kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. O

    “Kwanini Stima Ni Ghali Kenya?” Benki ya Dunia Yafichua Mikataba Yenye Utata na Mianya ya Ufisadi

    Benki ya Dunia (World Bank) imeibua maswali kuhusu gharama kubwa za umeme nchini Kenya, ikihusisha hali hiyo na mikataba ya gharama kubwa, ukosefu wa uwazi na changamoto za uongozi katika sekta ya nishati. Katika ripoti yake ya Kenya Economic Update iliyotolewa Novemba 2026, Benki ya Dunia...
  2. O

    Benki ya NCBA Yapata Mmiliki Mpya: Nedbank ya Afrika Kusini Yanunua Asilimia 66 ya Hisa kwa Mabilioni

    Kampuni ya Nedbank Group ya Afrika Kusini imechukua udhibiti wa benki ya NCBA nchini Kenya baada ya kukamilisha ununuzi wa asilimia 66 ya hisa zake, katika makubaliano makubwa yanayotarajiwa kubadilisha mwelekeo wa benki hiyo katika soko la Afrika Mashariki. Katika taarifa iliyotolewa Jumatano...
  3. O

    Machozi ya Furaha na Ushindi wa Kifalme kwa Kenya

    Uwanja ulikuwa kimya kwa sekunde chache kabla ya msisimko mkubwa kulipuka. Hewa ilijaa harufu ya ushindi na joto la mapambano makali kwenye mchezo wa Raga ya Sevens. Australia walikuwa wagumu, lakini Kenya ilikuwa na roho ya simba. Dakika za mwisho zilizalisha wakati wa kihistoria. Mbuga...
  4. Police Kenya wasema suala la Mwaipaya lipo kwenye uchunguzi waomba siku moja kuwasilisha kiapo Kinzani counter Affidavit maamuzi saa 9 mchana

    Suala la kutekwa kwa Mtanzania Jijini Nairobi bado halijapata jawabu kwani Wakili wa serikali amesema suala hilo lipo kwenye Uchunguzi hadi sasa. Suala hilo limeibua mnyukano wa kisheria Wakili Martha Karua amesema leo Mwaipaya alitakiwa kuletwa akiwa hai au amekufa mahakamani na kuiomba...
  5. O

    Kenya: Kesi Mahakamani Kupinga Serikali Kutumia Fedha za Umma Kuandaa Mechi ya Bayern Munich na Ajax

    Wakenya sita wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu wakitaka serikali izuiwe kutumia fedha za umma kufadhili mechi ya kirafiki kati ya Bayern Munich ya Ujerumani na Ajax ya Uholanzi inayotarajiwa kufanyika Januari 5, 2027, katika Uwanja wa Raila Odinga International Stadium. Katika ombi lao la...
  6. O

    KSh10.2 Bilioni za Bomas Zitaishia Mifukoni mwa Nani? KTN Yafichua Mkataba Wenye Utata

    Uchunguzi wa KTN News umeibua maswali kuhusu matumizi ya mabilioni ya fedha za umma katika mradi wa ujenzi wa Bomas International Convention Complex (BICC), baada ya kufichuliwa kwa mkataba wenye gharama zilizoongezeka na vipengele vya malipo vinavyotiliwa shaka. Katika uchunguzi uliotangazwa...
  7. Ningeshauri wizara ya habari sanaa na utamaduni tuwaalike MANCHESTER UNITED nyumbani ili kuchuana na TAIFA STARS katika kipindi hiki kama KENYA.

    | ARSENAL NA MANCHESTER UNITED KUTUA TANZANIA? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na klabu za Arsenal na Manchester United kwa ajili ya uwezekano wa kuandaa mchezo mkubwa wa kirafiki nchini Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa za vyombo...
  8. Rwanda wanaanda Formula One, Kenya wanawakaribisha Bayern na Ajax, Tanzania Samia anatosha

    Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imechangamka ile mbaya, mambo yako moto fire, marais wa nchi wanachama wapo busy hapa na pale. Lakini ukweli mchungu ni kuwa kuna marais wa nchi majirani wanaopiga hatua za kiwango cha dunia huku wengine tukibaki kuwa watazamaji wa mechi za wenzetu. Ukiangalia...
  9. James Kanyotu: Mkuu wa idara ya ujasusi wa Kenya aliyeamua kwenda kaburini na Siri za Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi.

    Huyu bwana Kwa miaka 27, alihudumu chini ya marais wawili, na alifanikiwa kuvuka misukosuko ya kisiasa, alijua siri za watu wenye nguvu na akajenga himaya ya kibiashara iliyokuwa na thamani ya mabilioni ya shilingi. Hata hivyo, kwa sehemu kubwa ya kipindi hicho chote , Wakenya wengi hawakujua...
  10. K

    Amri ya Habeas Corpus Nchini Kenya na Fundisho la Mihimili Yetu: Je, Mihimili Yetu ni Ngome ya Haki au Vikaragosi vya Dola?

