kwamba vyombo vya dola ni mali yao na wanavitumia vyombo vya dola kubaki madarakani na kwa kuwa hakuna wasemaji waliokanusha kauli zinazotolewa na Wana CCM ni dhahiri kwamba lugha hizi ni za ukweli. Lakini pamoja na mambo ya namna hii kujitokeza...
  8. M

    Naomba support yenu kidogo โ€“ Nimekuwa nikitengeneza platform ya kidigitali, nahitaji watu wa kuijaribu na kunipa maoni

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa nikijifunza na kujituma kwenye masuala ya technology na software development, na katika harakati hizo nimeweza kutengeneza platform inayoitwa Taifika. Kwa sasa nimefikia hatua ambayo ningependa watu wengine zaidi ya mimi mwenyewe waijaribu, waichunguze na kunipa...
  9. Kama kipato chako kidogo na unataka kumiliki gari zingatia haya mambo 2.

    Gari ni kitu muhimu sana, ukimiliki gari kwenye hizi jamii zetu thamani yako inaongezeka. Na thamani yako ikiongezeka na pesa zitaongezeka. Pesa ni thamani na si makaratasi. Ndio maana unaweza kumlala MDADA ukampa 20k tzs na ukalala na mwingine ukampa 200k tzs. It's because of the value. CCM...
  10. R

    Tujikumbushe historia kidogo

    Mwaandaji. SOKA, HJ, 0718478250. Mahakama kuu ya Gambia imemuhukumu adhabu ya kifo mkuu wa idara ya usalama wa taifa wa zamani wa Gambi pamoja na wakurugenzi wengine wanne wa idara ya usalama wa taifa. Wote watano wamehukimwa kunyongwa hadi kufa kwa kumteka kiongozi wa chama Cha upinzani kwa...
  11. Watu wanne kwenye maisha yako kamwe hutakiwi kuwaamini hata kidogo

    WATU WANNE KWENYE MAISHA YAKO KAMWE HUTAKIWI KUWAAMINI HATA KIDOGO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Leo sina kelele sana. Nimechoka na vijana wanaonisumbua kwenye biashara. Hata hivyo haya hayawahusu. Watu ambao hutakiwi kuwaamini hata kidogo; 1. Wanasiasa. Hawa ndio vinara. Hawa aiseeh...
  12. Mnavyofanyia watu matukio muwe mnafikiria kidogo

    Kuna stori leo nataka nishee nanyi. Kuna mamdogo wangu (true stori) aliolewa na mtu mwenye hela zake. She was indeed a charming woman. Na alipo olewa ndipo alizidi ku glow, maisha yalienda vyema sana kwake. Ilikuwa familia yenye Furaha tele, Ila ndugu upande wa mwanaume walitokea...
  13. Ukitaka Gari lenye muonekano wa Kisasa, Mafuta Kidogo, Service Kidogo, Reliable Basi Chukua Nissan Note E13 (e-Power)!

    Tuachane na Hybrids za Prius, Fit, nk. Ukitaka stress free, kagari flani ka misele ya mjini, basi ishi humu. Ni Nissan Note ya kuanzia mwaka 2021/22. Najua uzuri ni subjective, kila mtu ana vigezo vyake, ila at least tutumie neno muonekano wa Kisasa. Kwanini nasema reliable? Ukifananisha...
  14. Tuzungumze kidogo ๐Ÿค’

    Je, wanaume waoaji wenye malengo ya kuanzisha familia wameisha? Je, soko la wanaume wasiochezea wanawake na kuwazalisha limekuwa gumu? Nachelea kuamini waoaji wameisha. Ingawa hakuna anayelazika kuoa, na watu wana sababu mbalimbali za kuamua kutokuoa, bado wanaume wenye malengo ya kuanzisha...
  15. Msimamo wangu kuhusu viongozi wa Chadema ni tofauti kidogo!!

    Sijuani hata na mmoja wao, hata kwa sura tu sijawahi kuwaona live. Nipo upande wao kwa sababu mara zote mimi nipo upande wa kundi linaloonewa. Huu msimamo wangu popote pale. Naumizwa sana na anayopitia Mh. Tundu Lissu gerezani. Nimekuwa nikimuombea sana. Naumizwa sana na hawa wengine...
  16. R

    Tunaomba serekali iingilie swala la malipo kwa madereva waendao congo malipo ya mileage yawe yanaanzia dola elfu moja kwani tunalipwa kiasi kidogo

    Tunaomba serekali iingilie swala la malipo kwa madereva waendao congo malipo ya mileage yawe yanaanzia dola elfu moja kwani tunalipwa kiasi kidogo
  17. Hakuna kazi ngumu kama hii kwa kijana aliyefanikiwa hata kidogo tu๐Ÿค”

    Ukishafanikiwa kimaisha hata kwa level ya kawaida tu kama kijana wa kiume , ni ngumu sana kutafuta mwenza sahihi wa maisha . Vijana wengi huishia tu kuwa watu wa usiku mmoja , kwa kuogopa kuingia mkenge na sio kwamba ni wakataa ndoa๐Ÿค” Wadada wengi siku hizi wameweka vipaumbele vyao vya pesa...
  18. M

    Kazi ninazozipenda ijapokuwa kipato chake ni kidogo sana

    1. Msoma adhana 2. Mwalim wa madrasa Hizi kazi 2 kwangu ndio zenye thamani zaidi kuliko siasa, bank, UNO, TTCL, VODA, Instructor, lecturer na nyengine nyingi. Ingawa mimi sio msoma adhana au mwalim wa madrasa lkn kazi hizi naona zinafaida kubwa hapa duniani na akhera kama utazitumikia kwa...
  19. Watu zaidi ya 30, wakiwemo Askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki Dunia katika ajali Morogoro

    Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro. Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la...
  20. Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

    Bwana nyie wakuu habari zenu, nimekutana na scennario moja very very funny japo ni serious kwa upande mwingine. Katika makujumu yangu ya hapa na pale, nika come accross mteja, ambaye mimi pasipo kukusudia nikajikuta tume exchange numbers. Ni juzi juzi tu kama wiki 2 zimepita ambapo mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