katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. LIVE: Waziri Mkuu Nchemba Katika Jubilei Miaka 25 Mpanda

    https://www.youtube.com/live/f0qUr8D3buA?si=9YnTGIabH5P-V7hB LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Agosti 30, 2026 ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda. Maadhimisho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya St. Marry...
  2. Rais Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia katika mkutano wa 65 wa Nchi zisizofungamana na upande wowote(NAM)

    Huu ni mkutano muhimu katika nyakati hizi za mivutano ya siasa za kiuchumi na kikanda
  3. Katika mabaliko ya katiba tusisahau hili

    Katika mabadiliko ya katiba tusisahau kuhakikisha kila halmashauri inajetegemea yenyewe hasa katika mapato yake inayokusanya yenyewe. Hii itasaidia kupunguza nafsi za kazi zisizo na umuhim lakni pia mamlaka makubwa ya mtu mmoja. Badala ya kukusanya na kusipeleka serikalini kisha baadae kwenda...
  4. H

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za -Waziri Mkuu Nchemba

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za kimawasiliano-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bumbuli...
  5. K

    Yale ya Oktoba 29, ya bunge la chama kimoja na hili la Balozi Nchimbi ni matokeo ya kukosekana kwa wazalendo katika vitengo nyeti

    Tumefikia mahali ambapo viongozi hawana furaha japo wana kila kitu na wananchi hawana raha na hawawapendi viongozi wao. Kiongozi kila siku anaombewa apatwe na mabalaa watu wafurahi, kiongozi akifa watu wanamshukuru Mungu na kupongezana Asipoonekana kiongozi kwa siku mbili tatu watu wanatamani...
  6. Katika Mazingira haya haitowezekana tena kuwa na Katiba mpya!!

    Nia nzuri ya CCM kutaka kuondoa kiu ya waliokuwa wanashinikiza na kuanikiza katiba mpya inaenda kuondoka rasmi. CCM kupitia Rais Kikwete ilijaribu mchakato wa kuhuisha Katiba lakini ilishindikana kutokana na mgogoro na tamaa za wanasiasa. Miaka mingi baadaye CCM kupitia Rais Samia ikachukua...
  7. Je, Hatima (Destiny) Ni Kweli Ipo? Tujadili!

    Tukijipumzisha kidogo na haya yanayo tokea nchini hebu tujadili hii issue kama kutafsiri kile kinacho endelea. Katika kukuwa nilikuwa naskia huyu kijana, au huyu mtoto lazima aje aibadilishe hii familia, au huyu mtoto atakuja kuukomboa huu ukoo kutoka umaskini. Au mzazi ana amua kuzaa watoto...
  8. T

    Tutakuwa humu kwa muda mrefu!

    Tutakuwa humu kwa muda mrefu! Kuna wale wadhaniao kuwa hali tuliyonayo Watanzania ya kunyimwa uhuru wa kisiasa, kutishwa na kutishiwa, kutokuwa na uamuzi wowote juu ya serikali yetu, watu wachache kufaidi kupindukia, mtu kutokuwa na uhakika wa usalama wake.....yote haya yalianza vuuu tu, au...
  9. Katika picha kanaonekana kazuri kenyewe ila ngoja kafungue mdomo

    Haka kazee ketu , kanaonekana kapole , kastaarabu , Tena kazuri kenyewe kamenona na hakana shida na mtu. Ila sasa ngoja kafungue mdomo wake kaanze kumwaga sera zake ,ndipo utajua ubaya wa njaa ikihamia kichwani
  10. Katika mda ambao kijana unatakiwa utafute pesa nini sasa.

