kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Angalizo: muhimu Ukiwa kenya na Uganda au ukawa nchi ya Karibu na Tanzania kuwa makini zaidi

    Kama ni mkosoaji wa serikali Uko kenya au uganda ambako ni rahisi wajamaa kufika kaa kwa makini sana , Maana kwao sasa ni advantage Wakikuulia nchi ya watu Hakuna sehemu nchi itawajibika, kwa kivuli cha kwamba hakuwa nchini hivo tanzania hatuhusiki, au ukiingia nchi usitumie njia za panya au...
  2. Mambo mazuri ya nchi ya Kenya kutoka kwa Mtanzania anayeishi huko

    1. Urahisi wa malipo ya simu/mtandaoni 2. Huduma Bora za Delivery hadi kwa matatu 3. Huduma bora za wahadumu mighawani, hotel, hospital n.k 4. Kodi za nyumba mwezi mmoja mmoja 5. Watu wanajitambulisha kwa majina kila mahali 6. Watu hawataki mazoes na uswahili 7. Hakuna kugombania daladala
  3. O

    CBC Kenya: Kila Mzazi Anapaswa Kuelewa Nini Kuhusu Mfumo Huu?

    Mfumo wa elimu wa Competency-Based Curriculum (CBC), unaojulikana pia kama Competency-Based Education (CBE), ulianzishwa nchini Kenya mwaka 2017 kuchukua nafasi ya mfumo wa zamani wa 8-4-4. Mfumo huu unalenga kumsaidia mwanafunzi kupata maarifa, kukuza vipaji na kujifunza ujuzi anaoweza kutumia...
  4. Kenya: Watu wanne wafariki baada ya ukuta kuporomoka

    Watu wanne wamethibitishwa kufariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa baada ya ukuta wa kuzuia udongo uliokuwa ukijengwa kuporomoka na kuwafunika wafanyakazi katika barabara ya Riverside, jijini Nairobi nchini Kenya, Jumamosi asubuhi. Tukio hilo limetokea karibu na jengo la Grand Residence wakati...
  5. Nani Kinara Afrika Mashariki 2026?

    https://youtu.be/KuUO1ItbOUU Habari zenu Wana-JF. Mara nyingi kukiwa na mjadala wa kiuchumi Afrika Mashariki, ubishi unakuwa kati ya Tanzania na Kenya. Lakini vipi tukiziweka nchi tano za Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Burundi) kwenye mizani moja kwa kutumia takwimu za...
  6. Kwa nini biashara ya dawa za kulevya haramu Tanzania na Kenya imejikita Pwani ?

    Ni kwa sababu ya uchumi mzuri ? Wateja/watumiaji wengi ? Ni rahisi kufikika ? Ni rahisi kuificha biashara yenyewe na wanaoifanya maeneo hayo ? Hapa sizungumzii bangi na mirungi.
  7. Kenya yakabidhi Tanzania mifugo 11 iliyoibwa mpaka wa Ang'ata Barikoi

    Ang'ata Barikoi, Transmara Kusini, Kenya – Naibu Kamishna wa Wilaya ya Transmara Kusini, Stephen Emojong, akishirikiana na Kamanda wa Polisi wa Wilaya hiyo, Enrico Telewa Lyomu, wamekabidhi kwa mamlaka za Tanzania mifugo iliyookolewa na maafisa wa Kenya. Mifugo hiyo inayojumuisha ng'ombe sita...
  8. Imani 5 Potofu Kuhusu Pesa Zinazotugharimu Kila Mwaka (Tanzania na Kenya)

    https://youtu.be/WQkcglWsKeA Habari zenu Wana-JF. Kuna uchambuzi mzuri unaoelezea mambo ya fedha ambayo wengi wetu tunayaamini lakini kiuhalisia yanatutia hasara kila mwaka. Uchambuzi huu unatumia takwimu halisi za kiuchumi na viwango vya mfumuko wa bei kutoka Tanzania na Kenya. Hapa chini ni...
  9. O

    Wakazi wa Naivasha Wavamia Ofisi za Kenya Power Kupinga Kukatika kwa Umeme na Bili Kubwa, 14 Wakamatwa

    Wakazi wenye hasira mjini Naivasha, Kaunti ya Nakuru, wamevamia ofisi za kampuni ya Kenya Power wakipinga kukatika kwa umeme mara kwa mara na ongezeko la bili za stima licha ya huduma duni wanazodai kupokea. Maandamano hayo yalifanyika Jumatano, Novemba 11, 2026, ambapo wakazi na...
  10. Pesa za Serikali Zinatoka Wapi? Uchambuzi wa Bajeti ya Tanzania vs Kenya (2026/27)

    https://youtu.be/XI7YlZP1W4w Habari zenu wanabodi. Kuna mjadala mzuri sana unaoendelea kuhusu uchumi wa nchi yetu ukilinganishwa na majirani zetu, Kenya. Tukiangalia bajeti za mwaka 2026/27, swali la msingi ambalo wengi hatujiulizi kwa kina ni: Hizi trilioni zote ambazo serikali inatumia...
  11. C

