karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    RESOLVED Mtaa wa Goba Center karibu na shule ya Living Minds imetengenezwa vizuri baada ya kulalamika

    Wakazi wa Goba Center tunaishukuru JamiiForums kwa kupaza sauti yetu. Mtaa wa bonde uliokuwa umeharibiwa sana na mvua umewekwa vizuri sasa. Mitaro imewekwa na surface imerekebishwa. Tunashukuru pia serikali ya mtaa ya Goba Center kwa kufanyia kazi maombi yetu. Soma...
  2. Na sisi tuna jambo letu kubwa tarehe 26, na tunawahitaji mlifuatilie kwa karibu!

    Ndugu wateja , Na sisi tuna jambo letu kubwa tarehe 26, na tunawahitaji mlifuatilie kwa karibu! Tukisema ni historia, mtasema tunajisifu wajivuni.Tukisema ni surprise, mtataka spoiler! 😂 Basi kwa heshima kabisa, tunawaomba tarehe 26 macho na masikio kwa admin. Tarehe isiguswe hiyo...😆
  3. M

    Karibu tena Dkt Slaa JF

    Nakumbuka miaka 2010,2011,2012 ,2013 Dkt Slaa alivyokuwa akichangia na akijibu maswali mbali mbali kupitia jf. Namkumbuka zaidi pale Post zangu zilikuwa hazimpiti, lazima akizichangia Dkt Slaa tunajuana zamani, Karibu tena Swali dogo tu. Kwanini ulihame chadema na kuhamia ccm na kurudi tena...
  4. Utachukua hatua gani kwa mtu wako wa karibu anayekusudia kutoa kafara ya binadamu?

    Utachukua hatua gani ndugu yako, mume/mke, jirani au rafiki akikuambia mungu amemuambia amtoe sadaka/kafara mtoto wake na kweli anakusadia kwenda kumtoa mtoto wake sadaka kutimiza agizo hilo ?
  5. HOJA Kwanini viwanja vya makazi vinawekwa karibu na viwanja vya viwanda Kibaha?

    Kwanini viwanja vya makazi vinavyouzwa na TAMISEMI Kibaha vipo karibu na viwanja vyenye matumizi ya viwanda?, hii sio hatari kwa afya? Hebu wataalamu naomba mnieleweshe. Hivyo viwanja vikubwa matumizi yake yameandikwa kuwa ni ya viwanda.
  6. New web app testers mnahitajika huku karibu

    Wakuu kama kawaa apo🖐 Nimedeploy MVP ya project yangu mpya inaitwa Baebe (Ni Ladies service marketplace humo kuna category za discreet , mambo ya home services kama kufua kupika , massages. ambapo users wanalipia ku-unlock contacts za providers so kaz ni kuhakikisha provider ni lady kweli...
  7. Nataka Kuagiza hii chuma(Bike). Mwenye ushauri karibu

    Nataka kutoka kwenye Fekon niingie humu. Ila nina mpango wa Kuagiza. China nimeipata kwa around $750 ambayo ni around 2.1M gharama inainclude kuipeleka kwa transporter wa kuileta Bongo na Packaging. Aliyewahi safirisha hii kitu kutoka nje naomba anipe gharama za usafiri alitumia sh. Ngapi na...
  8. Kwanini madanguro mengi yapo karibu na ofisi za CCM?

    Morogoro danguro kubwa pengine lipo kwenye top 10 za madanguro maarufu Tanzania linaloitwa Kahumba lipo karibu kabisa na ofisi za CCM wilaya. Moshi kuna danguro karibu na ofisi kuu ya ccm. Mwanza nyuma ya uwanja wa CCM Kirumba. Mbeya pia danguro moja lipo hatua chache kutoka ofisi za CCM...
  9. E

    Ukweli mchungu : Karibu Asilimia 50 % ya wanawake wanajihusisha na biashara ya kujiuza

    Si wake za watu ,si single mother ,si single women, si under 18 , si single girls , si watumishi wa Mungu ,si waajiriwa , si wasio na kazi , hali ni mbaya . Asilimia kubwa sana ya wanawake wanajihusisha kwa namna moja au nyingine na kujipatia mali au kipato kwa kutumia miili yao . Chungeni...
  10. O

    “Alikataa Rushwa ya KSh50,000, Akapigwa Karibu Kufa!” Msimamizi wa KCSE Atekwa na Kushambuliwa Kwale

    Msimamizi wa mitihani ya Kitaifa ya Kidato cha Nne (KCSE) katika Kaunti ya Kwale anauguza majeraha makubwa baada ya kudaiwa kutekwa nyara na kushambuliwa na watu wanaoshukiwa kuwa wanafunzi wa Kidato cha Nne na washirika wao, kufuatia kukataa rushwa ya KSh50,000 iliyolenga kuruhusu udanganyifu...
  11. F