    Ukikosa hela kwenye sirikali hii ya wagaikoko , tambua wewe ni kiazi Mbwa takataka. Yani mzazi wako alitakiwa avae kondom usizaliwe kabisa, takataka na mpumbavu kama wewe ,gademitt.
  11. Katika mabadiliko ya katiba tusisahau hili

    Ikitokea katiba ikabadilika au katika mabadiliko machache machache ya ibara. Tusisahau uhuru wa kujitegemea kwa halmashauri katika mambo yake hasa mapato. Hii itapunguza upigaji katika serikali na kusaidia kupunguza nafsi za kazi zisizo na umuhim lakni pia mamlaka makubwa ya mtu mmoja...
  12. Kete za Mapenzi: Hakikisha Mkeo au mwanamke wako anawekeza kiuchumi kwenye mahusiano yenu. Hii ni mbinu ya uhakika.

    KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo. Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
  13. Joseph Mwasote: Kutekwa, kuteswa na kumpoteza mwana katika uchaguzi wa 2025

    Kwa takriban miaka 20, Joseph Mwasote amekuwa sehemu ya safari ya kisiasa ya CHADEMA, akipanda kutoka uongozi wa Kata ya Tunduma hadi kuwa mwenyekiti wa Mkoa wa Mbeya na baadaye kugombea ubunge wa Mbeya Vijijini mwaka 2020. Lakini uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, kwa maelezo yake, uligeuza maisha...
  14. H

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini -Waziri Mkuu Dkt Nchemba

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za kimawasiliano-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bumbuli...
  15. TAZARA yatangaza mabadiliko ya Muda katika Uendeshaji wa Treni Za Abiria, 26 Agosti 2026

    TAARIFA KWA UMMA MABADILIKO YA MUDA KATIKA UENDESHAJI WA TRENI ZA ABIRIA 26 AGOSTI 2026 Kutokana na changamoto za kiutendaji zinazotokana na kufungwa kwa muda kwa njia mbili za reli katika sehemu ya Kapwila-Msanza nchini Zambia na sehemu ya Mwakanga-Mzenga nchini Tanzania, mabadiliko yafuatayo...
  16. Viongozi Wataka Ushiriki Mkubwa wa Vijana katika Ubunifu wa Kidijitali Afrika

    Viongozi wa Serikali, sekta sekta binafsi na wadau wa teknolojia wametoa wito wa kuongeza uwekezaji kwa vijana katika ubunifu na ujuzi wa kidijitali ili kuiwezesha Afrika kutoka katika utegemezi wa teknolojia na kuwa mzalishaji wa suluhu za kidijitali zinazoendana na changamoto za maendeleo ya...
  17. Faida ya kupunguza faida katika majiji

    1. Kwanza itaboresha ufanisi wa kazi maofisini. Wafanya kazi watawahi kuwahudumia watanzania. 2. Itaongeza kipato kwa wafanyabiashara kwani watahi kufungua biashara zao na kama kuna wafanyabiashara walikuwa wanashindwa kuwawahi watawawahi. 3. Kodi ya serikali itapanda kwani wafanyabiashara...
  18. Katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote

    Na Benny Mwaipaja, Addis Ababa Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khams Mussa Omar, amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote ikiwa ni dhamira ya Serikali ya kuwekeza katika rasilimali watu...
  19. S

    Katika nchi zinazojitambua, kumlazimisha kiongozi anaetetea haki za wananchi kama Dr. Nchimbi kujiuzulu kutasbabisha ghasia za kupindua nchi

    NI Tanzania tu ambapo wananchi wanakaa kimya pale ambapo watetezi wa haki zao kama kina Ben Saanane, Ali Kibao, Luhaga Mpina, Tundu Lissu, Job Ndugai, Hamphrey Pole Pole au hata Dr. Nchimbi, wanaondolewa katika uongozi, kutekwa na kuuwawa au kufunguliwa kesi za mchongo na watu wanakaa kimya tu...
  20. G

    TAFAKARI YA ASUBUHI: Leo tusome na tujifunze kwa pamoja hadithi kutoka katika kitabu cha ukweli muaminifu juzuu ya 1 na 2 hadithi 74 ukurasa wa 42

    Tutafakari kwa pamoja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…