Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.
Kila bajeti ya serikali, riba ya mkopo wako benki, au mpango wa ajira wa kampuni huanza na kitu kimoja: utabiri wa kiuchumi (economic forecast) wa mwaka ujao. Lakini historia ya utabiri huo inafikirisha sana:
https://youtu.be/3zWP71zyr-Q
Utafiti wa wachumi wa IMF ulibaini kuwa kati ya mdororo...
Huu uzi unatokana na observation zangu.
Tulikuwa tunaambiwa tangu tukiwa wadogo usimuamini mtu (dont trust any one trust yourself ) na mimi OMOYOGWANE nakwambia usiuamini utajiri trust yourself.
Jinsi maji yanavyoweza kuganda na kuwa barafu kisha yakayeyuka tena kuwa maji kama mwanzo na...
APEC imewakutanisha some of the most powerful men on the planet
Lakini jambo kubwa linalosubiriwa si mkutano wenyewe, bali ni the BIG agenda behind closed doors mtu 3, Xi, Putin na Trump
Ni masuala gani yatajadiliwa? Global trade, technology, geopolitics, energy, investment au reshaping of the...
Kila hatua ndogo unayochukua sasa ina matokeo makubwa baadaye, iwe ni katika elimu, kazi, fedha, au mahusiano achana na mambo ya destiny na fate
Usidharau steps zako sasa keep moving, focus
Maamuzi yako ya sasa ndio yataamua uwe wapi baada ya miaka 5,10 au 20 kwenye maisha hakuna shortcut...
Private public parteship (PPPs) ni uchumi dhaifu na sio wa kuutegemea ktk kujenga taifa letu kwa karne hii.
Muwekezaji ni sawa na mpangaji, leo yupo kesho anaondoka muda wowote, kujaribu kuutegemea uchumi wa namna hii ni kuua future ya mtanzania.
Ni sawa na mgonjwa wa Malaria aliyemeza...
Ndugu yangu,kabla hujaamua kwamba kiwanja kiko mbali, jiulize swali moja;Je, mji unaendelea kuelekea upande gani?
Kila mji una mipaka yake ya sasa, lakini ukuaji wa miji hauishii kwenye mipaka hiyo. Kadiri watu wanavyoongezeka, biashara zinavyopanuka na makazi yanavyohitajika, maeneo mapya...
Wanabodi,
Leo asubuhi hii, nilikuwa najibu kwa hasira, post ya jamaa fulani humu jf, baada ya kuniita "kibaraka" ambayo imenitia hasira sana hadi ku invoke the the voices from within!, sasa hata kabla sijamaliza kuiandika kumjibu, na kuiposti, nikiwa katikati, nikaisikia ile sauti, ya kutoka...
Kipindi cha JPM, Tundu Lissu alipigwa risasi.
Kikwete, kwa ubavu na nguvu zake, alisaidia Tundu Lissu kuvuka mipaka na kwenda kupata matibabu nje ya nchi.
JPM akazuia watu kwenda kumtembelea Tundu Lissu.
Samia akapuuza zuio hilo na kwenda kumtembelea Tundu Lissu nchini Kenya.
Ghafla, JPM...
Hii ipo kwa watu wote kuanzia wanasiasa wanamichezo wasanii wafanyabiashara pia.
Kwa mfano kwa kazi yangu hapa nilipo kwa sasa sina mpinzani ila nimeshajiandaa tayari muda wowote najua atatokea mpinzani sasa ninachopambana mm hapa ni kuboresha tu huduma yangu na kuhakikisha hata kama atakuja...
Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho. Hukumu kwa wananchi kesi ya Lissu imekuwa wazi na watanzania wengi walikuwa wanaifuatilia. Kutokana na ushahidi dhaifu ulitolewa kwa Watanzania wengi Lissu hata kosa lolote la uhaini na ameonewa kukaa ndani kwa zaidi ya...
Wakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala, hata kama mtakutana na mabomu kama ya tarehe 29/10 njooni kanisani tusali, kwa Mungu hakuna linaloshindikana.
halaa halaa kumekucha..
natarajia kusafiri kesho kuelekea Masasi... sijui sana hints za mabinti wa kule kwa sababu nina muda mrefu sana sijakanyanga nyumbani... tafadhalini, mnaoishi huko na ambao hamuishi ila mna info, si vibaya mkinipa.
natanguliza shukrani za dhati sana. Mnachihanguu
Dk Nchimbi ni mkatoliki anapenda kwenda kanisani. Kama hajawekwa kizuizini kibabe huku akionyeshwa bastola basi kama ilivyozoeleka mruhusuni aende kanisani na kisha asalimie waumini na kutoa neno nini kilimsibu.
Wakuu,
Kesho Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Bima ya Afya kwa Wote, Awamu ya Pili.
Hapa nilipo nipo njiani naelekea Mtwara.
Lakini nipo chonjo sana. Hawa UVCCM hawataki nihudhurie kisa niliandika habari ya wao kula Rushwa. Wanadai...