Nimeona nyuzi nyingi za kipumbavu humu Jf , kuanzia namna ya kukaa na wanawake kwa akili, jinsi ya kufanikiwa kiuchumi na mpaka wengine kujifanya ni life coaches.
Acheni kujisumbua na uo upumbavu , ishi kwa kufuata dhamira yako , sababu ya wew kujikuta umezaliwa Africa ni ishara tosha kwamba...