    KERO: CHALAMILA: HATA SISI TUNAOISHI KARIBU NA MISIKITI TUNA MATESO MAKALI YA MAKELELE MARA TANO KWA SIKU

    Wakazi tunaoishi maeneo ya jirani na misikiti tunakujulisha kwamba tunkabiliwa na changamoto ya kelele zinazotokana na shughuli mbalimbali za ibada(mara tano kwa siku), hali hii imekuwa ikiathiri kwa kiasi kikubwa maisha yetu ya kila siku, ikiwemo kupumzika, kufanya kazi, na kupata usingizi wa...
  12. Karibu kwenye project yangu ya Programu ya Computer kwa ajili ya Dubbing

    Kwa wale watu wanaofanya Dubbing hasa studios, wanatumia softwares hasa Voiceq ambayo minimum subscription per month ni 19$. Mimi kama freelancer huwa sipendelea sana subscription za kile mwezi maana unajikuta mtu unatumia pesa nyingi kila mwezi. Hivyo kwa muda sasa nimeanza project yangu ya...
  13. Video: Uchumi wa Kenya ni mkubwa kwa karibu 57% kuliko Tanzania. Je, ndiyo imara zaidi?

    https://youtu.be/37pkGJHxis0 Kwa makadirio ya IMF ya Oktoba 2026, thamani ya Pato la Taifa kwa bei za sasa ni takribani dola za Marekani bilioni 151.2 kwa Kenya na bilioni 96.2 kwa Tanzania. Kwa mwaka huo huo, uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa asilimia 6.0, dhidi ya asilimia 4.5 kwa...
  14. MCHELE MZURI SARO GREDI 1 KARIBU

    MCHELE MZURI SARO GREDI 1 BEI YA JUMLA TSH 1900/= TUWASILIANE NAMBA 0716898393 au Whatsapp 0714994833 popote tunatuma
  15. Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Ikwiriri (Rufiji) - Robo Hekari (100x100), Karibu na Barabara Kuu ya Lindi/Mtwara

    Wakuu, ninauza kiwanja changu mwenyewe (mimi ni mmiliki, hakuna dalali) kilichopo mkoani Pwani, Wilaya ya Rufiji. Eneo linafaa sana kwa makazi au uwekezaji wa kibiashara kwa sababu ya ukaribu wake na barabara kuu na stendi. Sifa na Maelezo ya Kiwanja: Mahali kilipo: Mkoa wa Pwani, Wilaya ya...
  16. Hizi ndio tabia za wabongo karibu kila Mtanzania anazo

    1. Kujifanya unajua kila kitu: Hata ukiulizwa kuhusu fizikia ya anga za mbali au teknolojia ya kurusha roketi, Mbongo atakupa maelezo kwa kujiamini kabisa kana kwamba alisoma naye! 2. Kuambiwa kitu usichokijua na kuamua kutunga uongo: Badala ya kusema "Sijui" au "Sifahamu", atatunga uongo wa...
  17. Viwanja viwanja chanika karibu na philipo mpango aliyewahi kuwa Makamu wa raisi tanzania

    Kwa wale wanaotaka kumiliki kiwanja karibuni
  18. K

    Uchambuzi wa Kihistoria: "Sogea Karibu" na Uchawi wa Muziki wa Dansi Tanzania

    Habari za muda huu Wana-JamiiForums (JF)! Leo nimeona niwaletee makala hii maalumu yenye mchanganyiko wa historia, siri za jikoni za muziki wetu wa dansi, na ushuhuda binafsi wa jinsi muziki wa zamani ulivyokuwa na nguvu ya kubadili maisha ya mtu. Tunamulika dondoo adimu za kibao kilichotikisa...
  19. L

    Mkoa Wa Dodoma Umebahatika Kutoa Viongozi Wakubwa Karibu Wote Kuanzia Makamu Wa Rais John Ndejembi ,Waziri Mkuu John Marecela na Spika Jobu Ndugai.

    Ndugu zangu Watanzania, Mkoa wa Dodoma ni Mkoa Pekee Ama Miongoni Mwa Mikoa Michache Sana Nchini Ambayo Imebahatika Kupata Bahati ya Kutoa Viongozi wakuu Wa nafasi ya pili na tatu pamoja na Katika Mhimili wa Bunge . Ambapo Katika Nafasi ya Umakamu wa Rais Imeweza Kumtoa na Kulipatia Taifa...
  20. Eti akiishi karibu na mwanaume masikini, anaweza akaishiwa pumzi

    Baada ya kuniambia hivyo namimi nikamjibu kwamba..... Mbona ameishi karibu na baba yake miaka yote na bado yupo hai...🤣 Ndani pamewaka moto, Gen-Z kakukatana na majibu ya mubaba wake...🤨 Au nimekosea kumjibu wakuu....🙄
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…