katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. Hakuna tumaini la kesho bora wewe kijana uliewekeza katika upole na unyenyekevu maana wanaokusubiri mchezoni hawakutazami kama mstaarabu bali mnyonge

    Katika hii dunia ambayo walio top ya foodchain ni fisi tena fisi wenyewe wana hurka ya kula mnyama akiwa hai, yaani hawa kabi kwanza shingo ufe, unaanza kuliwa huku ukishuhudia. Ndoto za watu wengi zimepotea kwa kuingia katika huu mchezo wa maisha kwa style ya ustaarabu, kuna tofauti kati ya...
  2. Haki za mlalamikiwa katika baraza la ardhi na nyumba la wilaya

    https://youtu.be/8SBsWi-SQHE?si=UWsuLLh2v3L1dOzq
  3. C

    Wadada wanaosema hawako katika mahusiano na mwanaume yeyote ni hatari kwani wanajiuza

    Kumekuwa na ongezeko la watoto wa kike ambao wanakataa kuingia kwenye mahusiano kwa visingizio kadhaa ikiwemo wana focus na uchaji Mungu huku wakisubiri mtu sahihi,ambaye kwao ni mwanaume mwenye utajiri. Hawa watu wanaishi kwa pesa za kudanga kwani watu wengi huwa wanajipata wakiwa tayari na...
  4. N

    Huyu baharia wa "SAUZI" akitumika vizuri na Polisi/Uhamiaji, anaweza kuwa Balozi wa maana sana katika kupambana na janga la vijana kuvuka mipaka.

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Huyu baharia wa "SAUZI" akitumika vizuri na Polisi/Uhamiaji, anaweza kuwa Balozi wa maana sana katika kupambana na janga la vijana wadogo kuvuka mipaka bila utaratibu. Ndugu Katibu Mkuu, Wizara ya mambo ya ndani. Natumai barua pepe hii inakukuta ukiwa mzima wa...
  5. Miundombinu ya kijeshi ya Magaidi wa Hezbollah huko katika Kilele cha Ali Taher nchini Lebanon yaangamizwa!!

    Vyombo vya habari vya Lebanon vinaripoti kwamba tukio la mitetemeko ya ardhi lenye ukubwa wa 4.1 lilirekodiwa nchini Lebanon kufuatia mlipuko mkubwa katika Kilele cha Ali Taher, ambapo IDF iliharibu zaidi ya kilomita mbili za miundombinu ya chini ya ardhi ya Hezbollah kwa kutumia zaidi ya tani...
  6. Uzinduzi Kahawa Festival msimu wa 7 mwaka huu wa 2026 katika picha

    Pata picha mbali mbali za uzinduzi wa Tamasha la saba la kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa nchini uliofanyika hivi karibuni makao makuu ya Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB)mjini Moshi Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Moshi,Godfrey Mnzava
  7. Wanawake wenye makalio makubwa ni wapotezaji (losers) wakubwa katika era ya maendeleo ya mitandao ya kijamii ni wanawake.

    Maendeleo ya mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo mbaya sana ya kuharibu kundi la wanawake wenye makalio makubwa. Mitandao yote ya kijamii sasa kila kona imejaa wanawake wanaotingisha/ tikisa makalio. Kuanzia maofisi ya umma na binafsi, Bar, Pub, barabarani, kwenye usafiri, sherehe, biashara...
  8. Raia 134 wa Burundi wamekamatwa Tanzania huku mvutano wa uhamiaji ukizidi kushika kasi katika ukanda wa Afrika Mashariki

    Tanzania imewakamata raia 134 wa Burundi kwa madai ya kuingia nchini kinyume cha sheria, huku hatua za kudhibiti uhamiaji zikizidi kuimarika Afrika Mashariki. Mamlaka nchini Tanzania katika Mkoa wa Mara zimesema raia hao wa Burundi walikamatwa wakati wa operesheni iliyolenga watu wanaoishi...
  9. Waislamu wanaosema Ukristo sio dini huwa wana maana gani?

    Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini. Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
  10. Katika ujasiriamali sio hamasa pekee inayojenga biashara, unahitaji uvumilivu na mtazamo sahihi zaidi

    Ndani ya hii miaka sita 6 tokea niamue kuachana rasmi na ajira, kuna kitu nimejifunza kuhusu ujasiriamali ambacho ningependa vijana wengi wakijue mapema na I hope wengine wengi wamekifahamu pia. So ni suala labda niseme la kubadilishana uzoefu tu, kasoro kwa wale ambao hawajajitosa kikamilifu...
  11. CCM imeendelea kua talk of the day katika kila kongamano la kisiasa nchini.

    Ni wazi, bila CCM mambo hayanogi. Halafu muhimu zaidi sasa, kila wawakilishi wa CCM wakipata fursa ya kuzungumza, nyoyo za hadhira na wadau wote wa kongamano husika zinaongoka na kutakasika kabisa. Kila mdau katika kongamano anatamani kuskia kiongozi wa CCM atasema nini. Na viongozi...
  12. Tanzania, Algeria kukuza ushirikiano katika sekta ya viwanda vya dawa

    Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mobhare Matinyi, Septemba 7, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda vya Dawa wa Algeria, Dkt. Wassim Kouidri, katika ofisi za wizara hiyo jijini Algiers. Mazungumzo hayo yalihusu namna ya kuimarisha ushirikiano zaidi katika sekta ya viwanda...
  13. RC Chacha ameonesha Ushamba na Ufala katika hili.

    Huyu RC kabisa anakaa kuongelea suala la kipuuzi kama hili kwenye kusanyiko la watu? Kutongozwa na mwanamke anaona ni big deal na hadi kushirikisha police? Watu wenye akili wanamtizama na kuona ana utoto na ufala tu. Angeweza mblock huyo mwanamke na maisha yakaendelea. Au angemu ignore tu wala...
  14. M

    Uwepo wa baba humwekea mtoto wa kiume mipaka katika maamuzi mengi. Baba akiondoka, wengi huonyesha rangi halisi, huamua bila kusita wala kujificha.

    familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa. Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
  15. Kijana adaiwa kutekwa na wasiojulikana kwa kumkasirisha binti wa kigogo katika mapenzi!

    Wanaripoti Jambo TV Irene Mziray, mama mzazi wa kijana mwenye umri wa miaka 22, Junior Joyful Jonathan, ameiomba serikali kusaidia katika jitihada za kumpata mwanawe ambaye amepotea na kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana. Irene amesema mwanawe hana ugomvi na mtu yeyote na familia haijawahi...
  16. Katika kusherehekea Mwaka mpya wa kiyahudi Waziri Mkuu wa Israel atembelea Makao MAKUZI ya Mossad!!!

    Israeli: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema alitembelea makao makuu ya Mossad na kukutana na wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuhusu usalama wa Israeli. Netanyahu alitoa wito wa sehemu ya Torati ya wiki hii, akitoa wito wa "kuwa hodari na jasiri," na akasema, "Hiki ndicho...
  17. R

    Kuangalia information katika MKoba inasumbua. TCB/Vodacom tatizo ni nini?

    Ukiomba members contributions hupati , inazunguka mpaka session in expire. Au ndio utapeli mnaanza kutufanyia
  18. British-Nigerian influencer Igho Ubiribo alifariki March 2026 katika procedure za kuongeza ukubwa wa uume wake akiwa Thailand

    Influencer na mfanyabiashara mwenye asili ya Nigeria na uraia wa Uingereza, Igho “Tiny” Ubiribo, anayejulikana pia kwa majina ya Denisi au Ego, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 baada ya kupata matatizo kutokana na utaratibu wa kuongeza ukubwa wa uume nchini Thailand. Uchunguzi wa kifo...
  19. Mtengeneza maudhui maarufu - Youtube, aliyekuwa akibeza mambo ya dini, aamua kuokoka na kubatizwa katika maji mengi!

    Hii habari ni moto sana! Kila mtu anapaswa kuisoma mwanzo mpaka mwisho. Kweli Mungu anawapenda watu wote. Amebadilisha maisha ya Mtengeneza Maudhui(Youtuber) maarufu mwenye umri wa miaka 30, aliyejizolea mamilioni ya Subscribers kwa video zake za comedy, muziki, boxing na survival challenges...
  20. Hivi kati ya kuwa msomi na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??!

    Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…