    Mwanaharakati ameandama mahakamani Kenya akishinikiza kuachiwa huru kwa Twaha Mwaipaya

    Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya, Julius Kimani, amefanya maandamano katika Mahakama ya Milimani jijini Nairobi, kupinga kutoweka kwa mwanaharakati raia wa Tanzania, Twaha Mwaipaya ambaye hadi sasa hajulikani alipo. Hayo yamejiri leo Jumatano, Novemba 11, 2026 siku ambayo shahidi...
  12. Govt keeps hands off Ugandan arrested in Kenya Shs113b drug bust

    The Ugandan government says it will not interfere in the criminal proceedings against a Ugandan woman arrested in Kenya over alleged drug trafficking. Zuraicah Nakabugo, 37, was arrested on November 7, 2026, in Kwale County alongside two Tanzanian nationals, Basleman Saleh Khamis and Hamad...
  13. Video: Uchumi wa Kenya ni mkubwa kwa karibu 57% kuliko Tanzania. Je, ndiyo imara zaidi?

    https://youtu.be/37pkGJHxis0 Kwa makadirio ya IMF ya Oktoba 2026, thamani ya Pato la Taifa kwa bei za sasa ni takribani dola za Marekani bilioni 151.2 kwa Kenya na bilioni 96.2 kwa Tanzania. Kwa mwaka huo huo, uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa asilimia 6.0, dhidi ya asilimia 4.5 kwa...
  14. B

    Kenya yafungiwa kote kusafiri sababu Ebola

    10 November 2026 EBOLA ALERT IN KENYA https://m.youtube.com/watch?v=bkqiUh3Z1XY By Mercy Chelangat Africa CDC has called on Saudi Arabia to review its travel restrictions on Kenya, arguing that a country that detects and contains an imported Ebola case should be supported, not penalised. The...
  15. O

    Watu Nane Wauawa kwa Risasi na Watu Wenye Silaha Wanaodhaniwa Kuwa Al-Shabaab Kaskazini mwa Kenya

    Hali ya taharuki na hofu imetanda miongoni mwa wakazi wa maeneo ya mipakani kufuatia tukio la kusikitisha ambapo watu nane waliripotiwa kuuawa kwa kupigwa risasi. Shambulizi hilo lilihusisha watu wenye silaha kali wanaodhaniwa kuwa wanamgambShabaab, jambo ambalo limezua wimbi la majonzi makubwa...
  16. Ugandan Woman Arrested in Kenya Over Shs13 Billion Suspected Methamphetamine Haul

    A 37-year-old Ugandan woman, Nakabugo Zuraicah, has been arrested in Kenya following a security operation that recovered 454 kilogrammes of suspected methamphetamine valued at KSh3.6 billion (approximately UGX13 billion). The operation was conducted on November 7, 2026, in Kwale County along...
  17. R

    Majaji wa Malawi watapandishwa kuwa majaji wa Rufaa

    Watakuwa wana handle ksi kutoka high court ambazo zilikuwa na maslahi ya wateuzi wao kwa watakao appeal.
  18. O

    Mzigo wa Shilingi 200,000: Kilio cha Mama Aliyefikishwa Kikomo na Bili ya Kenya Power

    Maisha ya kawaida ya mama mmoja yaliyokuwa yakisonga kwa utulivu yaligeuka kuwa lindi la huzuni na mfadhaiko baada ya kujikuta akitwikwa mzigo wa bili ya umeme ya Shilingi 200,000 kutoka kwa kampuni ya kusambaza umeme ya Kenya Power, licha ya yeye kuwa na matumizi ya kawaida ya Shilingi 300...
  19. C

    Mchungaji nchini kenya ahukumiwa kifungo cha miaka 200 kwa kusababisha vifo vya watu 191

    Mahakama nchini Kenya imemhukumu mchungaji Paul Mackenzie kifungo cha miaka 200 jela baada ya kupatikana na hatia ya kusababisha vifo vya watoto 190 na mtu mzima mmoja kupitia ibada ya kufunga kula chakula. Mackenzie amehukumiwa kifungo cha miaka 100 kwa kila moja ya makosa 183 ya kuua kwa njaa...
  20. O

    SI KWELI Cetirizine Inabana Uke?

    Madai yamekuwa yakisambaa kwenye mitandao ya kijamii yakisema kuwa dawa ya allergy aina ya cetirizine inaweza kutumika “kubana uke”, huku baadhi ya wanawake wakishauriwa hata kuingiza vidonge hivyo ndani ya uke. Madai hayo yameenea kwa kasi kiasi cha kuripotiwa kuongezeka kwa mahitaji ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…