    Picha: Alama ya utawala wa sheria na kimbilio la mwisho la raia pale haki inapominywa Hatua ya Mahakama Kuu ya Kenya kutoa amri ya Habeas Corpus dhidi ya Serikali na Mkuu wa Jeshi la Polisi, ikitaka mwanaharakati Twaha Mwaipaya afikishwe mahakamani tarehe 2 Novemba 2026 akiwa hai au mauti, ni...
  11. C

    Kenya: Mahakama Kuu, Kaunti ya Nairobi yaamuru Polisi kumrejesha Twaha Mwaipaya akiwa hai au amefariki

    Mahakama Kuu ya Kenya, iliyopo Milimani jijini Nairobi, imewaagiza maafisa wa serikali na Jeshi la Polisi kumfikisha Twaha Mwaipaya mbele ya mahakama hiyo akiwa hai au amefariki dunia, pamoja na hati halisi ya kumweka kizuizini, ili kubaini alipo na mazingira ya kuzuiliwa kwake. Agizo hilo...
  12. O

    'Kwani Kenya hatuna timu?' Gachagua amhoji Rais William Ruto kuhusu Mechi ya kufungua uwanja wa KSh145 Bilion

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amemkosoa Rais William Ruto kwa kupanga kuufungua Uwanja wa Kimataifa wa Raila Odinga kwa mechi kati ya timu mbili za Ulaya, akisema hatua hiyo inawanyima wachezaji wa Kenya nafasi ya kushiriki katika tukio hilo la kihistoria. Akizungumza Jumatano, Oktoba...
  13. O

    Serikali yasitisha usafirishaji wa Parachichi Nje ya nchi kwa Meli. Yatoa masharti mapya kwa Wafanyabiashara wa Maembe

    Mamlaka ya Kilimo na Chakula nchini Kenya (AFA) imetangaza kusitishwa kwa usafirishaji wa parachichi kwenda katika masoko ya kimataifa kwa njia ya bahari kuanzia Ijumaa, Oktoba 30, 2026, huku ikiweka masharti mapya kwa wafanyabiashara wanaosafirisha maembe nje ya nchi. Katika taarifa...
  14. O

    EPRA yakanusha Madai ya kuingiliwa na Watu wenye ushawishi katika kupanga Bei za Mafuta

    Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imekanusha madai kuwa maamuzi yake kuhusu bei za mafuta yanaathiriwa na watu au makundi yenye ushawishi, huku Wakenya wakiendelea kulalamikia ongezeko la gharama za mafuta nchini. Akizungumza mbele ya Kamati ya Bunge la Kitaifa kuhusu...
  15. R

    Asante Kenya Law Society et al kumpigania Twaha Mwaipaya

    Tupaze sauti kama wenzetu hawa . Sikilizà wanaothamini uhai wa binadamu TWAHA Mwaipaya nirekebishie clip hiyo
  16. W

    Kenya, Paradiso Ya Watekaji! Kutoka Kimbilio Hadi Mtego: Kenya Yageuka Uwanja wa Kuwinda Wakosoaji wa Serikali Za Kigeni

    Kenya kwa muda mrefu imekuwa ikitambulika kama mahali pa usalama kwa watu wanaokimbia mateso, vitisho na ukandamizaji wa kisiasa katika nchi zao. Lakini sasa, sifa hiyo inakabiliwa na maswali mazito kufuatia matukio ya kutoweka kwa wanaharakati na wakosoaji wa serikali kutoka nchi jirani wakiwa...
  17. I

    Ethiopia Yatikiswa na Ghasia: Zaidi ya Watu 36,000 Wakimbilia Kenya Kupitia Moyale

    Maelfu ya raia wa Ethiopia wamevuka mpaka na kuingia Kenya wakitafuta usalama kufuatia kuongezeka kwa ghasia katika eneo la Moyale, mpakani mwa nchi hizo mbili, hali inayoongeza shinikizo la kibinadamu kwa jamii zinazowapokea. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la...
  18. 𝗪𝗮𝗸𝗲𝗻𝘆𝗮 𝗸𝗶𝗯𝗼𝗸𝗼 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘂𝗻𝗱𝗮 𝗴𝗮𝗿𝗶 𝗹𝗶𝗻𝗮𝗹𝗼𝗳𝗮𝗻𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗧𝗲𝘀𝗹𝗮

    Wakenya hii balaa 😃😃 Wakenya bhana wamebaki midomo wazi baada ya gari lenye muonekano wa kipekee kama Tesla Cybertruck kuonekana likipita katika barabara za Karatina! 🚘🤯 Kinachowafanya watu washangae zaidi ni madai kwamba gari hilo limetengenezwa nchini Kenya! 🇰🇪👏 Je, kweli mafundi wa Kenya...
  19. TANZANIA NA KENYA ZAJIPANGA KUONDOA VIKWAZO VYA BIASHARA MPKANI

    Tanzania na Kenya zinaendelea kuchukua hatua za kuondoa vikwazo vinavyokwamisha biashara ya mpakani, kwa lengo la kurahisisha usafirishaji wa bidhaa, kupunguza gharama na muda wa wafanyabiashara, pamoja na kuongeza fursa za biashara kati ya nchi hizo mbili. Ushirikiano huo unatarajiwa kuimarisha...
  20. Madeni ya muda mrefu yadaiwa kuhusishwa na kutekwa kwa Twaha Mwaipaya Kenya

    NAIROBI, KENYA — Madai kuhusu madeni ya muda mrefu yameibuka kufuatia taarifa za kukamatwa kwa Twaha Mwaipaya, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka Tanzania, nchini Kenya. Kwa mujibu wa madai yaliyotolewa, Mwaipaya alikamatwa na mwenye nyumba aliyokuwa akiishi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…